International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Mamilioni ya Wamarekani wamearifiwa kujiandaa kwa hali ya hewa ya majira ya baridi. Jimbo la West Virginia limejiunga na majimbo mengine matano kutangaza hali ya dharura. Baadhi ya picha...
1 Reactions
30 Replies
2K Views
Kila mwanzoni mwa mwaka, diplomasia ya China ina “makubaliano yasiyobadilika” — ziara ya kwanza ya waziri wa mambo ya nje lazima iwe Afrika, na mwaka huu hauna tofauti. Kuanzia tarehe 5 hadi 11...
3 Reactions
6 Replies
528 Views
Ukraine Attacks Zaporozhe Nuclear Power Plant Hal Turner World January 06, 2025 Ukraine has attacked the Zaporozhe and Energodar Nuclear Power Plant in an effort to create a nuclear catastrophe...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
This is the power of the Russian "Oreshnik" missile, complete devastation and utterly horrifying. Hal Turner World January 06, 2025 Back in November, Russia struck Ukraine with a single...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron amedai kwamba viongozi wa nchi za Afrika hawana shukrani. Macron aliyasema maneno hayo mnamo tarehe 6 January 2025 wakati akiwahutubia wanadiplomasia wa Ufaransa...
12 Reactions
13 Replies
1K Views
Wanaukumbi, Wakili aliyewasilisha kesi hiyo kwa niaba ya taasisi hiyo, Maira Pinheiro, alinukuliwa na vyombo vya habari vya Brazil akisema kwa vile Brazili imetia saini Mkataba wa Roma...
2 Reactions
62 Replies
2K Views
Taarifa ya Chama cha Podemos imeeleza kabla ya mauaji hayo, wauaji walifuatilia gari la Dias na Guambe kwa muda kisha kuwashambulia wahusika kwa risasi katika Mji wa Maputo MSUMBIJI: Watu wenye...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Baraza la Katiba (CC) limetangaza rasmi kuwa Rais Mteule, Daniel Chapo ataapishwa Januari 15, 2025 kuwa Kiongozi wa Taifa hilo, licha ya wito wa Wananchi, Wapinzani na Jumuiya za Kimataifa kudai...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Kutoka nchini Msumbiji inaelezwa kuwa watu waliokuwa na bunduki wamempiga risasi na kumuua mwanasiasa wa upinzani nchini humo Elvino Dias Taarifa iliyotolewa na chama chake cha PODEMOS imeeleza...
9 Reactions
71 Replies
37K Views
Wanaukumbi. CAIRO, Jan 5 (Reuters) - Palestinian militant group Hamas has approved a list of 34 hostages presented by Israel to be exchanged in a possible ceasefire deal, a group official told...
3 Reactions
33 Replies
2K Views
August 24, 2018 Forty-three years after the death of Spanish dictator Francisco Franco, the Socialist Party (PSOE) government of Prime Minister Pedro Sánchez has begun the complex process of...
2 Reactions
11 Replies
3K Views
Waziri Mkuu wa Canada Justin Trudeau Januari 6 ametangaza nia yake ya kujiuzulu kama kiongozi wa chama na kama Waziri Mkuu wa nchi hiyo mara tu baada ya chama chake kumchagua kiongozi wake mpya...
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Saudi Arabia imewaachilia huru wanawake watatu wa Nigeria waliokuwa wamekamatwa na kushtakiwa nchini humo. Msemaji wa wizara ya mambo ya nje kwa sasa, Kimiebi Ebienfa, katika taarifa iliyotolewa...
1 Reactions
3 Replies
574 Views
Wanaukumbi. 50,000 Israeli Soldiers Keep Failing to Occupy a Single Lebanese Village Yedioth Ahronoth reported that "after a month of ground operations, 5 Israeli military divisions & a reserve...
12 Reactions
39 Replies
2K Views
Wadau hamjamboni nyote? Rais Biden amebakiwa wiki 2 tu kabla ya kukabidhi madaraka kwa Rais Trump Ameamua kuidhinisha msaada wa Mwisho Kwa taifa takatifu kabla ya kuondoka Mungu ibariki...
6 Reactions
25 Replies
2K Views
Rais wa Zambia bwana Hajainde Hichilema amewasimamisha kazi Majaji 3 wa mahakama kuu Kwa madai ya mwenendo usiofaa na kusababishia lawama za Serikali kuingilia mhimili wa mahakama. Majaji...
7 Reactions
58 Replies
3K Views
Wanakumbi. Benjamin Netanyahu aliidhinisha mazungumzo ya Israel, ikiwa ni pamoja na Mossad na maafisa wa kijeshi, kuendelea na mazungumzo nchini Qatar na Hamas ili kupata makubaliano ya...
3 Reactions
36 Replies
1K Views
Niaje waungwana, Leo ningependa kupata majibu kutoka kwa wajuzi wa mambo ya kidiplomasia, kuhusu kile kinachoendelea huko kwa ndugu zetu wa Haiti. Kwanza nafahamu kwamba baada ya uhuru, kila...
7 Reactions
37 Replies
3K Views
Jeshi la Mali limethibitisha kuwakamata viongozi wakuu wa tawi la IS katika eneo la Sahara . Viongozi wa tawi hilo lijulikanalo kama Islamic State in Greater Sahala ( EIGS kwa...
1 Reactions
6 Replies
679 Views
Uwanja wa ndege wa Beirut unatekeleza hatua kali kwa safari za ndege za Irani, pamoja na mwanadiplomasia - hii ndio sababu. Akiwasili kutoka Tehran kwenda Beirut kwa ndege ya "Mahan Air"...
3 Reactions
24 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…