Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Taarifa ya tamko inaeleza kama ifuatavyo👇
0 Reactions
3 Replies
354 Views
Wadau naomba kujua hiki kibaiskeli au kipikipiki au kimwendo kasi hata sijui kinaitwaje ila nadhan kinafahamika machoni mwetu si kigeni kiviile. Naomba kujua kwa hapa bongo kinauzwa wapi na bei...
1 Reactions
1 Replies
394 Views
Kwa game lovers naamini mmewahi kukutana na huu msemo kwenye gemu fulanifulani, "Surviving is winning, Franklin. Everything else is bullshit." Yes! Kwenye quote hio nitaongeza vitu viwili na...
5 Reactions
15 Replies
870 Views
Wadau wa jamiiforums habari? Kàma kichwa cha habari kinavyoeleza hapo juu, Kama ni kupambana nimejitahidi sana ili kuondokana na umaskini lakini hali bado tete. Naombeni mnipe tips za kushinda hii...
8 Reactions
59 Replies
2K Views
Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Amos Makalla amewataka wananchi kutosikiliza maagizo ya waganga wa kienyeji yanayochochea ukatili na udhalilishaji, ikiwemo kubaka, kulawiti na kuua...
2 Reactions
2 Replies
411 Views
Angalieni hii clip wamama wa chadema wamejilipua sijui maeneo yapi. Nani anawapa kichwa https://www.facebook.com/share/r/1Eh3BAuzuS/?mibextid=11tuMg
3 Reactions
8 Replies
367 Views
Habari zenu wapendwa wa bwana. Nimatumaini yangu wewe ni mzima wa afya,tupate mda wa kuwaombe wagonjwa na wenye shida mbalimbali,MUNGU awatangulie amen. Moja kwa moja twende kwenye mada huska...
3 Reactions
10 Replies
1K Views
Maisha halisi ya Gentleman. 1. Gentleman hupendelea kusema ‘tafadhari’ na ‘asante’ 2. Gentleman kamwe hawezi kuicheka au kuidharau imani ya wenzake katika dini, siasa, michezo au kitu kingine...
10 Reactions
37 Replies
8K Views
Kabila gani mkoani Tanga wapo vizuri zaidi usomaji kitabu? Wadau hamjamboni nyote? Nauliza kwa Mkoa wa Tanga wasambaa na wazigua wapi wapo vizuri zaidi kwenye usomaji kitabu? Aksanteni
2 Reactions
7 Replies
689 Views
Ukihitaji salamu njoo unikatie mauno kwanza kama Yondo, tofauti na hapo utaambulia chuya! Huu utaratibu ulianza kama mzaha lakini kadiri siku zinavyozidi ndivyo hali inakuwa mbaya,kitu kibaya...
9 Reactions
65 Replies
4K Views
Nimetumia neno 'kushtuka' kwa sababu huu si ukatikaji wa umeme uliozoeleka. Kwamba kwa siku za karibuni nimeshuhudia umeme ukikata na kurudi kwa sekunde moja au mbili; na hii imetokea zaidi ya...
2 Reactions
4 Replies
358 Views
Wadau hamjamboni nyote? Makabila mawili ya Wakisii na Wakurya Je ipi tofauti baina yao? Aksanteni
1 Reactions
2 Replies
417 Views
Suala la utekaji sidhani kama Ally Kibao ni mtu wa kwanza kutoweka na kukutwa akiwa amefariki ila wapo wengi ambao walitekwa na kurudishwa mfano Sativa, Roma na Mo Dewj. Hawa wote ni mashuhuda wa...
2 Reactions
11 Replies
386 Views
Nimeitoa sehemu na mwandishi namba yake kaweka. Mimi nafikisha tu unumbe na mjumbe hauwawi. HISTORIA YA MRADI WA BBT NA UHUNI UNAONDELE Mradi wa bbt uliandikwa vijana wa kitanzania waombe...
11 Reactions
67 Replies
6K Views
Leo barabara ya Mwai Kibaki ilikumbwa na foleni isiyomithilika baada ya wananchi kumpiga mlemavu wa akili mpaka kifo eneo la Mwalimu Nyerere, Dar es Salaam. Kipigo hicho kilichohusisha mawe na...
13 Reactions
96 Replies
6K Views
Hali ilivyo eneo la Lulembela wilayani Mbogwe mkoani Geita asubuhi ya leo Alhamisi Septemba 12, 2024 ambapo hadi sasa wafanyabiashara hawajafungua maduka yao wakidai kuhofia kukamatwa na polisi...
1 Reactions
6 Replies
791 Views
Habari, Leo Katika siku tulivu, nilipata muda wa kutafakari juu ya maajabu ya ulimwengu. Niliketi nje, nikisikiliza upepo ukivuma na kutazama anga pana. Katika utulivu huo, swali moja lilinijia...
5 Reactions
17 Replies
2K Views
Mada hapo juu wakuu. Je yupo aliyewahi kikopq benki ya NBC anipe experience. Msaada https://www.jamiiforums.com/threads/benki-ya-nbc-wajirekebishe-watakuja-kuua-watu-kwa-presha.2213335/
2 Reactions
40 Replies
3K Views
Anonymous
Nikiwa mkazi wa mwanza na mdau wa bank ya NMB sijaridhishwa na zoezi linaloendelea la kuboresha taarifa za wateja wa bank hii. Tangu mwezi wa 7 bank ya NMB katika matawi yake ya Mwanza imekua...
0 Reactions
0 Replies
366 Views
Missouri (USA) - sio misouri ila inatamkwa "Mizuri" Phoenix (USA)- sio foneksi ila inatamkwa "finix" Arkansas (USA) - sio arikansasi ila inatamkwa "aakanso" Louisville (USA) - sio luisvil ila...
45 Reactions
174 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…