Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kondoo alikuwa anapita akamuona simba akilia akiwa amenasa kwenye boksi la chuma(grili), simba akamsihi sana kondoo amuokoe na kumuahidi kuwa hatamuua wala kumla, lakini kondoo akakataa.... Baada...
8 Reactions
5 Replies
543 Views
Anonymous
Tunakaa miezi miwili mpaka mitatu bila malipo na wakilipa wanalipa mwezi mmoja malimbikizo yanakuwa mengi. Hivyo inatufanya maisha yanakuwa magumu kiasi kwamba tunakosa hata nauli. Tunaomba...
0 Reactions
0 Replies
173 Views
Idadi ya kadi za simu zilizo sajiliwa kufikia 2023 TZ (TCRA) 2020 51.2 million 2021 54.0 million 2022 60.2 million 2023 67.0 million KE(CA) 2020 57.0 million 2021 60.1 million 2022 63.3 million...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Rais wa kwanza wa African Union Committee. Rais wa kwanza wa Pan African Parliament. Balozi wa Tanzania nchini India bibi yetu comrade Gertrude Mongella ameliona hilo huko ughaibuni kwa Fidel...
0 Reactions
9 Replies
553 Views
Wakuu kama mtakumbuka mwezi mmoja uliopita niliandika Mada kuhusu wasajili lain za simu wanavyotapeli Watanzania wenzetu. Sina mengi naomba uchukue Muda kidgo sikiliza audio hapo chini
1 Reactions
17 Replies
1K Views
Anonymous
Ni takriban miaka zaidi ya sita tangu huduma ya umeme ifikishwe katika KATA ya MAGANGE Wilayani Serengeti mkoani Mara lakini tangu wakati huo wananchi mbalimbali walijaza fomu za maombi ya...
0 Reactions
0 Replies
306 Views
Mtu mweusi ni mkaidi sana. Mpe uhuru, ajipatie nafasi ya kubania wengine uhuru. Mpe mamlaka, ajipatie nafasi ya kutajirika haraka. Mwafrika katika harakati analalamika kuhusu njaa na tabu...
1 Reactions
0 Replies
272 Views
Wadau hamjamboni nyote? Mikoa inayoongoza Kwa mbumbumbu wengi Tanzania Rukwa, Katavi, Tabora, Simiyu na Dodoma. Kilimanjaro yenyewe ni tofauti kwani inaongoza Idadi watu wanaojua kusoma na...
6 Reactions
17 Replies
911 Views
OLD MEMORIES OF BLACK HIP HOP CULTURE & ELEMENT IN AFRICA... WAY BACK 🔙 1980 - 2005 ... Historia ya Muziki wa Rap / Hip hop Duniani 🌎 inatueleza kuwa Asili ya Muziki wa Rap ni 🌍...
0 Reactions
1 Replies
938 Views
Kwa hali ninavyona mimi! Elimu yetu afrika iko nyuma sana na ulimwengu unavyokwenda kwa kasi! Elimu yetu inakwenda kuwa siyo kitu cha kujivunia tena kuwa nacho maana haitakuwa na msaada...
4 Reactions
4 Replies
316 Views
Kiwango cha uzazi nchini humo kwa sasa ni watoto 1.5 kwa kila mwanamke, chini ya kiwango cha 2.1 kinachohitajika kwa utulivu wa idadi ya watu Rais wa Urusi Vladimir Putin ameripotiwa kuanzisha...
3 Reactions
9 Replies
636 Views
Kwa kipindi cha miakaa miwili hii, mabenki ya nchini Tanzania kama CRDB, NMB, DTB, NBC, AZANIA BANK nk yamepandisha riba za mikopo kwa kiwango kikubwa. Hii imekuwa ni maumivu makiuubwa saana kwa...
4 Reactions
18 Replies
2K Views
Kuanzia kwenye mitandao ya kijamii kama Twitter, Instagram hata hapa JF hadi mtaani nimekuja kugundua vijana wa kike wengi bongo mazungumzo yanayowashughulisha na kuwaweka busy zaidi ni mahusiano...
10 Reactions
53 Replies
2K Views
Jana katika mitando mbalimbali yamepost picha ya jumba la Mayor wa zamani wa Ubungo ndugu Boniface Jacob Jumba limenikosesha usingiz niliamka sa Tisa na kusali sana ili na mimi niweke jengo kama...
12 Reactions
118 Replies
13K Views
Taarifa zilizotufikia leo asubuh ni kuwa mmiliki wa Kampuni za usafirishaji abiria ya Tashrif Hamoud Said amefariki Dunia Innalillah wainna ilayhi raajiuun ===== Mfanyabiashara maarufu jijini...
15 Reactions
166 Replies
18K Views
Wadau hamjamboni nyote? Naomba sana moderator uache huru Uzi huu Tafadhali Kichwa cha habari chahusika? Siyo mahubiri au Vitabu kote huko lazima ukute mifano yote hasi dhidi ya Kanisa Katoliki...
22 Reactions
236 Replies
8K Views
Ushauri wa bure, mama umelikoroga au umekorogewa, chukuwa ushauri huu wa kizalendo. Wenye jicho la tatu tunaelewa vizuri Urais wako hautishiwi na wapinzani bali kitisho kikuu kipo chamani ndani...
33 Reactions
112 Replies
4K Views
Hii ni kero ya watu wengi nimeamua kuiweka hapa ili wahusika wachukuliwe hatua, Kwanza kabisa kwenye mwezi wa tano hawa jamaa wa haisi walikuwa hawafiki mwisho wa ruti kwa zaidi ya miaka miwili...
0 Reactions
7 Replies
680 Views
Wote tunaishi dunia hii, lakini kwa namna gani tutaiangalia sayari yetu ya dunia, itategemeana na hisia au feelings tulizo nazo katika wakati husika. Iko hivi, ukiwa na hisia hasi au kuwa na...
0 Reactions
1 Replies
538 Views
“HUDUMA tunazotoa ni nzuri na zina hadhi ya kimataifa. Abiria hachukui zaidi ya dakika saba kukaguliwa na abiria anayewasili anachukua dakika tatu kupata huduma za uhamiaji hadi anatoka nje ya...
8 Reactions
56 Replies
8K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…