Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wakuu nimefatilia birth certificate wakaniuliza elimu nikawaambia form four, so wameniomba nipeleke copy ya leaving na nlikua nayo, Hila nimechek kila Kona sijaiona nadhani Kuna jinsi imeibiwa So...
1 Reactions
7 Replies
435 Views
Wito wangu, kama uwezo upo jitajidi kupata mtoto mapema, unapofika 50 at least awe mtu mzima Kwanini miaka 50 ? ni umri inaobidi uwe na mtoto anaeweza kujitegemea, anaeweza kuwa na upevu wa akili...
11 Reactions
46 Replies
2K Views
Hivi hiki chama mnakielewa kina falasafa ipi ya kueleweka. Ukiitafsiri CCM ilivyo ukiwa umetulia kabisa utaona kua haitokuja kutokea CCM ilete maendeleo hata siku moja, Rushwa iliyokithiri ni...
2 Reactions
2 Replies
429 Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amekagua na kupokea taarifa ya ukarabati na upanuzi wa Kiwanja cha Ndege cha Songea ambao umekamilika kwa asilimia 100% Mkoani...
0 Reactions
1 Replies
376 Views
Si kila utani unasababisha ugomvi bali utani mwingine una manufaa katika jamii katika kuimarisha udugu, ushirikiano na umoja. Hali hii imejithiirisha katika kijiji cha Ngomai, kata ya Ngomai...
0 Reactions
0 Replies
323 Views
Taarifa kutoka TUCTA Ndugu wafanyakazi napenda kuwataarifu kwamba kuanzia mwezi huu mishahara itakua ikitoka tarehe za mwisho wa mwezi yaani tarehe 28-30. Lengo la kufanya hivyo ni kuondoa gap...
17 Reactions
188 Replies
25K Views
Hivi kuna mabasi yanayoeleweka kama Tahmeed ya kwenda Maputo kutokea Dar?
1 Reactions
3 Replies
402 Views
Kuna muda unaweza kuwa kichaa kwenye haya mambo ya biashara. Nimewekeza Tsh. Million mia tatu(300m+), nimeanza biashara napata return ya 5m yaani million tano kwa mwezi. Hapo sijatoa mishahara...
108 Reactions
805 Replies
74K Views
Salamu wakuu. Mji huu Dar es salaam ni Mji mzuri sana katika mishe za hapa na pale. Mji huu haumkatai mtu kama usipoweka starehe mbele. Pisi za Mji huu hazina upendo kwa apeche alolo. Pisi za...
15 Reactions
96 Replies
5K Views
Hello guyz MTU yeyote anayepitia changamoto ya kushika ujauzito tuwasiliane . Nimeamua kufanya hivi kusaidia watu maana sisi ni familia. Sihitaji PESA ila ni kusaidiana. Hii ni tiba mbadala ...
8 Reactions
33 Replies
2K Views
Habari wadau! Naandika habari hii kwa kuona kwamba kuna Sumu hatari sana kwenye maisha au jamii ya sasa zikiuzwa peupe bila mkono wa serikali kuingilia kati. Watu wengi wamekuwa wakijtoa uhai...
9 Reactions
16 Replies
1K Views
Ugonile. Mamlaka ya Maji DAWASA tukisoma report zenu za mwaka utakuta mnasema non revenue water (unaccounted for) ni zaidi ya asilimia 60, ambayo ni mbaya sana, ukifananisha na recommended au...
3 Reactions
1 Replies
228 Views
Wadau za Jumapili? Jana nikiwa na ndugu yangu tulipeleka mzigo pale Shekilango kwenye ofisi za Bus la Ally's. Kulitokea sitofahamu kati ya mbeba mizigo mmoja na abiria ambaye na yeye alipeleka...
10 Reactions
55 Replies
3K Views
Wanabodi, Nadhani wote tuliona kuwa ubalozi wa Marekani ulitoa tamko kuhusu utekaji na kuuwawa kwa aliyekuwa kada wa CHADEMA Ali Mohamed Kibao. Siku ya leo viongozi wa CHADEMA ikiwemo Freeman...
1 Reactions
2 Replies
484 Views
Katika nchi ambayo raia wake ni manyumbu ni tanzania yaani sisi ni waoga sio mchezo tena kama Mimi ndio muoga hatari hatuwezi kuingia barabarani Ili tufe yaani fikiria unaingia barabarani...
4 Reactions
39 Replies
1K Views
Hizi meseji za mitandao ya simu kujulisha bando ya internet imeisha zinakera sana. Kuna haja gani ya kutuma meseji tatu usiku wa manane kwani bando ikiisha sinitajua mbaya zaidi zinakuja sms tatu...
1 Reactions
6 Replies
478 Views
Jirani wa miaka zaidi ya 12 hapa kwetu Kongowe ya Mbagala tumempunzisha kabulini Jana majira ya SAA Saba za mchana baada ya kuaga Duniani usiku WA SAA kumi za usiku akiwa amelala na mwandani wake...
21 Reactions
65 Replies
5K Views
Siku ya alhamisi tarehe 19.09.2024 katika shule ya msingi ya Mbezi juu palitokea tukio la mwanafunzi mmoja wa kiume wa darasa la tatu kutumbukia ndani ya shimo la choo wakati alipokwenda...
2 Reactions
4 Replies
863 Views
Katika hali ambayo siyo ya kawaida leo nilijaribu kupost mada fulani katika mtandao wa Facebook lakini inaonekana wameu- cease message haziendi. Anyway hata hivyo lengo la maandamano limesomeka...
2 Reactions
1 Replies
269 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…