Watu 9 pamoja na watoto wawili wamefariki na wengine 3 kujeruhiwa jana (Jumamosi) mchana baada ya ndege waliokuwa wakisafiria kuanguka kutokana na hali mbaya ya hewa muda mfupi baada ya kuondoka...
Jerusalem
dead sea oldest town Jerusalem myahudi akikatiza katikati ya jiji
daraja la kisasa kabisa katikati ya mji
underground railway
tel Aviv
Haifa town
tel Aviv
bandari ya Jaffa...
Kwa hali ya masikitiko dada wa aliyekuwa mpiganaji Fred Gisa Rwigema ajulikanaye kama Joy Agaba alikutwa juzi amenyongwa nyumbani kwake na watu wasiojulikana.
Mauaji ambayo yalifanana na yale ya...
North Korea's state media on Saturday lashed out at Japanese Prime Minister Shinzo Abe as an "imbecile and political dwarf" for calling Pyongyang's latest test of a large multiple-rocket launcher...
Katika hali isiyo ya kawaida nchini Iran maarufu kwa propaganda za nchi za wenzie sasa mambo yanawaendea kuwa Magumu kila mji uujuao nchini Iran kisa kikuu ni Kupandishwa bei ya Mafuta mara mbili...
Wahamiaji 117 kutoka waliokuwa wamezuiliwa Libya wamewasili nchini Rwanda mapema leo asubuhi, limesema shirika la Umoja wa Mataifa la wakimbizi UNHR.
Wengi wa wahamiaji wa kundi hili la sasa...
Rais wa Marekani, Donald Trump amesaini muswada wa kuunga mkono maandamano yakudai demokrasia mjini Hong Kong na kuwa sheria.
Rais huyo alitia saini sheria hiyo licha ya pingamizi kutoka kwa...
A man has been shot near London Bridge wielding a knife. More to come.
A man has been shot by police after a number of people were believed to be injured in a stabbing attack around London...
November 28, 2019
Galicia, Spain
Spanish Civil Guard divers stand over the refloated prow of the submersible. LALO R. VILLAR (AFP)
Spanish police officers have been inside the “narco-submarine”...
The rocket launchers were primed for action during the security scare near the president's Washington home earlier this week.
The skies over central DC have been deemed a no-fly zone since the...
Sheria imepitishwa nchini Sudan ya kuvunja chama cha rais aliyeng'olewa madarakani Omar al-Bashir.
Bwana Bashir alichukua mamlaka 1989 kwa mapinduzi na kuliongoza taifa hilo kwa takriban miongo...
Mkurugenzi Mtendaji wa Huawei na mwanzilishi wa Ren Zhengfei amesema anaamini kampuni yake bado inaweza kuwa na hadhi ya juu zaidi duniani, hata ikiwa imetolewa kutoka kwa programu za Google...
Kiwango cha Bei ya Watumiaji (CPI) kimeongezeka kwa asilimia 1.1 mnamo Novemba nchini Ujerumani.
Kulingana na data ya Takwimu ya Shirikisho la Ujerumani (Destatis), mfumko wa bei nchini...
by Texe Marrs
Texe Marrs
What messages are some of the world's top corporations sending with their choices for names of products and companies? In my bookProject LUCID, I uncover the curious...
Kufuatia mashambulizi ambayo yamefanywa na waasi katika eneo la Biakato nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC, shirika la Afya la Umoja wa Mataifa WHO limeamua kuwaondoa wafanyakazi wake...
Mahakama nchini Algeria imeamuru mchora katuni kuwekwa kizuizini katika hatua ambayo wanaharakati wameieleza kama mbinu ya ukandamizaji wa uhuru wa kujieleza ikiwa bado siku chache kabla ya nchi...
Shirika la afya duniani (WHO) limesema mashambulizi mawili yaliyotokea Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, yamesababisha vifo vya wafanyakazi wanne wanaoshughulikia mlipuko wa Ebola...
Kituo cha Uandishi wa Habari za Uchunguzi cha AmaBhungane cha Afrika Kusini pamoja na gazeti la Financial Mail kimewasilisha maombi katika Mahakama Kuu ya Pretoria ya ili kuweza kupata taarifa za...