Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Tanzania ilipitia kipindi ambapo internet haikuweza kufunguka vizuri, jambo lililochangia kuchanganyikiwa kwa watumiaji wengi. Utafiti na uchambuzi wangu wa kitaalamu kabla na baada ya kufungwa...
1 Reactions
2 Replies
431 Views
Kipindi cha marehemu Mugabe alipoona utawala unazidi kuwa mgumu kwake alianza kuwafukuza makaburu na kuwakabidhi mshamba yao watu wake ili azidi kubaki madarakani. Katika tawala nyingi mambo haya...
1 Reactions
2 Replies
237 Views
Nimekaa nikatafakari, nikagundua haya maandamano ya 9D ni myego mkubwa sana kwa pande zote mbili, serikali na Gen Z wote. 1 Gen Z tusipoandamana kama tunavuohamasishana mitandaoni, au serikali...
21 Reactions
33 Replies
1K Views
Kongamano la Umoja wa Bodaboda na Machinga Dar es Salaam limewakutanisha viongozi mbalimbali akiwemo Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo, Mkurugenzi wa Jiji la Dar es Salaam, Elihuruma...
1 Reactions
22 Replies
752 Views
Picha: Abbasi Rajabu mkali ni miongoni mwa waliouliwa kikatili tarehe 29/10/2025. Abbas Rajabu Mkali askari Magereza kituo cha kazi Mbarali nae aliuwawa miongoni mwa mauwaji ya hovyo ya tarehe...
2 Reactions
8 Replies
709 Views
"Menejimenti ya Hospitali ya Rufaa ya Mount Meru imesikitishwa na kitendo cha watu wenye nia ya kuzua taharuki kwa wananchi kutengeneza video yenye picha za miili ya watu ikiwa na maelezo kuwa...
4 Reactions
31 Replies
1K Views
Askofu wa KKKT Dayosisi ya Kati (Singida), Dkt. Cyprian Hilinti, ametoa wito kwa Watanzania kuilinda amani iliyopo nchini, akisisitiza kuwa bila amani hakuna shughuli yoyote ya uzalishaji...
0 Reactions
14 Replies
384 Views
Watanzania wenzangu, Tukio la Oktoba 29 lilileta maumivu, sintofahamu na migawanyiko ambayo hatutamani ijirudie kamwe. Amani ya nchi yetu ni hazina kubwa, na kama taifa, tunapaswa kutafuta njia...
1 Reactions
6 Replies
256 Views
https://www.instagram.com/reel/DRXwUPxDA6x/?igsh=NzVlODN0Y3ZydDVq
2 Reactions
5 Replies
417 Views
Ni raia wa Eritrea, Cameroun na Uganda ndio walikuwa na asilimia kubwa wakiomba ukimbizi Ulaya wanapewa. Eritrea na Cameroun wanapewa sana kwenye maswala ya siasa. Waganda kwenye maswala ya...
21 Reactions
57 Replies
2K Views
Nimekaa nikatafakari nikaangalia Uwongozi huu mama Samia utatupeleka nchi ya ahadi wako serious hawaigizi kabisa pleas please Dec 9 tusiandamane tumpe mama mda nina Imani naye kubwa sana...
2 Reactions
30 Replies
857 Views
Mtu ametekwa baada ya kumsema kiongozi fulani au kukosoa jambo fulani. Halafu anatekwa unasema waliomteka hawajulikani. Kweli? Leo ukigombana na mtu ukamtishia maisha anakutipoti polisi na...
3 Reactions
4 Replies
310 Views
"Itakua ni ajabu muislam akawa anaunga mkono tarehe 9 eti watu wakaandamane eti wanadai haki" - amesema Sheikh Wasaa za Masheikh zinaendelea kuhusu haki na maandamano, ila wajue tu wasihusishe...
2 Reactions
34 Replies
1K Views
Nimesikiliza hii Voice hadi nimelia huyu mshauri wa Rais ni katili kiasi hiki?kuna mamia ya watu walipelekwa mochwari wakiwa bado hai wamejeruhiwa ili wakafie huko[emoji24] Kuna askari...
8 Reactions
25 Replies
1K Views
Ndio maana kuna jamaa aliwahi niambia hawa wanaojidai wanatetea haki za wanawake lengo lao kubwa ni kumdidimiza mwanaume tu. Na ndio maana wanakua kiherehere kuingilia mambo ya familia za watu na...
10 Reactions
17 Replies
597 Views
Kipindi cha utawala wa Hayati Rais John Pombe Magufuli (Novemba 2015 – Machi 2021), Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) lilitoa matamko na waraka kulaani mauaji, utekaji nyara, kutoweka kwa...
12 Reactions
39 Replies
2K Views
Hivi kiongozi aliyeshindwa kusimamia mageuzi na uwajibikaji nchini kwake anaweza kweli kuongoza upatanishi nchini Tanzania? Jumuiya ya Madola (Commonwealth) imemteua aliyekuwa Rais wa Malawi...
2 Reactions
4 Replies
234 Views
Baba yenu Clemence Mwandambo anauliza, Wabunge wa Zanzibar wanakuja bungeni Tanganyika, Wabunge wa Tanganyika hawaruhusiwi Zanzibar.
4 Reactions
10 Replies
389 Views
Kesi ya Uhaini namba 26394/2025 inayowakabili washtakiwa 38 ambao walikamatwa kutokana na matukio yaliyotokea Oktoba 29, imeahirishwa mpaka Disemba 3, 2025. Shauri hilo leo lilikuwa linasikilizwa...
0 Reactions
1 Replies
252 Views
1. SIO WATANZANIA 2.WALIFUATA MKUMBO 3.WAMELIPWA ILI WAANDAMANE 4.HAKUNA MTU ALIEULIWA ILE NI AI (tunaunda tume kuchunguza mauaji) 5.WALE NI WAHALIFU 6.HAO VIJANA WALIOANDAMANA WATUAMBIE HAKI ZIPI...
4 Reactions
6 Replies
280 Views
Back
Top Bottom