Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wakati Tanzania ikiendelea kujipambanua kuwa Nchi yenye maendeleo na mazingira mazuri ya kuishi, na Jiji lake la Dar es Salaam likijiandaa kuwa Jiji kubwa zaidi (lenye zaidi ya Wakaazi Milioni 10)...
1 Reactions
2 Replies
556 Views
Wiki iliyopita kuna jamaa kapatwa na kamsala kadogo. Sasa Mimi nikawa namfariji, nikamweka karibu kuliko siku za awali kabla ya shida. Jamaa akaniita nimsindikize alipopaki gari yake akafungua...
9 Reactions
22 Replies
2K Views
Awali ya yote, nipongeze juhudi zinazofanywa na serikali ya awamu ya sita chini ya kiongozi wake Raisi Samia Suluhu Hassan kwa kuhakikisha kuwa anatekeleza miradi yote iliyoachwa na mtangulizi...
4 Reactions
79 Replies
4K Views
Wananchi zaidi ya Laki moja wadaiwa kukosa haki yao ya msingi ya kupiga kura katika maeneo yao ndani ya Tarafa ya Ngorongoro Wilayani Ngorongoro badala yake inaelezwa kwamba wengine kwa mujibu wa...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Felister Mdemu amekagua shughuli za kamati ya ulinzi wa watoto wanaoishi mazingira magumu/ mitaani iliyopo...
0 Reactions
1 Replies
582 Views
Huduma za afya kwa hospitali za Umma mara nyingi zimekuwa zikilalamikiwa na jamii kuanzia matibabu mpaka lugha kwa wagonjwa, lakini utofauti mkubwa umeonekana Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete...
4 Reactions
20 Replies
1K Views
Huduma hii imenisumbua tangu asubuhi mtandao upo chini sana kwenye laini yangu ya Tigo ikabidi niweke Airtel napo mtandao wa Internet upo chini sana. Je, wakuu ni simu yangu tu ama na wengine...
3 Reactions
5 Replies
810 Views
Kuvuta n'ge ili kufikia ulevi au to get high ni tatizo linalo kua kwa kasi katika ukanda wa kusini mwa Asia. Mojawapo ya nchi iliyo na matumizi makubwa ya ulevi huu ni Pakistan. Ulevi au high...
15 Reactions
74 Replies
3K Views
Habari, kuna hii destruri ya madiwani kuvaa nguo aina ya majoho wawapo kwenye vikao vya halmashauri. Binafsi sioni faida yao kuvaa hivyo kwasababu halmashauri zenyewe changamoto zipo vilevile...
7 Reactions
16 Replies
880 Views
Hali ya Barabara za Masaki. Sehemu yenye watalii wanaokuja kutembelea Tanzania, hotel za kimataifa, balozi mbali mbali.nk Wengi wakija Tanzania na kuona aina ya hiz barabara wanaona Tanzania...
9 Reactions
62 Replies
3K Views
Magomeni, Mikumi, Kimamba, Rudewa na Kidodi. Ni miongoni mwa Kata zilizopo Wilayani Kilosa, mkoa wa Morogoro. Mji wa Turiani, Dakawa na Mziha, ni miongoni mwa Kata zilizopo Wilayani Mvomero, Mkoa...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameshtushwa na madai ya madereva wa Serikali kulogana ili wapate magari ya kufanyia kazi. Kauli hiyo imetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Juma Mtanda kwenye kongamano...
5 Reactions
33 Replies
2K Views
Sitaki kujua nani yuko nyuma yake(kwasababu kama ni hivyo kwanini wewe asije nyuma yako huyo mtu?). Ile kauli ya mwenye nacho uongezewa si lazima awe na hela aongezewe hela,unaweza ukawa na...
5 Reactions
38 Replies
2K Views
DISCLAIMER: Nianze kwa kusema hii story sio ya kwangu, ni ya member fyddell ambae amesimulia hii story ndani ya story πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡...
16 Reactions
43 Replies
15K Views
Media za Tanzania zimepitia mabadiliko kadhaa yanayotokana na maendeleo ya sayansi na teknolojia. Hivi ni vipindi vya habari ambavyo vinanivutia kwenye media za Tanzania. 1. TBC 1 Aridhio 2. TBC 1...
2 Reactions
5 Replies
609 Views
CDC italeta Afrika dozi milioni 10 ya MPOX na kupelekea moja kwa moja nchini Congo (DR) huku mipaka ya Tanzania ikianza ukaguzi kwa mujibu wa waziri wa afya mhagama . Iwapo Marekani itaongeza...
1 Reactions
9 Replies
654 Views
Ndugu zangu naombeni msaada wakiushauri kwa maana nahisi kuelemewa.
4 Reactions
24 Replies
869 Views
Nimefikiria sana mpaka nimekosea majibu, tulizaliwa watoto saba nyumbani, na ndugu waliokuja kuishi nyumbani kipindi tunakua wanafika 6, hao waliosomeshwa na mzee, japo wengine walikua wanakuja na...
22 Reactions
70 Replies
3K Views
Kuna Apps nyingi tu za ku track, kushika simu ya mtu sishiki. Hata ya Lamomy hushiki?
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Habari wana bodi. Mimi ni mdau wa sekta ya usafirishaji na katika observations zangu nimegundua tatizo na nashauri watajwa hapo juu katika mkoa wa Morogoro kama ifuatavyo. Manispaa ya Morogoro...
0 Reactions
0 Replies
567 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…