Waziri wa Ulinzi wa Israel ametuma ujumbe kuwa uongozi wa Kiongozi moya wa Magaidi ya Hezbollah, Naim Qassem, takuwa wa muda mfupi tu.
Soma Pia:
Waziri wa Ulinzi wa Israel Jenerali Yoav Gallant...
Ni mwanaume
Ni mwanaume mwenye msimamo
Najua ipo siku femest inaweza kutawala Ila itupe muda kidogo kwakeli ,
Maana femist ndo wachochezi wakubwa wa ndoa za jinsia moja wanaamini mwanamke...
Russia decapitated:Russia Early-Warning (Nuclear) Missile Radar ATTACKED
MAY 24, 2024
One of Russia's absolutely key over-the-horizon, nuclear-early-warning radar sites has been hit by drone...
Wanaukumbi.
Mungu ni mkuu, Mungu ni mkuu, Mungu ni mkuu, na sifa njema ni zake.
Tazama Mujahidina wa upinzani wakipambana kwa mbali na jeshi la wasomi wa Kizayuni waliokuwa wakiingia, na wengi...
Makubaliano yamefikiwa hii leo huko Beijing nchini China kati ya Hamas na chama cha Hamas ambacho kina mamlaka fulani huko ukingo wa magharibi.
Tangazo hili lilitolewa na waziri wa mambo ya nje...
Rais wa zamani wa Marekani, Barack Obama, anajiandaa kufanya kampeni kwa ajili ya Makamu wa Rais Kamala Harris katika juhudi za mwisho kuelekea uchaguzi.
Obama, ambaye ni Kiongozi mashuhuri wa...
According to Wikipedia Vyama vikubwa ni
Bharatiya Janata Party BJP, Chinese Communist Party; Indian National Congress; hivyo vina wanachama zaidi ya 50 million
Between 5 to 50m CCM ipo namba...
Jeshi la Iran limesema,Wanajeshi wake 2 wameuawa na wengine 16 kujeruhiwa baada ya Israel kufanya mashambulizi ya kijeshi Tehran leo asubuhi. Mashambulizi hayp ni jibu la Israel kulipiza kisasi...
Nimecheki air defences za Israel na zile za Iran na kugundua kuwa, Iran imeihakikishia dunia kuwa ina Air defence bora kabisa..
Pamoja na mimi the branding kuwa pro-Israel, but hii naitoa moyoni...
Kutokana na mashambulizi ya Israel nchini Iran ambayo yalilenga maeneo ya kijeshi pekee, asubuhi ya leo Iran ilitangaza kuwa askari wake 2 waliuawa.
Iran ilisema kuwa mifumo yake ya ulinzi wa...
aisee mazee dah
Mubaarak Naasir Saciid kutoka Tanzania, aliyekuwa mwanachama wa kundi la kigaidi ISIS, anashiriki nasi hadithi yake yote." mahojiano haya yamrchaiswa na Puntland Security Force...
Hiyo mifumo ilidukuliwa wakapoteana, ndege za Israel zikawa zinajipigia tu, sema tatizo ni kwamba walipiga kwa malengo, hakuna rubani aliyepiga sehemu hakupangiwa, ila ingekua lile agizo la...
Wadau hamjamboni nyote?
Wakati mvutano unaendelea huko Mashariki ya Kati kufuatia mashambulizi ya kisasi ya Israel dhidi ya Iran, Marekani imeionya Tehran dhidi ya mipango yoyote wa kulipiza...
Nimeshangaa Egypt haitaki kabisa kuwa msaada kwa wanaGaza ili wapate mapumziko.
Unaona huu ukuta. Unaweza sema Trump katili sana kajenga huu ukuta kuzuia wapalestine wasiingie USA.
Unakuja...
Hivi umekwishawahi kujiuliza Tanzania tuna viwanja vingapi vya ndege? Kuna nchi hazina kiwanja cha ndege hata kimoja, tena nchi mbalimbali tu barani Ulaya. Sasa leo nakuletea nchi kumi...
Live Update arrow right icon From the Liveblog of Wednesday,
October 30, 2024
Report: Netanyahu wants his son’s wedding delayed due to ongoing war, drone threat
Prime Minister Benjamin Netanyahu...
Benjamin Netanyahu alidhani kuwa kuendelea kuuaua watu, umwaga damu za watoto basi itakuwa Kinga kwake ya kuwaconvince waisrael kuwa ni waziri mkuu mzuri.
Lakini maelfu ya waisraeli wameendelea...
Mtandao wa kijamii wa X zamani (Twitter), umesimamisha na kuifungia akaunti ya lugha ya Kiebrania ya Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Seyyed Ali Khamenei.
Hatua hiyo imekuja saa chache...
Marekani ilisema Iran ingeaanza kujibu mauwaji ya Ismael Haniye masaa 72 baada ya tamko la Ayatollah Khamenei kwamba wataipiga Israel moja kwa moja.
Kwa kujua Israel ina silaha bora na inasaidiwa...
Iran, USA, Russia, Ujeruman, UK, Korea zote, Japan, mkono wa Myahudi upo!
Kazi za kubuni na kutengeneza, hao jamaa Mungu amewabariki
Imefika wakati kwamba, kila nchi ambayo inawayahudi walipewa...