Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Viongozi wengi ambao sasa hivi wanashikilia madaraka makubwa zaidi duniani, wanaweza kuwa wamekaa kwenye maofisi yenye ushawishi mkubwa na kuendeshwa kwenye magari ya kifahari, lakini kuna wakati...
2 Reactions
8 Replies
181 Views
Kwenu madereva wa STK, STL, STJ, STF, STM, STU, SM, DFP, PT, JW, SU Habari Wakuu hapa Kuna ugonjwa mbaya sana wa akili unawapata hawa viumbe pindi wanapokabidhiwa funguo za gari la umma na kadi...
51 Reactions
153 Replies
3K Views
Je, umewahi kuona chats za watu zikisambazwa mitandaoni huku wengine wakicheka na kuendelea kuzishare? Wengine huenda mbali zaidi kwa kutaja majina ya wahusika, vyeo au hata ndugu zao nk. Huo ni...
0 Reactions
0 Replies
144 Views
Kupitia ukurasa wake Mtandao wa Instagram, Alphonce Muyinga amechapisha: "Watanzania, pamoja na vyombo vyetu vya ulinzi na usalama, tunaomba muendelee kuwa makini na kuchunguza kwa umakini...
2 Reactions
9 Replies
215 Views
Hii nchi hawa wanaotekeleza miradi ya hovyo bila kuchukuliwa hatua tutakuwa tunaingia hasara miaka yote. Watu wamejipanga na upigaji hela tu. Takriban mwaka mmoja baada ya kufunguliwa kwa Soko la...
1 Reactions
2 Replies
108 Views
Mfumo huu umeboreshwa ili kukuwezesha kupata huduma za usajili wa biashara kwa urahisi, haraka na kwa njia ya kidijitali popote ulipo. Ili kuanza kutumia mfumo na kuwasilisha maombi ya huduma...
3 Reactions
1 Replies
228 Views
A 1-day Mikumi Safari package packs iconic wildlife viewing into a single day. Departing from nearby Morogoro or Dar es Salaam, or as a fly-in trip from Zanzibar, the tour features full-day game...
0 Reactions
0 Replies
71 Views
Enyi wadau ukienda machimboni halafu upite kula masankuloni basi kuwa makini. Kwanza hoteli hizo Huwa chini ya mti mkubwa kama mwembe ama utakuta wamefunga hema na jioni litaondolea nk. Wa mama...
43 Reactions
122 Replies
6K Views
Abiria wa ndege ya Precision Air iliyokuwa ikitoka Dar es Salaam kuelekea Nairobi wamekwama kwa zaidi ya saa 24 katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) baada ya ndege hiyo...
1 Reactions
7 Replies
306 Views
The 2 Day Mikumi Safari from Zanzibar is a fly in adventure with minimal travel time, featuring exciting game drives in Mikumi National Park to see elephants, lions, giraffes and more, guided by...
0 Reactions
0 Replies
108 Views
Yani ni hivi usikate tamaa wewe endelea kupambana muda wako unakuja na wewe utainuka kama wao.
3 Reactions
6 Replies
145 Views
Usafirishaji wa sulphur kwenda Zambia na DRC umeongeza shughuli za kiuchumi nchini, lakini baadhi ya madereva wanaeleza hofu kuhusu usalama wao. Dar es Salaam. Kwa nje, huonekana kama safari...
0 Reactions
0 Replies
169 Views
Uwekaji wa mabango ya matangazo katika maeneo ya mzunguko wa barabara (roundabout) ni hatari kubwa inayokiuka misingi ya usalama barabarani. Mabango haya yanazuia kabisa mwonekano wa madereva...
0 Reactions
0 Replies
102 Views
Hifadhi ya Taifa Kilimanjaro (KINAPA) leo Julai 16, 2026 imefanya mapokezi na kutoa pongezi kwa raia kutoka nchini marekani (daktari mstaafu) Dkt. Art Ulene kwa kutambua mchango wake katika...
4 Reactions
7 Replies
147 Views
Dalali dalali sheria gani inakupa mamlaka kuchukua service charge 20,000 hadi 30,000 kuona chumba au nyumba na hapo hapo unataka hela ya mwezi mmoja ya kodi yangu bila kutoa jasho yaani unachukua...
0 Reactions
3 Replies
593 Views
Jeshi la Polisi Mkoa wa Geita limemkamata Philipo Kazungu (43), mkazi wa Nkomo, Wilaya ya Geita, kwa tuhuma za kuhusika na wizi wa mali mbalimbali. Mali zilizokutwa naye ni pamoja na pikipiki...
0 Reactions
2 Replies
111 Views
Ni mazungumzo ya mtu na kaka yake, mdogo mtu kamuuliza bro wake,vipi mipango ya kuoa imefikia wapi? Bro akajibu Mwanamke mwenyewe kama nataka nimpotezee maana vitu anavyopost mitandaoni na jinsi...
11 Reactions
100 Replies
1K Views
Jamani Huu ukuaji wa bei ya viwanja na nyumba ni kawaida kweli? Yaani nyumba kama hii huko Masaki inauzwa kwa Dola Milioni 2 kweli na hii ilikuwa ni 2023. Huko Kariakoo nimeona kuna jengo...
9 Reactions
42 Replies
2K Views
Akizungumzia hoja ya Mdau wa JamiiForums.com kuhusu abiria kukwama Mkoani Kilimanjaro kwa takribani Saa 24, Meneja Masoko wa Precision Air, Hilary Mremi amesema “Ndege yetu ilipata hitilafu ya...
0 Reactions
0 Replies
101 Views
Nimeona gazeti la Citizen kuwa SMZ inataka kuachana na magari ya mafuta na kuhamia ya umeme. Uamuzi mzuri sana. Urefu wa Zanzibar ni kama kilomita 90 tu. Na upana 35km. Mazingira kama hayo...
2 Reactions
7 Replies
223 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…