International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Tajiri namba moja Duniani bwana Elon Musk anatabiriwa kua Trilionea wa kwanza Duniani mwaka 2027 kama utajiri wake utaendelea kukua kwa mwenendo unaokua kwa sasa. Elon Musk utajiri wake...
3 Reactions
27 Replies
3K Views
Hali ya mvutano inaendelea nchini Chad baada ya vyama vya upinzani kutaka kumalizika kwa haraka kwa serikali ya mpito nchini humo na kufutwa kwa uchaguzi mkuu uliofanyika Desemba 29. Kwa mujibu...
0 Reactions
0 Replies
368 Views
Ni kweli marekani imesababisha maafa na hasara katika angle mbalimbali za dunia na wote tunajua lakini pia kila nchi ina mazuri na mabaya yake hili hakuna wa kupinga Sasa leo tuwape maua yao...
10 Reactions
67 Replies
2K Views
Hahaha wakuu ogopeni sana mitandao ile connection imezidi kugharimu ndoa za wakubwa serikalini guinea humo ndani Hii ni video inayoonyesha Mume aliyechapiwa na anasikitika sana maana alikuwa...
13 Reactions
72 Replies
5K Views
Anayedaiwa kumiliki na kuendesha tovuti haramu ya kusambaza filamu maarufu ‘FMovies’ mapema mwezi uliopita alitambulishwa baada ya kukamatwa na Polisi wa Mji wa Hanoi nchini Vietnam kufuatia...
7 Reactions
59 Replies
3K Views
Wadau hamjamboni nyote? Msako magaidi duniani kote unaendelea Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: December 31, 2024 France says it carried out missile strikes against Islamic State in...
6 Reactions
26 Replies
2K Views
Utekaji uliofanywa Oktoba 7 2023 ni njama za natanyahu kuiangamiza palestina.Hebu tujiulize maswali haya: 1.Hivi inaingia akililini kweli kwamba jeshi la mwamba natanyahau,tena likisaidiwa na...
4 Reactions
27 Replies
1K Views
Jumamosi ya leo siku kama ya leo mwaka 1976 Makomandoo wa kiisrael walishuka paple Uganda Entebe air port kuokoa ndugu zao. Makomandoo hao waliongozwa na kija a Jonathan Netanyahu akiwa na...
3 Reactions
7 Replies
2K Views
Wadau hamjamboni nyote? Tumuombee mwamba Mungu amfanyie wepesi alone arudi kuongoza mapambano dhidi ya magaidi Mungu ibariki nyumba ya Yakobo PM to be hospitalized for several days for prostate...
4 Reactions
157 Replies
7K Views
What a surprise!?!? Al-Jawlani, Head of HTS That Overthrew Syria President, is Jewish . . . Hal Turner World December 29, 2024 What a surprise!?!?! The Head of HTS, a.k.a. "ISIS," a.k.a. "Al...
8 Reactions
74 Replies
5K Views
Huko Msumbiji wanatarajia kufanya uchaguzi Mkuu tarehe 09 Oktoba 2024. Huku Mgombea wa FRELIMO Komredi Daniel Chapo (47) akitarajia kushinda kwa kishindo. Maana huko Msumbiji Upinzaji upo taabani...
5 Reactions
63 Replies
3K Views
Wadau hamjamboni nyote? Mazungumzo juu ya kuachiliwa yanaendelea kati ya Israel na Hamas Makubaliano yakifikiwa na mateka kuachiliwa Israel itaendelea na vita dhidi ya magaidi ya Hamas hadi...
2 Reactions
26 Replies
1K Views
Wadau hamjamboni nyote? Amewahi kuwa Waziri wa mambo ya ndani, Spika wa bunge la Knesset na amewahi kuongoza kikosi maalumu cha askari wenye weledi mkubwa almaarufu Unit 8200 Amezaliwa 22 Juni...
6 Reactions
34 Replies
2K Views
Katika taarifa iliyotolewa hivi punde kutoka vyanzo nchini Iran Hashim anatajwa kuwa tayari jina lake limethibitishwa na shura ya maulamaa kama mrithi wa Hassan Nasrallah. Muda wowote atatangazwa...
28 Reactions
335 Replies
12K Views
Wadau hamjamboni nyote? Tumsifu Yesu Kristo Bwana Yesu asifiwe Shaloom Komandoo mwamba kiboko ya magaidi yupo salama kabisa wodini Operesheni imekwenda vizuri na muda huu amepumzika wodini...
12 Reactions
71 Replies
3K Views
Mtoto wa senator wa north dacota, Ian crammer amehukumiwa kifungo cha miaka 28 jela baada ya kukutwa na hatia ya kuendesha gari kwa spidi kubwa iliosababisha ajali na kuua mtu mmoja wa miaka 53...
0 Reactions
3 Replies
447 Views
Huyu bwana Netanyahu amekuwa alifanya maamuzi mabaya bila shaka ni Kutokana na Kuzorota Kwa Hali yake ya kiafya kiasi kwamba amekata tamaa ya maisha hivyo kupelekea kufanya maamuzi yanayoleta...
1 Reactions
7 Replies
684 Views
Amani kwenu wana jukwaa Nchini Morocco kumetungwa Sheria mpya ya NDOA ambayo kwa waislam weusi wa TANZANIA wanadai inakinzana na utamadun wa kiarabu yaan wa kiislamu Bunge la Morocco limepiga...
10 Reactions
36 Replies
2K Views
Former US President Jimmy Carter has died aged 100, the centre he founded has confirmed. The former peanut farmer lived longer than any president in history and celebrated his 100th birthday in...
17 Reactions
115 Replies
6K Views
Madaraka matamu sana usione Chairman anatoana kamasi na kibaraka wa Wazungu unadhani wanatania 🤣🤣🤣👇👇 Mikheil Kavelashvili ambaye ni Rais mteule wa Georgia ameapishwa leo kuanza kulitumikia...
4 Reactions
7 Replies
894 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…