International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Juni 6, 2022, maonesho ya kitamaduni ya Egungun ya Afrika Magharibi "mwujiza na Afrika” yalifanyika mjini Shenyang. Mama Kanga
0 Reactions
0 Replies
426 Views
Rais wa Ukraine ndugu Zelensky katika taarifa zake za leo kwa njia ya mtandao amesema eneo la Donbas litarudi kuwa Ukraine kwa mara nyengine. Hii ina maana eneo hilo ambalo ni muunganiko wa mikoa...
9 Reactions
24 Replies
3K Views
Hiyo ni takriban mara tatu ya visa vipya 257 vilivyoripotiwa nje ya bara la Afrika kwa muda wa wiki 3 zilizopita, visa vingi vikiripotiwa Ulaya na Amerika Kaskazini na pia idadi ndogo ya visa...
0 Reactions
3 Replies
730 Views
Raia wamelaani shirika la ndege la Ireland Ryanair kwa sera yake ya wasafiri wa Uingereza kufanya majaribio kuthibitisha uraia wao kwa Kiafrikaan (lugha iliyokuwa ikitumiwa na wazungu) kati ya...
0 Reactions
2 Replies
832 Views
1. Atoa onyo kwamba watayateketeza. 2. Nchi yoyote itakayojiingiza moja kwa moja na kutishia usalama wa Russia itapewa majibu ya haraka na mazito. 3. Asema wana silaha ambazo hakuna nchi yoyote...
27 Reactions
152 Replies
9K Views
Tamasha la kahawa lilifanyika kwenye uwanja wa HALO mjini Shenzhen, China tarehe 5 mwezi huu likikutana na sikukuu ya jadi ya Duanwu ya China. Tamasha hilo lililoanza Mei 50 limetoa fursa kwa...
1 Reactions
5 Replies
628 Views
INDIA: Takriban watu 22 wamefariki dunia na wengine 7 kujeruhiwa vibaya baada ya Basi kutumbukia kwenye korongo eneo la Uttarkashi, Ukanda wa Kaskazini mwa Nchi hiyo. Basi hilo lilikuwa na watu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
The Unintended Side Effects of Sanctions on Russia (Warning: Long but deeply revealing read on the soon to come monetary system consequences of this war)! ☺️ If you've been reading my posts here...
8 Reactions
37 Replies
3K Views
Leo jioni wabunge wa chama cha wahafidhina watapiga kura ya kutokuwa na imani na kiongozi wa chama hicho na waziri mkuu bwana Boris Johnson. Hatua hiyo yafuatia barua za wabunge wa chama hicho...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Ahmad Usman, 30 ayekuwa mlinzi katika karakana ya Tipper mjini Abuja ameuawa kwa kuchomwa moto na wafuasi zaidi ya 200 wa kiongozi wa dini ya kiislamu baada ya kuzozana na kiongozi huyo. Taarifa...
2 Reactions
14 Replies
904 Views
Raia wa urusi ni wahanga wakuu wa vita inayoendelea sasa, awali waliaminishwa kuwa vita ina nia njema ya kuikomboa nchi dhidi ya wanazi na kuwa itachukua muda mfupi lakini sasa haijulikani itaisha...
1 Reactions
0 Replies
629 Views
The key Eastern City of Severodonetsk continues to see intense fighting, with Ukraine saying its forces have recaptured part of the city.
8 Reactions
47 Replies
3K Views
Ubabe wa Putin unaenda kumuangamiza yeye mwenyewe na Taifa lake la Urusi. Uchumi wa nchi yake utakufa kifo Cha mende na Wananchi wake shida watakayoipata haijawai kutokea. Sasa hivi NATO chini ya...
9 Reactions
42 Replies
3K Views
Rais wa Jamhuri ya kidemokrasi ya Congo (DRC), Felix Tshisekedi amekubali kuwaachilia wanajeshi wawili wa Rwanda ambao nchi yake inawashikilia. Maamuzi hayo yamefikiwa baada ya Rais wa Angola...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Hi wakuu Kwa taarifa za hivi karibuni,majeshi yaliopelekwa kupigana msumbiji yale ya SADC,lakini pia yale ya MONUSCO Congo...hayajaleta tija yoyote kiasi wenyeji wamekua wakilalamika bora nguvu...
6 Reactions
44 Replies
4K Views
Kuna taarifa kwamba rais wa Russia Bw. Vladimir Putin huenda akafariki dunia katika kipindi cha miaka mitatu ijayo kutokana na maradhi yanayomwandama. Kwa taarifa kamili unaweza ukasoma hii Link...
4 Reactions
44 Replies
3K Views
Naona wanacheza na Wales mechi kali kabisa. Taarifa kwamba ndani ya siku tatu wanaiteka zimefikia wapi? Na zile kwamba nchi imekuwa magofu nazo niaje?
3 Reactions
5 Replies
1K Views
Wadai taifa linazidi kupoteza wanajeshi na watoto wao wamebaki mayatima kwa vita ambavyo havina tija yoyote
6 Reactions
28 Replies
2K Views
Majaji nchini Tunisia wanatarajiwa kugoma kwa muda wa wiki moja na kufanya maandamano ya kupinga hatua ya rais kuwafuta kazi wenzao 57. Rais Kais Saied aliwafukuza kazi majaji 57 wiki hii baada...
1 Reactions
2 Replies
3K Views
Jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo linasema kuwa wanajeshi wa Rwanda waliwasaidia waasi wa M23 wakati wa shambulio la Jumatatu karibu na mpaka wake na Rwanda na Uganda. Jeshi la Jamhuri ya...
4 Reactions
9 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…