International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Mkurugenzi wa CDC amesema kuna uwezekano mlipuko wa pili wa COVID19 ukatokea msimu wa baridi (Winter) wakati wa kipindi cha mafua Kauli yake inakuja baada ya Magavana kadhaa kulegeza masharti...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Bill Gates has open up saying that Africans should allow the vaccine to be tested on them since they cannot produce the vaccine. This is what he said; I was initially angry about the move to...
1 Reactions
212 Replies
21K Views
Missouri limekuwa jimbo la kwanza nchini Marekani kuishitaki serikali ya Uchina kwa namna ambayo imeshughulikia janga la virusi vya corona. Mashtaka hayo yanakuja wakati ambao kuna ongezeko la...
0 Reactions
19 Replies
4K Views
Shirika la kutetea Haki za Binadamu, Human Rights Watch linataka uchunguzi ufanywe kubaini chanzo cha kifo cha mwanamuziki maarufu wa nyimbo za injili nchini Rwanda, Kizito Mihigo. Mkurugenzi wa...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
“THE PRICE OF OIL WILL DROP DRASTICALLY!” - PROPHET TB JOSHUA Starting twelve years ago, Prophet TB Joshua gave a series of prophecies concerning the current economic crisis, specifically...
1 Reactions
38 Replies
3K Views
Mkurugenzi mtendaji wa Shirika la Mpango wa Chakula Duniani WFP Bw. David Beasley jana jumanne alionya dhidi ya kutokea kwa baa kubwa la njaa kote duniani, sambamba na janga la COVID-19. Bw...
5 Reactions
18 Replies
3K Views
MELINDA GATES, mke wa bilionea Bill Gates wa Marekani, ameonya kwamba iwapo dunia na hususani Afrika haitachukua hatua za haraka za kukabiliana na janga la virusi vya Corona vinavyosababisha...
7 Reactions
88 Replies
10K Views
Personal body guard wa rais wa Nigeria ndugu Mohamadou Buhari afariki dunia jana. Ofisi ya rais imetaarifu Lawal Mato alifariki kwa kisukari ambayo imemsumbua kwa muda wa miaka mitatu. Ila...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Mataifa 193 wanachama wa Umoja wa Mataifa yamepitisha azimio linalohimiza kuwepo usawa kwa kila nchi duniani kupata chanjo ya virusi vya corona itakayopatikana katika juhudi zinazoendelea. Azimio...
12 Reactions
101 Replies
13K Views
Shirika la Afya Duniani linasema kilele cha hali ngumu zaidi kuhusiana na Ugonjwa wa Covid-19, bado hatujakifikia; na hivyo kuyataka mataifa kuwa makini katika kuondosha lockdowns.
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Watesi wa Kim wamejibiwa na South Korea (sio North Korea) kuwa komredi Kim Jong-Un sio mgonjwa kama walivyozusha na kuanza kufurahika. Uzushi huo ulianzishwa na vyombo vya habari vya CNN na Daily...
3 Reactions
8 Replies
2K Views
Katika juhudi za kukabiliana na ugonjwa wa Covid-19 Rwanda imezindua mashine ya kwanza iliyotengenezwa nchini ambayo inawasaidia wagonjwa kupumua maarufu kama ventilator. Ni mashine...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Rais Donald Trump ametangaza kusaini amri ya kusimamisha kwa muda shughuli zote za uhamiaji nchini Marekani ili kukabiliana na mlipuko wa Virusi vya Corona na vilevile kulinda ajira za Wamarekani...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Hii ni baada ya unyanyasaji wa watu weusi unaoendelea huko China. Hivyo serikali hii imeamua kuwakamata wachina wote waliopo nchini humo. Na wamedai ni mpaka RAIA wa Guinea watakaporudi salama...
47 Reactions
136 Replies
17K Views
Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini ametangaza mpango wa uokozi wa dola bilioni 26 kuupiga jeki uchumi na kusaidia jamii masikini zilizoathirika na janga la virusi vya corona. Akilihutubia...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Papa Francis leo ameutolea mwito Umoja wa Ulaya kubaki na mshikamano katika kukabiliana na athari za janga la virusi vya Corona. Kiongozi huyo wa kanisa Katoliki duniani ametowa mwito huo siku...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Huwa nashangaa sana mtu akibisha kwamba watu hawauzwi au wanaosafirishwa kufanya kazi hawaendi kuteswa na kunyanyaswa mkabala na kunyang'anywa passport Uarabuni. Hii hapa ni mojawapo ya nchi...
0 Reactions
21 Replies
6K Views
The Israeli NGO Shurat HaDin plans to file a class action lawsuit against China in the coming days over its alleged negligence in treating and containing the coronavirus, N12 reported on Sunday...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
© Adam Dean for The New York Times A view of Scarborough Shoal, now effectively controlled by China. The Chinese government has made vast claims to the South China Sea that conflict with...
0 Reactions
2 Replies
847 Views
His administration reportedly funded the lab in 2015. For once a reporter asked a pertinent question at a White House daily virus briefing. On Friday one reporter asked President Trump if he...
0 Reactions
27 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…