Wakuu nawasalimu na kuwatakieni heri za sikukuu za Christ Mass
Kama ilivyo kawaida sehemu ya mikusanyiko huwa hakukosekani wenye maarifa mawazo na ushauri mbali mbali.
Ndio nimekuja kwenu...
Ndiyo wakuu, hii ni nyingine tena kutoka kwa Mwizukulu mgikuru ni ukweli usiopingika kuwa kwa sasa vijana wengi tunapitia joto ya jiwe, moja ya mambo yanayotufanya dunia tuione chungu ni hili la...
Anaeleza kijana SATIVA.
... RISASI ilipita kisogoni na kuenda kutokea kwenye kidevu.
Taya ya kushoto ilivunjwa vunjwa vipande.
Sehemu iliyoingilia Risasi mpaka leo nywele hzioti kabisa...
BONGO MOVIES & BONGO FLEVA COMPINATION
KATIKA JUHUDI YA KUINUA NA KUENDELEZA SANAA NCHINI TANZANIA
Kumekuwepo na mabadiliko makubwa sana katika Tasnia hii ya Muziki wa Bongo fleva, maana wasanii...
UMUHIMU WA ELIMU.
Dunia ya leo inahitaji utaalam/ufundi wa namna nyingi/Mbalimbali kwa mtu mmoja ili afanikiwe na kuwa kivutio katika soko la ajira na kuweza kwenda na wakati kulingana na...
MOVEMENT YA HIP HOP KUPITIA MEDIA ZA MWANZA.
Mwanza kupitia Radio Free Africa na Kiss FM walifanya mapinduzi makubwa sana kwenye kuiendeleza Hip hop na hii waliifanya makusudi ili kutoa ile dhana...
Dar Lux, kampuni inayojulikana katika sekta ya usafiri, imeamuriwa kurejesha kiasi cha Sh18 bilioni kutoka Benki ya Equity, pamoja na riba. Hali hii inadhihirisha changamoto kubwa ambayo kampuni...
Nimekuja ona watu wengi humu ndani wanadhani kama kutoa zaka unamtolea mwanadam jambo ambalo linawakwamisha kwa kuhisi wanamnufaisha mchungaji ama kiongozi wa kanisani ama dhehebu fulani.
Serikali kupitia Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari imesema miongoni mwa maeneo ya vipaumbele vya Wizara chini ya Mfumo wa Anwani za Makazi ni kushiriki kikamilifu katika kukuza...
Inashangaza sana kuona hadi leo watanzania wanavuta makapi yaliyoachwa kuvutwa miaka ya 1970, yani mpaka leo hawajastuka tu.
Makapi haya yanasifiwa kwa majina kama "Cha Arusha", "Tarime one"...
1. Chai (uongo) asili yake ni nini ?
2. Kwanini mliwaza chai pale mtu anaposema uongo ?
3. Kwani chai na uongo vina uhusiano gani ?
NB: Nasikia ubongo wa binadamu unaogelea kwenye fluid fulani...
Taarifa Muhimu kwa Wote walioomba kazi kada ya Ualimu zilizotangazwa na Sekretarieti ya Ajira, tafadhali soma kwa makini na fuata maelekezo!
Muwe na siku njema
Kutokuwa na utawala bora hii ni changamoto sana maana viongozi hawawajibiki na yale wayatendayo.
Mipango mibovu kwa mfano sasa ivi CNG ingekuwa nishati ya kutukomboa na kupunguza mzigo kwa nchi...
Habari wadau.
Awali ya yote niwape pole na majukumu yenu ya kila siku kwa ujumla wenu.
Pili niwashukuru wale wote ambao kwa namna moja au nyingine baada ya post yangu hapa juu ya MWILI KUPIGA...
Kwenye maeneo mengi ya biashara za vyakula hasa migahawa ya ukubwa wa kati na midogo pamoja na sehemu nyingi za nyama huwa kunakuwa na nzi wengi sana waliojaa kila mahali.
Yani mtu unakula...
Habari wadau.kwenye maishaa yangu ya utafutaji nlifanikiwa kujifunza baadh ya vitu kutoka kwa wenzet wazungu@hapa kwenye mzunguu namaanishaa mjeruman ndo nlifanya nae kaz.ila anaezaa kua Mzungu...