Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habari, Taarifa zisizo rasmi Tanga mjini imejikuta katika hali ya sintofahamu kutokana na uvamizi wa watu nyakati za usiku na kuporwa. Waandishi wa habari Tanga wamenyamaza hawaripoti taarifa...
4 Reactions
3 Replies
638 Views
Jana nilisafiri kutoka Dar es salaam kuelekea Singida. Nikaona nitumie usafiri wa Treni mpaka Dodoma asubuhi kisha niunganishe bus kutoka Dodoma kuelekea Singida. Nilifanikiwa kufika mapema...
4 Reactions
25 Replies
3K Views
Samaki Garnai wanaoweza kutembea nchi kavu, kuogelea majini na kuruka angani. Wana mkia mrefu ambao huwasaidia kusawazisha wakati wa kutembea juu ya ardhi
2 Reactions
6 Replies
912 Views
Kitabu kinaelezea kijana aliechukuliwa afrika na kupelekwa uingereza na anatakiwa asome shule za awali hadi chuo, hivyo basi naomba kuelekezwa mitaa hasa ile ya kitajiri na sehemu za kupumzika...
4 Reactions
18 Replies
582 Views
Nimezaliwa Mkoa wa Kilimanjaro, kwa sasa nina miaka 43, Nimeishi Arusha, Mwanza, Kilimanjaro, Mbeya, Iringa, Morogoro huko kote nilikuwa napita kikazi na nishawahi kuwa na mahusiano na wanawake...
21 Reactions
66 Replies
6K Views
Isiishie tu kusema na kukemea bali Bunge letu halina budi kutunga sheria kali dhidi ya vitendo vya ushoga; vitendo vya ushoga, ndoa za jinsia moja na uhamasishaji wa vitendo vya ushoga. Majirani...
3 Reactions
32 Replies
1K Views
Kwenye Sector ya usafiri kuna Ma mafia wengi sana. I just saw picha ya gari la mzigo tena loose cargo inasafirisha wahamiaji haramu nikashangaa sana. Yaani gari ukiona mzigo ni bomba za maji...
29 Reactions
123 Replies
6K Views
Mwaka jana mama alitangaza kurudisha ile nyongeza ya kawaida ya kila mwaka baada ya kusitishwa na Raisi Magufuli, Pamoja na kupandisha vyeo wafanyakazi ambapo walikuwa wamesitishiwa .. Tumeona...
1 Reactions
6 Replies
877 Views
Unakumbuka siku ile vijana wanamfuata Yesu na kumwambia Kuhani Mkuu anataka kumuua kwahiyo aondoke Yesu aliwajibu? “Nendeni mkamwambie huyo mbweha hivi: ‘Leo na kesho ninafukuza pepo na kuponya...
31 Reactions
81 Replies
5K Views
Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kulalamika kuwa Wakazi wa Kijiji cha Kemakorere, Kata ya Nyarero Wilayani Tarime wana changamoto ya kukosekana kwa huduma ya maji kwa muda wa zaidi ya miezi...
0 Reactions
0 Replies
715 Views
Ni majanga. Utasikia nimeibiwa na boda, wamekwapuwa pochi yangu baada ya kutoka kutoa hela Mlimani City, ilikuwa na smart phone na ile laki tano niliyotoa baba watoto! Au nikiwa ndani ya...
12 Reactions
47 Replies
3K Views
Na Mwandishi Wetu, WHMTH, Arusha. Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro imeahidi kuanza kutenga bajeti sambamba na kuwashirikisha katika vikao, mikutano na shughuli nyinginezo Waratibu wa Mfumo wa...
0 Reactions
0 Replies
373 Views
Ukweli kwa sasa, dini hasa makanisa imekuwa kama chambo Cha kupiga fedha za watu, kibaya zaidi sasa hasa wanaojiita manabii wengine wanatoka hata nje kuja kupiga pesa kwa kulaghai raia na...
1 Reactions
0 Replies
314 Views
Poleni kwa majukumu. Tafadhalini naomba kama kuna mtu anajua wakala wa 1xbet aniunganishe nae, wakala huyu awe mkoa wa ARUSHA. Natanguliza shukrani
1 Reactions
1 Replies
549 Views
Habari. Haya ni mambo baadhi niliyonifunza kupitia ulokole au kuokoka. Kiukweli miaka 3 iliyopita nilikuwa mkristo mzuri sana na muumini mzuri ninayefuata misingi ya kiimani ya kipentekoste au...
12 Reactions
52 Replies
4K Views
Hivi karibuni Baraza la Famasi Tanzania limetoa matokeo ya mtihani wa leseni kwa utaratibu tofauti na ule wa zamani wa kuyaweka wazi kama yanavyowekwa matokeo ya sekondari. Safari hii wameamua...
6 Reactions
10 Replies
1K Views
Nchi ingekuwa na utaratibu wa kusoma soma toka watu wakiwa wadogo, watu wengi sana wangeepuka kuishi Mji wa Mtego wa Wajinga. MBWEHA: Na fedha zako je? PINOKYO : Ninazo. Niliziweka mfukoni...
6 Reactions
0 Replies
449 Views
Hali ya taharuki imeibuka katika eneo la kuhifadhia taka katika mtaa wa Oysterbay Mjini Babati kufuatia kuokotwa kwa mwili wa kijana ambaye haujafahamika, aliyeuwawa kikatili na kufunikwa na...
4 Reactions
7 Replies
750 Views
Kwa wiki kadhaa sasa sarafu ya EURO (EUR) imekuwa ikiimarika dhidi ya Dollar ya marekani (USD). Je tutegemee kutokea anguko la EUR week hii baada ya kuwa Bullish kwa muda sasa? Nini maoni yenu...
0 Reactions
1 Replies
352 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…