International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Jamaa kaenda na ndege yake tena Private jet na msafara wa kutosha na katua Beirut sasa Israel si walisema watalipua ndege zozote za Iran zikitua? Jamaa kaenda, katua then akaelekea huko kusini...
3 Reactions
6 Replies
599 Views
Daaaah sijawahi kuona shambulizi la kutisha kama hili tokea nazaliwa To be honestly nakiri Iran nimewavulia kofia hawa jamaa nimeamini kweli sio waarab Makombora yalorushwa ni kama 500 hivi...
5 Reactions
13 Replies
904 Views
Rais wa zamani Donald Trump alisema kuwa Israel inapaswa kulenga vituo vya nyuklia vya Iran alipokuwa akizungumza kwenye tukio la kampeni huko Fayetteville, North Carolina, siku ya Ijumaa...
2 Reactions
35 Replies
2K Views
Wadau hamjamboni nyote? Rais Biden asema ameshatoa kibali trump apewe ulinzi sawa na Rais aliyeko madarakani Soma Pia: Marekani yasema Iran ndo ilitaka kumuua Trump Marekani: Donald Trump...
0 Reactions
26 Replies
2K Views
Wanamgambo wa Israel wanaendelea kuonesha chuki zao kwa kuvamia makanisa ya kuyabomoa huko Lebanon 🚨🇮🇱🇱🇧 BREAKING: ISRAEL just BOMBED another Christian Church in Lebanon. How could any Christian...
11 Reactions
65 Replies
2K Views
Hizbollah wameamua kufa na kuwapigania Wapalestina, Iran wameamua kuumia, kuteseka na kufa kuwapigania Palestina. Dunia upande mwingine imewaacha wapalestina na kuamua kusimama na mwenye nguvu...
7 Reactions
40 Replies
2K Views
Nchini Iran takribani lita milioni 20 hadi 50 za mafuta huuzwa kimagendo nje ya nchi kwa siku, vigogo Serikalini na Jeshi wahusishwa Wadau hamjamboni nyote? Huu ni utafiti kuhusu biashara ya...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Wadau hamjamboni nyote? Huwezi amini lakini huo ndiyo ukweli Yaani kwa ndugu wavunja undugu kwa ndugu mmoja mwenye neema kumtimua nduguye mwenye shida Serikali ya Kiislamu ya Jamhuri ya Iran...
6 Reactions
149 Replies
5K Views
Israel kaukacha bada ya kuambiwa na US asisubutu kugusa Iran, sababu Iran amezielekeza 800 Hypersonic missiles kuelekea israel, na hizo missiles vichwa vyake vina high explosions. US wamewambia...
33 Reactions
159 Replies
7K Views
Mhandisi wa Tesla wa kiwanda cha Giga Texas cha kampuni karibu na Austin aripotiwa kuvamiwa na Roboti na kujeruhiwa. Mashuhuda wawili walishuhudia kwa hofu wakati mwenzao aliposhambuliwa na...
4 Reactions
27 Replies
2K Views
Ofisi ya Mwendesha Mashtaka imesema haioni sababu za kumshtaki Rais Cyril Ramaphosa kutokana na Wizi wa Fedha uliodaiwa kufanywa na waliokuwa Wafanyakazi wake kwenye Shamba lake la Mifugo la Phala...
-1 Reactions
0 Replies
575 Views
"HABARI ZA DHARURA: ISRAEL imeshambulia Kanisa jingine la Kikristo nchini Lebanon na kuua wakristo wanne ikiwemo mchungaji waliokua kanisani hapo Yani hadi sasa washalipua makanisa mengi huko...
3 Reactions
24 Replies
1K Views
Hii dunia inamichezo mingi sana lakini serikali. Ya Lebanon lazima watakuwa wamechoka na tabia za hezbollah na watakuwa wameamua kuwauza Hezbollah kwa Israel kwa sababu haiwezekani ndani ya wiki...
2 Reactions
18 Replies
949 Views
Hii dunia ina maajabu na vichekesho vingi sana. Inaaminika kuwa huwezi kuwa raisi wa Marekani na hata Uiengereza bila kuwaunga mkono Israel na bila kujali jina la chama kinachogombea katika...
9 Reactions
91 Replies
3K Views
Wadau hamjamboni nyote? Taarifa ambazo hazijathibitishwa - Kamanda huyo Jeshi la Iran Meja Jenerali Esmail Qaani hajaonekana hadharani na hajulikani alipo tokea kuuawa Kwa Kiongozi Mkuu wa...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Dunia ilipiga sana kelele na bado inamshutumu Hittler juu ya mauaji ya wayahudi pale Germany aka Holocaust. Leo hii Ulaya manazi wanaonekana ni chukizo na wanaandamwa kila mahala juu ya mauaji...
0 Reactions
24 Replies
878 Views
P.L.O. Lumumba ni profesa wa Kenya anayejulikana kwa maoni yake makali kuhusu masuala ya kisiasa. Katika mazungumzo kuhusu vita vya Israeli na Wapalestina, anasisitiza mengi muhimu kwa mataifa...
1 Reactions
2 Replies
492 Views
Wadau hamjamboni nyote? Jeshi la Israel limefanya shambulizi Jirani na ubalozi wa Iran uliopo Damascus Syria na kumuua Jenerali Mohammad Reza Fallahzadeh ambaye ni naibu kamanda kikosi cha Quds...
4 Reactions
41 Replies
3K Views
Hizibolla bhana! Kile kipindi wakati Israel akishughurikia ipasavyo vile vigaidi vya Gaza, Hizibolla nayo ikiendelea kufanya opereshen kwenye bahari ikipiga na kulipua kila meri iliyotaka...
11 Reactions
37 Replies
2K Views
Ujerumani itasambaza silaha zaidi kwa Israeli hivi karibuni, Kansela wa Ujerumani Olaf Scholz anasema, baada ya kupungua kwa kiasi kikubwa cha silaha mwaka huu na kusababisha shutuma za upinzani...
4 Reactions
50 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…