Habari wakuu
Baada ya uzi wangu wa utafiti ambao ulifutwa sasa nimekuja na uzi mpya
Katika pitapita zangu za Amazon nikakutana na uwezo wa kucreate seller acount ambayo unaweza ukachukua plan ya...
Licha ya Serikali kulifungia Kanisa la Christian Life (CLC), lililoongozwa na Dominique Dibwe maarufu kama ‘Kiboko ya Wachawi’, imebainika kiongozi huyo wa dini anaendelea kutoa huduma hiyo, huku...
Yaani miaka nenda Rudi ukitazama ITV, TBC, ZBC, clouds, wasafi
Habari ni zile zile za matatizo.
1. Video
2. Watu kutekwa
3. Mafuriko.
4 Matatizo ya maji
5. Mlipuko wa magonjwa, kipindupindu, suala...
Uhuni, ubabe, bangi na ujeuri ni vitu vinvyokuwa glorified sana Arusha.
Uhai wa mtu ni very cheap sana huko Arusha.
Kwa sisi tuliosoma miaka hiyo maeneo ya kanda ya kaskazini tunaelewa jinsi...
Kwa mujibu wa Ernest B. Makulilo wa EBM SCHOLARS kwa sasa muda wa kuprocess visa ya kwenda Marekani kwa raia wa Tanzania ni miezi Sita.
Kwa lugha nyepesi ni ukiomba visa ya kwenda Marekani leo...
Ujenzi wa Daraja la J.P Magufuli (Kigongo - Busisi) lenye Kilometa 3.2 pamoja na Barabara unganishi ya Kilometa 1.66, linalojengwa kuunganisha Barabara Kuu ya Usagara - Sengerema - Geita katika...
Huyu jamaa ni mtu ambaye sikumjua sifa zake vizuri kumbe ni mwizi, tapeli na jambazi sasa ilitokea siku moja nikamkabidhi mzigo wangu anipelekee stendi na Mimi nikawa nimeenda nyumbani kujiandaa...
Kila mtu ni shahidi wa suala hili;
Polisi wa nchi hii ndo wanaongoza kwa kuishi kwenye vijumba vidogo kama mabanda ya kufugia kuku, bata na kanga.
Nimezunguka na kuishi mikoa mingi ya nchi hii...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango leo Septemba 12, 2024 amezindua kituo cha upandikizaji mimba (IVF) cha Dkt. Samia Suluhu Hassan kilichopo katika...
Watu wote mnaofikiri mna mawazo bunifu manakaribishwa kuyaendeleza mawazo yenu kupitia usaidizi wa shirika lisilo la kiserikali la ResearchLink International.
Tafandhali jaza fomu iliyopo katika...
Ni ushauri tu Kwa ndugu Zangu wa Chadema kuelekea 23 September
Hawa Jamaa walituliza ghasia pale Magomeni Mwembechai na hadi Leo hii ndio tunashuhudia Kitimoto haikauki Jiji zima la DSM
Chadema...
Tanzania imeshika nafasi ya kwanza Afrika Mashariki, Kusini na Kati kwa usalama wa mtandaoni, kwa mujibu wa Ripoti ya Kielezo cha Usalama wa Mtandao ya mwaka 2024 (GCI).
Tanzania imepata alama ya...
TAARIFA KWA UMMA
18 Septemba 2024
Rais wa Jumuiya ya Wanafunzi Taasisi za Elimu ya Juu Tanzania, Mhe. Zaynab Iddy Kitima ametengua uteuzi wa Ndg. Ibrahim Shukran Aloyce, Naibu Kamishna wa...
Na bahati nzuri 97% ya Wanafunzi wangu wote niliowafundisha kuanzia Mwezi August, 2010 hadi November 2013 hivi sasa Wanafanya vyema kabisa huko waliko na wengi wao huwa Wananishukuru mno kwa...
MKE wa mtoto wa Mfalme wa Uingereza, Sophie Hellen Rhys-Jones (kushoto) akisalimiana na Viongozi mbalimbali kutoka wizara ya Afya alipowasili katika kituo Cha Afya Cha mlandizi kilichopo Mkoani wa...
Habari wanajukwaa:
Kama mnavyotambua na kuelewa ni nchi yetu na Dunia kwa ujumla tuko katika kampeni ya matumizi ya nishati mbadala kama bayogesi, umeme na Gesi nyinginezo ili kukwepa matumizi ya...
Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika ameshindwa kuitikia wito aliopewa na Jeshi la Polisi kufika katika Ofisi ya Upelelezi wa Makosa ya Jinai Mkoa wa Kinondoni kuhojiwa kuhusu mauaji ya aliyekuwa...
Ni Dakika, Saa, Siku, Wiki, Mwezi, Mwaka na hatimaye mika 17 sasa imetimia tangu Mzee Shauri Timoth Nathan (18/08/1925 – 18/09/2007) ututangulie Mbele za haki kama ulivyotutangulia kuja duniani...
Shekh Mwaipopo wakati akizungumza na waandishi wa habari mapema leo jijini Dar es salaam kuhusu masuala ya utekaji. Amesema Dunia serikali zote zinawauwaji wake hakuna serikali isiyo fanya...