Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Hali hiyo, wanaielezea ilisababisha kuanguka chini na wakazidi kumshambulia hadi wakahakikisha amekufa huku vijana wake wa kazi wakiingia mitini. Ofisa wa Polisi ambaye hakutaka jina lake litajwe...
2 Reactions
32 Replies
9K Views
Kuna mambo madogo madogo na yamezoeleka lakini ni ishara mbaya. Taa nyekundu imewaka mbele yako, jitafakari. Naandika haya kwa experience ya mambo niliyoyaona na kuyasikia katika jamii. Sometimes...
49 Reactions
89 Replies
5K Views
  • Poll Poll
Nchi haina dini na katiba ya Tanzania inatangaza uhuru wa dini kwa wote.Mara nyingi idadi ya wafuasi inatajwa kuwa theluthi moja waislamu,theluthi moja wakristo na theluthi moja wafuasi wa dini za...
0 Reactions
2 Replies
385 Views
Mkuu Mtani wangu Mwerevu Arovera nitafurahi sana kama ukija na kuanza kutoa Muongozo wako wa Kimaoni hapa.
2 Reactions
5 Replies
445 Views
Nadhani muda umefika siyo mbali CCM inakwenda kulala upande mmoja. Mwl. Nyerere aliposema CCM si mama yake wala baba yake alikuwa na maana hasa. Mwl. Nyerere aliposema mpinzani wa kweli atatokea...
6 Reactions
12 Replies
987 Views
Anonymous
Wengi hapa jukwaani natumaini tunafahamu chombo cha habari Mtandaoni cha Jambo TV, ni kati ya vyombo ambavyo vimekuwa vikifanya vyema kwa siku za hivi karibuni. Pamoja na hivyo, lakini msimamizi...
1 Reactions
2 Replies
723 Views
Maoni yangu binafsi kuelekea uchaguzi mkuu 2025. Hapa Nina orodha ya Watanzania wenzetu,wanasiasa ambao Kwa namna moja au nyingine huenda miongoni mwao watakuwepo wenye tamaa ya kutaka kuwania...
10 Reactions
87 Replies
6K Views
Najiuliza tu, kama kweli kuna umakini katika hili, mbali na katibu mkuu wa wizara kukesha gym na mitandaoni, sioni alichokifanya katika Wizara, ni mambo ya status quo ante. Arusha na Dodoma...
3 Reactions
8 Replies
481 Views
Ni mwezi wa pili sasa tangu mabasi ya Katarama yenye brand ya Scania Irizar i6 kuonekana South Africa yakija Tanzania. Kwa muda mrefu mpaka sasa bado hayajafika Tanzania licha ya mapichapicha...
4 Reactions
18 Replies
2K Views
Hongera sana serikali kuanzisha pepmis ambayo imekuwa chachu kwa huduma za utumishi kupatikana kidigitali. Pepmis imerahisisha sana kwa serikali kuona watumishi wao wanayofanya kila siku. Lakini...
5 Reactions
13 Replies
2K Views
Ndiyo maana kila Siku huwa nasema Mnafiki yoyote yule huumbuliwa wazi wazi na Mwenyezi Mungu. Kipo wapi sasa?
3 Reactions
13 Replies
822 Views
Dunia ya Leo inakabiliwa na watu wa hovyo katika nyanja zote .watu wamekuwa wababaushaji kuliko ubabaushaji wenyewe. Watu wamekuwa wakitafuta gap kidogo tu ili akuibie. Mentality za watu wengi...
3 Reactions
3 Replies
575 Views
Jana tarehe 27 Julai 2024 MTEJA WANGU alifungua KESI YA WIZI WA TZS 10 BILIONI katika Kituo Kikuu cha Polisi Dar Es Salaam. Polisi walifanikiwa KUMKAMATA MTUHUMIWA 1 (Mke wa Mteja wangu)...
4 Reactions
16 Replies
978 Views
Nimehamishiwa Chalinze kutoka Bagamoyo, lakini tayari nmejenga ila Bado sijamaliza finishing lkn familia yangu mke na mtoto mmoja wanaishi hapo na Mimi nachoka kurudi Bagamoyo kwenda na kurudi...
2 Reactions
30 Replies
2K Views
Serikali na viongozi wake ni muda sasa wa kuwambia ukweli wahitimu wetu katika nyanja tofauti ukiangalia idadi ya vijana waliomaliza vyuo inatisha, wanaojitolea kwa posho kidogo ndio usiseme...
0 Reactions
5 Replies
577 Views
Pamoja na Kanisa lao kufungiwa na serikali ya Tanzania, lakini Waumini wake wamemiminika kwa wingi leo kanisani hapo wakiamini Ibada ipo Je yawezekana hawakusikia Tangazo la Serikali...
9 Reactions
41 Replies
3K Views
Baada ya kuishi hizi nchi za wenzetu Nimeona mambo mengi pia nimejifunza mambo mengi Hasa hasa mambo ya uongozi japo sina elimu kubwa zaidi ya kujua how hawa wenzetu wanaongoza nchi zao ila...
0 Reactions
0 Replies
310 Views
Kama Documents/Nyaraka zako ni za "Siri" au "Mali ya kampuni" usiziweke kwenye AI Tools like ChatGPT, Gemini and Grok etc.
3 Reactions
7 Replies
786 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…