Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Uzi maalumu kwa wana JF walio zaliwa Mkoa wa Tanga hata kama haupo Tanga ila Tanga ndio Nyumbani basi husika Hapa,Dhumuni ni kufahamiana. Tanga ndio mji unaoendelea kwa kasi Tanzania akiachana...
23 Reactions
211 Replies
29K Views
Fidelis Butahe, Mwananchi mwananchipapers@mwananchi.co.tz Dar es Salaam. Unaweza kusema mwaka 2017 ulianza na aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), Mhandisi...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Siyo siri kuna mambo ukiyasikia unatamani kuziba MASIKIO usiyasikie unatamani usizungumze na mtu kwa sababu unazungumza na MTU anakuambia mambo Yale Yale usiyopenda kusikia una pita sehemu...
5 Reactions
5 Replies
1K Views
Ni power structure ipi ni nzuri kudhibiti Rushwa? These Are the 15 Most Corrupt Countries in the World Corruption and economic turmoil often go hand-in-hand. In western nations, we often see...
0 Reactions
0 Replies
576 Views
Inasikitisha sana wiki ya tano sasa maji ya Moshi UWASA sio salama kwa afya wala kutumika kwa matumizi ya nyumbani. Nimejaribu kufuatilia bila jibu. Maji yanatoka kwenye bomba yakiwa na tope...
1 Reactions
0 Replies
980 Views
MATUKIO ya watu kujiua yamekuwa yakiripotiwa mara kwa mara katika maeneo mbalimbali nchini, ni matukio yanayoshtua na kuogopesha mno pindi tunapoyasikia. Kwa sababu si jambo rahisi hata kidogo...
1 Reactions
3 Replies
4K Views
Tunapenda sana kujilinganisha na wengine, na kutwa kusema kwa nini hatuko kama USA, EU au sijui Uchina na Ujapani, lkn kuna jambo moja huwa hatutaki kulikubali na huwa tunalificha chini ya kapeti...
34 Reactions
171 Replies
11K Views
Naomba kujua mabadiliko yakimaendelo kwa mji watunduma tangu chadema ianze kutawala mji huo.
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Dar es Salaam. Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa amesema kutojitokeza watu kuitambua miili ya wanaume watatu iliyokutwa pembezoni mwa Bahari ya Hindi katika ufukwe...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari wana bodi. Kirushi changu cha azamu kimeisha ila naona kuna channel moja ya tbc1 tu, hivi hili agizo la juzi lililotolewa pale TCRA lilikuwa geresha, au?
1 Reactions
13 Replies
4K Views
Hivi ni kwa nini tuko hivi? Mara nyingi ni kama Maisha yetu yote yamezungukwa na unafiki na visasi, wakati mwingine huwa nafikiri huwa hatuna cha kufanya isipokuwa kukaa na kusubiri Binadamu xyz...
4 Reactions
21 Replies
2K Views
Habari wa wandungu? Format ya maisha kwa kweli imebadilika hebu tubadilishane experience itokanayo na maisha kubadilika i mean vyuma kukaza hapa nchini. Kumekuwa kukitokea vioja mbali mbali huku...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Unaweza kumwona mtu ana mwili flani tipwa tipwa ukamchukulia poa na kumwona mzembe flani hivi kumbe ukijichanganya unaweza kukalishwa vibaya mnoo. Kweli sio kila kibonge ni mzembe, mana jamaa...
1 Reactions
31 Replies
4K Views
Dar es Salaam. Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limeandaa mazoezi ya pamoja ya kijeshi kwa maofisa kutoka nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC). Mazoezi hayo yaliyopewa jina...
1 Reactions
75 Replies
19K Views
Kwenu, Tanzania ni mshirika mkubwa wa kibiashara na Jamhuri ya Watu wa China, PRC. Mwaka 2014,kwa mujibu wa takwimu, Tanzania iliuza China bidhaa zenye thamani ya USD 684 milioni hasa mbegu za...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Tangu mwaka 2013, Twaweza imekuwa ikitekeleza mpango wa KiuFunza(Kiu ya Kujifunza). Awamu ya kwanza ililenga kupima athari za bahshishi kwa walimu katika kujifunza kwa wanafunzi wa madarasa ya...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Nimepishana na msafara wa Kamati ya Ulinzi na Usalama wa Mkoa wa Dar ukiongozwa na Mwenyekiti wake RC Makonda muda huu..! Nadhani ni kwenda kutoa pole kwa tukio la moto lililotokea jana...
4 Reactions
112 Replies
16K Views
Kodi ndio msingi wa maendeleo kwa mataifa karibia yote duniani.Ninaipongeza Mamlaka ya Mapato Tanzabia (TRA) kwa kukusanya kodi kwa kasi hii ya sasa.44 Naomba maboresho haya yafanyike kwenye...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Hamjambo wana jamvi? swali hilo kwenye kichwa cha mada limekuwa linanisumbua mda mrefu nimeamua kulileta hapa jamvini kwa mnaofahamu mambo ya ardhi hivi ni mkoa upi hapa Tanzania unaongoza kuwa...
1 Reactions
14 Replies
4K Views
Mapema leo zilisambaa kwa kasi taarifa kuwa aliyekuwa Mkurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa(NHC), Nehemia Mchechu amekamatwa na TAKUKURU na kuhojiwa. Taarifa hizo ziliwekwa hapa > Tetesi: -...
1 Reactions
30 Replies
8K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…