Wenye hekima wanasema usitoe ahadi usiyokuwa na uhakika nayo.
Mkurugenzi Mkuu tunaomba ikikupendeza huyu Injinia wa Wilaya ya Ubungo na Kibamba MUHAMISHIE NACHINGWEA , tunaona muda wote yupo...
Katika hali isiyo ya kawaida kutoka ya Wilaya ya Arumeru mkoa wa Arusha Mwanamke mmoja amelalamika kuvunjiwa nyumba aliyokuwa akiishi yeye pamoja na mtoto wake nyumba hiyo imevunjwa na aliyekuwa...
nimeliona hili baada ya kuteuliwa hawa jamaa na je,hii presidency decree itakaa kwa muda gani?huwenda ni kwa mwaka mmoja but after election wamasai wanarudi kwenye maandamano.
but all in all,CCM...
N:B: Baba wa familia anaehudumia sio aliekimbia au kukwepa majukumu
Kwa tamaduni za waafrika wengi baba ndie injini ya familia, ndio maana familia nyingi sana baba akiondoka mambo yanayumba hata...
Kwa tuliobahatika kuoa wanawake wanaojua majukumu yao ya asili tunasema asante ila tunasikitika kwa wanaume wenzetu waliooa wanawake pro haki sawa, tunahofia pia watoto wetu kusombwa na hili...
TANZANIA TUITAKAYO - UNUNUZI WA UMMA.
Manunuzi, ni kitendo cha kununua au kuuza hifaamike tu kuwa nibidhaa au huduma kutoka katika chanzo cha msambazaji au mtoa huduma lakini chanzo hiko kiwe...
Habari,
Naombeni mnielekeze nikitaa kwenda Woodberry Cafe, iliyopo Haile road Masaki, kwa daladala za masaki nashukia kitu kipi? Google map hata silewi kitu.
Kwani arusha hii imejaa kiasi cha kuwapeleka wamasai huko msomera,
Au wangetenga tu eneo huko huko ngorongoro kama kijiji maana nyumba za huko zipo mbali mbali na wakatumia mbinu ambayo...
Habari wana JF.
Kwanza kabisa niharakishe kutamka hapa kwamba sipingi viboko mashuleni.Viboko 'huamsha' wazembe,halikadhalika husaidia kurekebisha nidhamu'kwa kiasi fulani'. Lakini adhabu ya...
Kwa mazingira yetu yalivyo ni vitu gani vya kunoga ambavyo havimalizi hela yaani cost yake almost equal to zero.
1.kuogelea bahari ya hindi
2.kufuga bata lengo uwe unakula pilau na bata...
Mambo sio kama zamani tena katika jamuhuri ya watu wa Giningi, wanaginingi wanajiuliza maswali mengi yasio kua na majibu, mwanzo jamuhuri ya Giningi ilijipatia sifa tele pande zote za dunia hii...
The do’s and don’ts of working with 4 different types of communicators
Whether dealing with aggressive, passive, passive-aggressive, or assertive communicators, tailoring your approach to each...
TAARIFA KWA UMMA
Wizara ya Habari, Sayansi na Teknolojia inapenda kuujulisha umma wa wanafunzi wa chuo kikuu cha Dar es Salaam mambo yafuatayo;
1. Wizara inapenda kuwatahadharisha wanafunzi wa...
Licha ya kutambulika wazi kwamba Kariakoo ni sehemu muhimu ya kibiashara ambayo inajumuisha shughuli mbalimbali ambazo zinafanya kuwa chanzo nyeti cha mapato nchini, lakini nashangazwa na mamlaka...
Ukiwa Kiongozi wa Taasisi yeyote kubwa,lazima uwe na HIGH EMOTIONAL INTELLIGENCE, ukiwa Kiongozi na unaongozwa na hisia unajichimbia shimo mwenyewe...
Zaidi ya Mara moja tumeona Mkuu Kadhiirisha...
HAKUNA TAJIRI ASIYEKOPA! Umewahi kuwasikia watu wakisema hawakopi au kujisifia kwamba hawakopi kwenye biashara zao? Ukweli ni kwamba matajiri wote unaowajua wanakopa, ELON MUSK, alikopa kuinunua...
Mratibu wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Wakili Onesmo Olengurumwa, amesema Sheria za Uchaguzi ni mwiba kwa waandishi wa habari ambapo amedai kuwa zinawanyima uhuru wa kutekeleza...