International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Marekani na Iran Wafikia Makubaliano ya Kumaliza Vita, Hormuz Kufunguliwa Tena Marekani na Iran zimefikia makubaliano ya awali ya kumaliza vita vilivyodumu kwa zaidi ya miezi mitatu, hatua...
0 Reactions
0 Replies
83 Views
Leo, IDF imemshambulia na kumuua gaidi Saleh Ramadan Muhammad Khalifa, kamanda wa seli katika Kikosi cha Hamas cha Nuseirat, katika Ukanda wa Gaza wa kati. Katika shambulio la ziada kaskazini mwa...
0 Reactions
0 Replies
64 Views
Moja kwa moja. Hatimaye jana Tarehe 12 /6 /2026 lile parade kubwa na maarufu zaidi la Mashoga Duniani "Pride Parade" limefanyika Tel Aviv , baada ya October 7 kutokana na tishio la kiusalama...
14 Reactions
240 Replies
3K Views
Wananchi wa Iran wenye msimamo mkali wameandamana kuwataka waziri wa mambo ya nje Iran Abbas Araghchi na spika wa bunge Muhammad Glalibaf waachie nyadhifa zao kwa kushirikiana na Marekani kutaka...
0 Reactions
6 Replies
233 Views
Ukumbuke kuwa Iran walipiga mikwara kuwa endapo Israel itashambulia Gaza basi Iran Watajibu kwa nguvu kubwa. Lakini tokea waseme hivyo hakuna walichowahi kufanya. Ilikua ni mikwara ya kwenye...
0 Reactions
18 Replies
256 Views
Waziri wa Ulinzi wa Israeli Israel Katz: Mimi na Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu tunaongoza sera iliyo wazi inayoamua kwamba IDF itabaki katika maeneo ya usalama nchini Lebanon, Syria, na Gaza -...
2 Reactions
4 Replies
157 Views
🌲 - 🇱🇧🇮🇱🇱🇧 Mwanajeshi wa Hezbollah, Hussein Sabbagh aliyedandia msafara wa UNIFIL na kuweka bendera ya magaidi wa Hezbollah juu ya magari hayo alitangazwa kuwa amefariki jana baada ya kuwindwa...
0 Reactions
5 Replies
106 Views
Msemaji wa Kamati ya Usalama wa Kitaifa na Sera za Kigeni katika bunge la Iran, Ebrahim Rezaei: Lebanon, na kumaliza vita nchini Lebanon, ni sehemu isiyoweza kutenganishwa ya MoU ili kukomesha...
0 Reactions
0 Replies
80 Views
WASHINGTON D.C. — Aliyekuwa Balozi wa Marekani nchini Israel, Daniel Shapiro, ametoa tamko zito linalozua mjadala mpana, akidai kuwa vita dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran vilikuwa kosa la...
5 Reactions
5 Replies
274 Views
Mamlaka nchini Afrika Kusini siku ya Ijumaa zimeahidi kuwachukulia hatua kali wale wote wanaohusika na mashambulizi ya kibaguzi (xenophobia) dhidi ya Waghana na raia wengine wa kigeni. Hatua hii...
3 Reactions
4 Replies
245 Views
Wanaukumbi. Falme za Kiarabu tayari zimewasilisha takriban dola bilioni 3 kwa Iran na kukubali kutoa mabilioni zaidi chini ya mpango unaolenga kusimamisha mashambulizi ya Iran dhidi ya taifa la...
3 Reactions
12 Replies
454 Views
Mwishoni mwa wiki, katika shambulio maalum kusini mwa Lebanon, IDF ilimwondoa gaidi Ali Musa Daqduq, kamanda mkuu wa Hezbollah. Daqduq alishikilia mfululizo wa nafasi za juu ndani ya Hezbollah na...
1 Reactions
2 Replies
149 Views
© Getty Images; Adam Gault US Director of National Intelligence (DNI) Tulsi Gabbard has released new evidence that US-funded biological laboratories in Ukraine were researching dangerous...
4 Reactions
22 Replies
509 Views
Ship building ni moja ya sekta muhimu sana kwa uchumi wa nchi na usalama wa taifa. Wakati Marekani kwa wastani inazalisha meli 5 kwa mwaka China inazalisha meli 5 kwa siku! Kwa sasa China...
29 Reactions
126 Replies
6K Views
Jeshi la Wanajeshi wa Kivita la Israel linasema linajiandaa kwa uwezekano wa kushambulia Israel kufuatia mashambulizi yake dhidi ya malengo ya Hezbollah huko Beirut. Mkuu wa Wafanyakazi Luteni...
2 Reactions
10 Replies
165 Views
Hawa wapuuzi Israel sijui ni maajent?Imagine Iran na US ilikua wasaini dili la amani leo au kesho ili maisha duniani yarudi kama mwanzo Mafuta na gesi vingeshuka ila Israel kaharibu tena mambo...
1 Reactions
2 Replies
224 Views
Ni wazi kuwa Iran ilishambulia makombora ya balistiki takriban 200 Jumanne jioni hii, kuelekea kwenye vituo vya kijeshi na kijasusi vya taifa la Israel kama shambulio la kulipiza kisasi lililoitwa...
6 Reactions
40 Replies
4K Views
Vikundi vidogo ndani ya Iran vimeonyesha kuchukizwa baada ya madai ya makubaliano na Marekani. Vikundi hivyo vimeonekana vikifanya maandamano siku ya Jumamosi katika miji kama Tehran na Mashhad...
1 Reactions
19 Replies
336 Views
Israel imetoka ONYO Kali kwa maadui zake kutoka nje kwa kuwaambia Shambulio moja la kigaidi, roketi, kombora au ndege isiyo na rubani na utapata kuonja utamu wa kombola letu pendwa la Jericho.
11 Reactions
77 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…