Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

  • Redirect
The Living Fact.....Quoted from Kumbukumbu za Mwalimu Nyerere “bila CCM imara nchi itayumba " Kuna mkereketwa mmoja wa chadema nimemuuliza ni nini maoni yake juu ya mwenendo wa wanasiasa wa...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Kijiji kizima kuwekwa Mahabusu, Albert Chalamaila Mkuu wa Mkoa wa Mbeya ameliagiza Jeshi la Polisi kuwakamata na kuwaweka ndani wanakijiji cha Ngole kwa kosa la kuharibu mradi wa maji wa kijiji...
1 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Hivi wadau,Dr Slaa baada ya kupewa ubalozi amebaki na chama chake au?Na hoja yake kukiacha kwa kua Lowasa alimuana bado ni fisadi hawakuliunga mkono?
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Dar es Salaam. Kamati Kuu maalumu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM imewateua Julius Kalanga na Mwita Waitara kuwa wagombea ubunge katika majimbo walikojiuzulu. Katika kikao kilichofanyika leo...
1 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Moja ya sababu ya Julius Mtatiro mmoja wa vijana waliokuwa wakihoji kutaka maendeleo ya haraka ya Tanzania kuhama upinzani leo ni sababu inayofikirisha sana. Ni sababu inayosadifu mwelekeo wa...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Kuna tetesi kuwa mtoto wa Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa ni miongoni mwa walioonyesha njia ya kugombea ubunge jimbo la Monduli kwa tiketi ya Chadema. Hata hivyo, Akizungumza na MCL Digital leo...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
MAISHA HAYA WAKATI MWINGINE UKIFIKIRIA: HAKUNA HAJA YA KUGOMBANA NI KUJIWEKEA UADUI, CHUKI na watu n.k kwa MAANA sote tutapita, Mali na DUNIA ITABAKI! Ni heri kuishi kwa upendo ili kuacha legacy...
2 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Naona TCRA wameamua, Chanel zote za kibongo hazionekani isipokuwa TBC tu kwenye king'amuzi cha azam, kwakweli inatupa wakati mgumu sana wateja
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
"watapata tabu sana" [emoji3] [emoji3] [emoji3]
1 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Ndiio,, the total lunar eclipse (kupatwa kwa mwezi) huko kutadumu kwa muda wa lisaa limoja na dakika 43 usiku wa leo (mishale ya saa 21:21 EAT). Ukiachilia Africa, tukio hilo litaonekana katika...
1 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Jeshi la Israeli limeidungua ndege vita ya Syria baada ya kuvuka mpaka na kuingia ndani ya Israel. Ndege hiyo aina ya Sukhoi iliyotengenezwa Urusi ilidunguliwa baada ya kuvuka mpaka wa Syria na...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Idadi ya viti vya madiwani 30 wote wanatoka chama cha mapinduzi ccm wamepita bila kupingwa, Ni kwamba ccm imekubalika sana au wapinzani wamekua wajinga kukosea kujaza form au wamejikosesha makusudi?
1 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
washtakiwa watano katika kesi ya kumuua kwa kukusudia mfanyabiashara wa madini Erasto Msuya wamehukumiwa na mahakama kuu kanda ya Moshi adhabu ya kunyongwa hadi kufa baada ya kutiwa hatiani kwa...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Tunakukumbusha hiyo Machi 31
3 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
naomba kujua nauli ya dar chalinze wadau
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
A senior United States politician has filed a motion calling on President Donald Trump to raise his voice on what he says is the reversal of democratic gains in Tanzania. Mr Bob Menendez , a...
0 Reactions
Replies
Views
Back
Top Bottom