TAARIFA RASMI YA MATEMBEZI
Umoja wa Vijana wa CCM afisi kuu Zanzibar inawajuilisha wana CCM wote Tanzania kuwa matembezi ya kuyaenzi Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar kutimiza miaka hamsini na nne...
Nadhani ni jambo jema kumshukuru aliyekutendea wema, isiishie tu kwa kina Babu seya
Ingependeza kama watamtembelea rais, mnaweza jikusanya au mkaenda mmoja mmoja
Wajuzi karibuni mnieleweshe carbon 14 ni nini na kwanini haitumiki kupimia umri wa watu ambao hawajui siku na mwaka waliozaliwa katika uchukuaji wa takwimu kama sensa,vitambulisho vya taifa na...
Nimetoka na boat ya Kilimanjaro III muda huu wa saa 8:15 kuelekea Zanzibar. Ajabu baada ya mwendo kama nusu saa boat imegeuka kurudi bandari ya Dar es Salaam
Ushauri wangu taarifa ni kitu muhimu...
Serikali yang’aka, yataka maelezo ya maandishi kutoka kwa wazazi
Tarime. Watoto 67 wilayani hapa wamekataliwa na familia zao baada ya kukataa kukeketwa na kukimbilia kwenye kituo cha...
Hakika mimi ni ule uzi uliosema
"graduates tuliosota mtaani na kutusua"
niliuelewa sana na kunipa nguvu ya kupambana sijui kwenu wanajamvi nyie ni uzi upi ulikugusa kwa...
Usomaji wa vitabu ni jambo zuri sana. mwaka huu 2018 nimeanza na kitabu cha "My father" kilichoandikwa na Juan Pablo Escobar mtoto wa Pablo Escobar kikielezea side b ya maisha ya baba yake ambayo...
Habari za jioni wana jukwaa nimefikaa dodoma jioni hii kwaio nilikua na uliza Kwa wale wenyeji kuwa niingie mitaa ipi ili nami nifurahie kama mwanaume halisi
Habari wana JF,
Kama kichwa kinavyosema,naomba kujua utaratibu wa kupata chumba katika SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA,vilevile ningependa kujua malipo yake ni kiasi gani na kwa muda gani
Nawasilisha.
Sirro Mdogo (kushoto) akizungumza na mwandishi wa MWANANCHI.
Siyo rahisi kuamini kuwa mtu aliyekuwa jambazi kwa miaka mingi anaweza kuacha uhalifu huo na kujitokeza hadharani kueleza namna...
Hakika kuchinja si kazi ndogo kama una huruma; sasa sielewi wanaoteka na kuchinja binadamu wenzao kama huwa ni watu pia au ni mitambo maalum!!!
Maana kuchinja ni kazi sana!!!
UNGEFANYA NINI?
Mwanamke alimkimbia mumewe na akamuachia mtoto mwenye miaka mitatu.
Sababu kubwa ya kumkimbia mumewe ni kwamba alipata boyfriend mwenye hela ambaye alikuwa akiishi Michigan huko...
Mabasi yanayofanya safari za kutoka Bukoba kuelekea Mwanza ambayo yametoka saa 12 asubuhi yamekamatwa hapa chato muda wa saa tatu kasoro na mengine saa tatu kamili. Mabasi hayo ni Peace Maker...
WATUMISHI wanne wa Idara ya Ardhi na Maliasili, Wilaya ya Nkasi mkoani Rukwa, wanashikiliwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) kwa tuhuma za kuomba na kupokea rushwa ya Sh...
Miaka ya hivi karibuni kumekuwa na kawaida ya wadada kutupia picha na video za makalio katika mitandao.
Kuna madhara makubwa ; wengi ufanya kwa kuangalia leo,tazama utakapofika miaka 50 au 60...
Maana tazama giza litaifunika dunia,Na giza kuu kabila za watu,
Bali BWANA atakuzukia wewe,na utukufu wake utaonekana juu yako. Na mataifa wataijilia nuru yako,na wafalme kuujia mwanga wa kuzuka...
Heshima kwenu wakuu,
Nimewahi kukumbwa na hali ya nywele kusisimka ghafla na kuwa kama zinasimama au kurefuka ghafla hasa napotembea nyakati za usiku na Mara moja nilikuwa nimelala kitandani.
Hali...
Taarifa iliyotolewa na Katibu wa Kanisa la Methodisti, Askofu,Yusuf Bundala, ambaye pia ni Askofu wa Jimbo la Dodoma, imeeleza alipelekwa Muhimbili akitokea TMJ baada ya kujisikia vibaya kutokana...
Cheap labor is always expensive. Hivi vituo vya utangazaji vinavyookota watangazaji mitaani bila kujali viwango na uwezo wao, vinakera sana. Unaajiri mtu asiyejua hata kusoma wa kutamka maneno ya...