Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane! Kwanza kabisa nipende kukiri hadharani ya kwamba,Binafsi huyu ndiye waziri ninaye mkubali Kwa Sasa nchi Tanzania. Huyu waziri anazosifa kadhaa ambazo...
26 Reactions
66 Replies
3K Views
Naona kama Neno Mheshimiwa linatumika vibaya jamani! Sijisikii vizuri ninaposikia mheshimiwa Mkuu WA mkoa, au Mkuu WA wilaya, mheshimiwa mkurugenzi, daktari, mheshimiwa mchungaji, mheshimiwa she...
1 Reactions
1 Replies
620 Views
Je ! Kuna ukweli wa kisayansi katika hili, kwamba ukichemsha energy drink inageuka kuwa sumu? Baadhi ya watu vijijini wanadai, kwamba UKICHEMSHA energy drink inageuka sumu hatari; kwa kila kiumbe...
1 Reactions
2 Replies
717 Views
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amemuagiza Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) Lazaro Kilahala, kuwasilisha Ofisini kwake orodha ya Taasisi zote za Serikali zinazodaiwa na Wakala huo...
0 Reactions
4 Replies
644 Views
Afrika sijui itakuja kukombolewa lini ili tujipende na tupendane. Tanzania ni nchi yetu ila sisi tunalala sakafuni wakuja wanalalia mazulia. Hapana kwakweli hebu tujaribu kwenda India na Dubai...
57 Reactions
598 Replies
30K Views
Akiwa bado madarakani kuna siku ma bodyguard wa Obama walikataa kuvua viatu msikitikini wakiwa ziarani Instabul pamoja na Jakarta kwa madai kwamba wanatakiwa wawe gado sekunde yeyote mazingira...
1 Reactions
9 Replies
4K Views
Waziri wa Madini, Anthony Mavunde amebainisha kuwa Tanzania iko tayari kuvutia Wawekezaji kutoka mataifa mbalimbali kupitia Mkutano wa 5 wa Kimataifa wa Uwekezaji katika Sekta ya Madini...
0 Reactions
0 Replies
337 Views
Wakuu Nimefanya kazi za domestic wiring repair kwa zaidi ya miaka kumi, nimeona mengi lakini ya leo ni kubwa kuliko. Leo nimekuta kaburi na msalaba kabisa kwenye cealing board. Natamani kuacha...
40 Reactions
252 Replies
14K Views
Mimi ni Mwanahisa wa Vodacom na nimepata taarifa kuwa mkutano mkuu wa Wanahisa wa Vodacom utafanyika tarehe 11 Septemba, 2024 kielekroniki. Binafsi nina hakika Vodacom inafanya biashara kubwa hata...
8 Reactions
35 Replies
5K Views
Anonymous
Serikali ilinzisha Mfumo wa Public Employee Performance Management Information System – PEPMIS lengo likiwa ni kurahisisha utendaji kazi na kuweka uwazi kwa kuwa inajulikana wazi suala la Urasimu...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wana-JF! Najua huu uzi wafia dini watausoma kwa kusonya ila ndiyo hivyo inabidi tuvumiliane tu. Mimi nimekulia katika Ukristo, sijaukana ila nimeliacha kanisa kimyakimya. Baada ya kuanza...
77 Reactions
1K Replies
27K Views
Nimeamini kuwa mtanashati ni mzigo mkubwa, hasa ukiwa hauna strong financial stability, expectations zinakuwa kubwa kwa watu wanao kuona, wanalinganisha muonekano wako na kipato chako. Ukiwa...
21 Reactions
241 Replies
8K Views
Na huyo Shujaa wa Chama fulani huko Afrika nae pia mwakani 2025 awe na Ujasiri wa Kumuambia Mtu kuwa hafai kuwa Mgombea Urais wa huko aliko au atakokuwa kwani hakuna anachokifanya kwa sasa au...
4 Reactions
8 Replies
563 Views
Ndugu zangu Watanganyika mliopo kwenye vyombo vya ulinzi na usalama na wale mnaomshauri rais Samia hebu msaidieni asidanganywe na walaghai wenye nia ovu. Baada ya hapo fanyeni haraka kurudisha...
38 Reactions
107 Replies
4K Views
Mtandao wa Kupambana na Ukatili wa Kijinsia (MKUKI) pamoja na Mtandao wa Kuzuia Usafirishaji Haramu wa Binadamu (TANAHUT), wametoa tamko na kudai kuwa watuhumiwa waliofikishwa Mahakamani kwa...
2 Reactions
3 Replies
568 Views
KONDOA Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi inatarajia kutekeleza mradi wa urasimishaji makazi holela kwenye mitaa 13 ya Mji wa Kondoa mkoa wa Dodoma. Hayo yamebainishwa tarehe 21...
0 Reactions
2 Replies
490 Views
Mwaka 2019 chuo chetu kilipata janga la kuungua moto na Vyeti vyetu wanafunzi wahitimu 43 vikaungua, Tangu wakati huo tumepata usumbufu wa kutopata vyeti vyetu kutoka Chuo na NACTVET huku wote...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Imeandikwa katika ukurasa wa Instagram Wasafi FM Uwekezaji bandarini chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan, umeanza kuonyesha matunda makubwa baada ya serikali ya Tanzania kuokoa kiasi cha...
4 Reactions
23 Replies
1K Views
Kama mnavyofahamu wadau, kwamba ulimwengu wa sasa hivi umeghubikwa na maendeleo ya kiteknolojia yanayofanya maisha yawe rahisi. Nami kama mdau nikaamua kutumia njia ya simu kulipia parking fees...
3 Reactions
3 Replies
693 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…