Marekani na Nato wamemponza mwenzao, utampelekeaje Zelensky silaha na mindege! Ona sasa kilichomkuta huyu Comedian....hapa BlackPanther anahesabu siku za kuimega ukraine,
Nawasubiri pro...
Poland ramps up reverse gas supplies from Germany
Russia’s Gazprom closed taps after Warsaw refused to pay for deliveries in rubles
Underground gas storage belonging to PGNiG company in Kosakowo...
Poland ramps up reverse gas supplies from Germany
Russia’s Gazprom closed taps after Warsaw refused to pay for deliveries in rubles
Underground gas storage belonging to PGNiG company in Kosakowo...
Waumini 20 wa Kiislamu wameuawa katika eneo la Amhara nchini Ethiopia katika matukio tofauti, moja likiwa kuviziwa na watu wasiojulikana wenye silaha, wakitoka msibani Aprili 26, 2022
Inaelezwa...
Kuna msemo maarufu wa waingireza usemao "history repeats itself"
kwa ninavyoona majeshi ya Urusi huko Ukraine huenda yakatumia miaka 40 kwenda Kyiv kama wana wa Israel walivyotumia miaka 40...
Japo watu wengi walikuwa wanafahamu kuwa lengo la Urusi tangu mwanzo ilikuwa ni kuidhoofisha Urusi kiuchumi na kijeshi Walikuwa wanafanya kama siri fulani. Kwa sasa wanasema kwa wazi lengo hilo...
Huwezi kuwaelewa wanasiasa! Jana Bulgaria iliamua kuachana na gesi toka urusi ambayo kimsingi ina bei ndogo na kuamua kutumia gesi toka Azerbaijan ambayo kimsingi inauzwa kwa bei ya juu zaidi...
Hii inamaana itakuwa rahisi kwa Maadui wa Urusi kuingia na kutoka Urusi kwa wakati wote.
Kituo Cha Siri cha Jeshi la Urusi kinachohusika utafiti wa Makombora kimeungua na moto watu 5 wakifariki...
Makamu wa Rais wa USA Kamala Harris tests positive with Corona virus …
=======
(CNN)Vice President Kamala Harris tested positive for Covid-19 on Tuesday after returning from a weeklong trip...
Kampuni ya usafirishaji ya Uber imekubali kulipa faini ya dola milioni 26 za Australia ($19m) kwa kuwahadaa wateja wao, kwa kuonya kwamba wanaweza kutozwa ada ya kughairi ‘cancellation fee’ na kwa...
KISSINGER AMEONEKANA CHUMBANI KWENYE MITAMBO YA VITA YA MAREKANI AKICHEKAA
🔷 Kissinger: World War III will come and Muslims will turn to ashes ...
Former US Secretary of State Henry Kissinger...
Hebu piga mahesabu wewe ndio Rais wa nchi yoyote ile halafu itokee nchi nyingine jirani inataka kuchukua maeneno yako kwa lazima I mean Vita.
Yaani assume hapa Tanzania nchi majirani mojawapo...
Shirika la misaada katika eneo lenye vita la Darfur, limesema Aprili 24 2022 yaliibuka mapigano kati ya waarabu na wasikuwa waarabu magharibi mwa Darfur, na kusababisha vifo na majeruhi...
Mzuka wanajamvi.
Mods usiunganishe uzi.
Ukraine, Georgia na Moldova ni mataifa ulaya ambayo yalikuwa kwenye mchakato wa kujiunga na European union.
Licha ya bado kutojiunga lakini Raia wake...
Umoja wa mataifa UN mara nyingi umeomba vita baina ya Urusi na Ukraine visitishwe haraka.Papo hapo kila leo Marekani na Uiengereza wanatoa ahadi za wazi wazi za kupeleka silaha kwa Ukraine ili...
Afrika imekumbwa na msururu wa mapinduzi ambayo yanatishia kuirudisha nyuma miaka ya 1980 na enzi za utawala wa kijeshi.
Burkina Faso, Chad, Guinea, Sudan na Mali zote zimeshuhudia serikali...
Nimetafakari na kugundua silaha zinazopelekwa Ukraine ni nyingi sana.
Nimesoma Ujerumani wanasitisha kuendelea kumsaidia maana wataishiwa silaha wamebakiza akiba.
Mchambuzi mwingine anasema hats...
Hapa Ukraine ajiulize mara mbili anasaidiwa au anaangamizwa ,haiingii akilini mtu anakula mboga saba alafu anakupa kipande cha silesi eti kakupenda ,
Kwa kamsaada hako usitegemee utamshinda Russia...
Tokea ipate uhuru Pakistan hakuna waziri mkuu aliyedumu kwa mda wa miaka 5, wengi wao ni miaka 4, 3 au siku kadhaa tu, hii inatokana na mfumo wao wa bunge ambao Mara nyingi unamuwih vigumu kwa...
Serikali ya India ipo katika mchakato wa kuweka utaratibu utakaoiwezesha kulipia nishati ya mafuta moja kwa moja kutoka urusi kwa kutumia sarafu yake (rupee) na sarafu ya Urusi (ruble) ili kuweza...