International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Baada ya PM Abiy Ahmed kutangaza kwenda msitari wa mbele wa mapigano vitani. Kumekuwepo na wimbi kubwa la watu maarufu kutangaza kwenda vitani pia. Vita ni propaganda hapa tayari Watgray...
3 Reactions
35 Replies
3K Views
Sheria ya kuitambua bangi kwa matumizi ya dawa na viwandani imepitishwa rasmi nchini Malawi Sheria ilitungwa 2020 Augusti ambapo kwa sasa imepitishwa na inatambulika kama Kanuni za Bangi 2022
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Chemba ndogo ya bunge au "Lower House" ya Ujerumani imepitisha kwa pamoja uamuzi wa kumfanya bwana Olaf Scholz kuwa Kansela mpya wa Ujerumani. Vyama vya SPD cha Scholz, Green na FDP kwa pamoja...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Serikali Nchini Burkina Faso imeongeza muda wa kusitishwa Huduma za Intaneti, ikielezwa hatua hiyo inatokana na sababu za Usalama na Ulinzi wa Taifa. Huduma za Intaneti zilikatwa kutokana na...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
MAKALA IFUATAYO INAELEZEA TUKIO HILO KATIKA NCHI KAMILI. UKISOMA MARA NYINGI, NDIO MAHALI PA KUSOMA TENA. NI UJUMBE WA THAMANI SANA WENYE MATOKEO YA THAMANI SANA. TAFADHALI SHARE NA WAPENDWA...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Kampuni ya Apple imeifungulia mashtaka kampuni ya nchini Israel ya NSO iliyotengeneza programu ya Pegasus kwa madai ya kuathiri watumiaji wa vifaa na huduma zake. Mashtaka ya Apple dhidi ya NSO...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Waziri Mkuu wa Nchi hiyo, Mohamed Hussein Roble ametangaza Hali ya Dharura kutokana na Ukame mbaya, akiwataka Wananchi na Jumuiya ya Kimataifa kusaidia wahanga. Ukame mbaya umeripotiwa sehemu...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Mataifa kadhaa yametoa wito kwa Raia wake kuondoka Nchini Ethiopia kutokana na mvutano kati ya Vikosi vya Serikali na vile vya Tigray kuonekana unashika kasi. Ufaransa imewataka Raia wake...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Siku ya Jumanne, Urusi ilizindua ndege yake mpya ya kivita na inayoweza kufanya misheni za kijasusi ya Sukhoi "Checkmate" katika onyesho la ndege mbele ya Rais Vladimir Putin. Habari juu ya...
17 Reactions
111 Replies
16K Views
Katika ripoti yake iliyochapishwa Jumanne, shirika la Umoja wa Mataifa la mipango ya Maendeleo UNDP limesema takriban asilimia 60 ya vifo vitakuwa vimesababishwa na athari zisizo za moja kwa moja...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Tangu Mashambulizi ya Septemba 11 mwaka 2001 huko nchini Marekani,dunia imeendelea kukumbwa na Vitando vya Kigaidi kila wakati. Kitu ambacho dunia na Serikali zote duniani zinashindwa kuwaeleza...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
A senior Israeli army officer has said that recent joint naval exercises between the UAE, Bahrain, Israel, and the US were a preparation for a possible confrontation with Iran. "We are...
0 Reactions
0 Replies
556 Views
Ujerumani ndiyo ilikuwa nchi ya kwanza kuchanja raia wake wote na busta juu. Inakuwaje tena inaongoza kwa maambukizi ya virusi vya corona hadi kufikia watu elfu 50 kwa siku?
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Ripoti ya taasisi ya kimataifa ya IDEA imeiweka Marekani kwenye orodha ya mataifa yanayorejea nyuma kidemokrasia kwa mara ya kwanza, inayoashiria kuporomoka vibaya kwa taifa hilo kulikoanza mwaka...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Shirika la Msalaba Mwekundu limesema athari za janga la COVID19 kijamii na kiuchumi zimewaathiri zaidi Wanawake ulimwenguni kote. Kwa mujibu wa Ripoti hiyo, Wanawake wameathiriwa zaidi na upotevu...
0 Reactions
0 Replies
950 Views
Wanajeshi watano wa Uganda wanaofanya kazi na vikosi vya Umoja wa Afrika nchini Somalia wamekutwa na hatia ya kuwaua raia saba nchini humo. Wawili kati ya wanajeshi hao wamehukumiwa kifo, huku...
4 Reactions
64 Replies
5K Views
13/11/2021 Yafaa kusema wakati wa kipindi cha ukingoni cha Afrika Kusini na sera za ubaguzi wa rangi dhidi ya wasio weupe (wasio wazungu) watu wengi nchini humo ukijumuisha na baadhi ya hata...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Baada ya wiki kadhaa za maandamano, Jeshi la Sudan limemrejeshea Madaraka Waziri Mkuu wa Nchi hiyo, Abdalla Hamdok na kutangaza kuwaachia huru Wafungwa wote wa kisiasa. Chini ya makubaliano...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Jamhuri ya Yemen iko Kusini na Kusini Magharibi ya peninsula ya Arabia Ina idadi ya watu ya milioni kumi na moja na eneo la maili mraba 190,000. Ndio eneo pekee la peninsula hii linalopata mvua...
3 Reactions
14 Replies
2K Views
Jeshi la Sudan lilifanya mapinduzi ya utawala wa kiraia wiki kadhaa zilizopita. Lkn baada ya maandamano yasiyokoma ya wananchi leo hii jeshi limeufyata na kuamua kuurejesha utawala wa kiraia...
6 Reactions
10 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…