International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Muda muchache uliopita Waziri mkuu wa Israel ametoa ujumbe mzito kwa Rais wa Ufaransa. Asema Israel haitaji msaada wowote kutoka Ufaransa na itashinda vita. Je Macron kafanya nini...
13 Reactions
131 Replies
7K Views
Picha: hawa ndo Wanamagambo wa Israel walioangamizwa leo na Jeshi la Hezbollah Hawa ndo magaidi na wanamgambo walioangamizwa na Hezbollah leo Captain Eitan Itzhak Oster, Captain Harel Etinger...
11 Reactions
61 Replies
4K Views
🇬🇧🇸🇪 AstraZeneca is withdrawing its Covid vaccine worldwide, The Telegraph reports. The pharmaceutical giant recently admitted in court for the first time that its vaccine can cause a rare and...
1 Reactions
29 Replies
2K Views
Israel kuonyesha kuchanganyikiwa washambulia Total Energies za mfaransa. Katika kuonyesha kuchanganyikiwa Israel wameshambilia ofisi, maghala, na Sheli za kampuni ya Total Energies za mfaransa...
14 Reactions
23 Replies
2K Views
Tunakuletea sasa taarifa kutoka kwa mazishi ya kamanda mkuu wa Hezbollah, Ibrahim Aqil. Aliuawa katika shambulizi la Israel kwenye viunga vya kusini mwa Beirut siku ya Ijumaa. Shambulio hilo...
1 Reactions
17 Replies
1K Views
Wadau hamjamboni nyote? Niombe Serikali ya Israel ipewe kibali kufungua vyuo maalumu Afrika mashariki kutoa elimu ya lugha ya kiyahudi yaani Kiebrania, mila na desturi za kiyahudi, dini ya...
8 Reactions
32 Replies
1K Views
🚨BREAKING: Texas has passed a bill banning islamic shariah law and anything that contradicts American values. My take; Smart move, they don't want to end up like Canada and France.
9 Reactions
9 Replies
1K Views
Kumaanisha kuwa hakuna chochote cha maana alichofanya hahaha Cheki video:
1 Reactions
5 Replies
529 Views
Kulikuwa kipigo kwenye vituo vya kijeshi na kijasusi: Hayakuwa maeneo ya raia wala miundo mbinu. Kilikuwa kipigo cha mbwa Koko!
13 Reactions
52 Replies
3K Views
Jamaa wanaweweseka balaa! Ndege zote kutoka viwanja vya ndege vya Iran zimefutwa kuanzia saa 3 usiku leo hadi saa 12 asubuhi kesho kwa saa za huko, kwa mujibu wa shirika la habari la Mehr la...
10 Reactions
55 Replies
3K Views
Burkina Faso inapanga kufuta leseni za uchimbaji madini kutoka kwa baadhi ya makampuni ya kigeni na itatafuta kuzalisha dhahabu yake zaidi, alisema kiongozi wa junta Ibrahim Traore siku ya...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
MWANZO 32:28 ... Akamwambia, Jina lako hutaitwa tena Yakobo, ila ISRAEL, maana umeshindana na Mungu na Watu, nawe umeshinda. Israel yupo vitani na pande Saba hivi Sasa, Magaidi ya Hesbollah...
7 Reactions
19 Replies
897 Views
Leo niwajuze baadhi ya nchi wanachama wa Organization of Islamic Countries (OIC); jumla zipo 57. 1. Afghanistan, 2. Albania 3. Azerbaijan 4 Bahrain 5. Pakistan 5. Turkey 6. Qatar 7. Bangladesh 8...
7 Reactions
52 Replies
3K Views
Natamani nimjue alie mpa elimu ya ujasusi netanyau maana ana akili kubwa sana. Kweny ujasusi kuna kitu kinaitwa False flag. FALSE FLAG;a political or military action that is made to appear to...
6 Reactions
29 Replies
3K Views
Kumekua kunazagaa taarifa kwamba Iran inajiandaa kuishambulia Israel kama kujibu mashambulizi….. Basi huo ndio utakua mwisho wa Iran. Ikumbukwe kwamba Israel imekua ikimtamani Iran siku nyingi...
6 Reactions
156 Replies
8K Views
(Hii ni kambi Moja tu) (Na mlengwa alikuwa Israel) ( Iran na Hawa jamaa walikuwa na agenda ya kuiangamizi na kuifuta Israel) Israel ashukuru sana Mungu aliyempa akili za ziada na akaendelea...
10 Reactions
41 Replies
4K Views
Dunia nzima, hakuna nchi inayomiliki makundi ya wapiganaji ndani ya nchi nyingine, isipokuwa nchi ya Iran pekee. Makundi ya wapiganaji yanayomilikiwa na Iran ni pamoja na Hezbolah, Hamas na...
5 Reactions
11 Replies
936 Views
Wadau hamjamboni nyote? Waziri wa ulinzi wa Israel komandoo yoav galant na Waziri mwenzake Lloyd Austin watafanya kikao kizito makao makuu ya wizara ya ulinzi ya Marekani pentagon siku ya...
0 Reactions
3 Replies
488 Views
Muda wowote kuanzia sasa Israel itaishambulia Iran [emoji1130] Mkuu wa jeshi la Israel asema kwamba, "tuna mipango imara ya kuishambulia iran na lini tutaanza kuishambulia. Israel imeshaandaa...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Mods tafadhalini msiunge huu uzi, Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amemkosoa Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron kuhusu wito wake wa kuiwekea Israel vikwazo vya kuuziwa silaha (Arms...
2 Reactions
20 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…