MREJESHO KWA WADAU: DUWASA YATATUA KERO YA MAJITAKA
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dodoma (DUWASA) inapenda kutoa mrejesho kwa wadau na wateja wake kuwa changamoto ya iliyokuwepo ya...
Ninapendekeza mamlaka ya RITA ifutwe
Halafu iwe hivi,
Wizara ya mambo ya ndani iwe na mamlaka/Idara ya Utambuzi na uhakiki.
Hii idara/Mamlaka itatambua na kuhakiki VIZAZI, VIFO, URAIA, na kutoa...
Habari ndugu zangu Wana jamiiforums Leo katika pita pita zangu nimekutana na hili tukio Wilayani Rungwe mkoa wa Mbeya katika Kata ya Kyimo. Tunaiomba serikali kuliona hili.
Watu wawili wamefariki dunia baada ya mtumbwi waliokuwa wakisafiria kuzama ndani ya Ziwa Victoria katika Kijiji cha Burere wilayani Rorya mkoani Mara huku wengine wawili wakiokolewa.
Tukio hilo...
Hello!
Sometimes najuta kuacha masomo ya Sayansi mapema sana, ila muda mwingine naona kuwa nilifanya uamuzi sahihi nikiangalia wenzangu waliokomalia hayo masomo ya Sayansi almaarufu physics na...
Ni vipi wandugu,niende moja kwa Moja kwenye mada.Juzi kati tumeshuhudia msanii akishushwa jukwaani punde tu baada ya kuanza kuiburudisha hadhira yake.Hili linaleta taswira flani yenye sintofahamu...
Case study ya Familia ya Mrema! Ugomvi ugomvi uliosababisha aondoke na kijiji.. Tamko/wosia wa marehemu una nguvu sana baada ya kifo!
Msiba mkubwa wa watu 20 unaosadikika kutokana na maneno ya...
Anasema wafungwa ambao wanasubiri kunyongwa kwa siku hupewa dakika 15 tu za kutoka nje na muda mwingi hubaki ndani.
“Kwa kuwa wanakuwa wengi gerezani, basi kuna baadhi wanaweza kukaa muda mrefu...
Habari humu?
Mimi ni mtumishi katika Halmashauri X tarehe 26/08/2024 nilichukua mkopo wa mwaka mmoja.
Sasa nimeshangaa imefika tarehe 23/09/2024 wakanikata hela iliyo kuwemo, na mshahara ulivyo...
UKIONA JEURI YAKO BADO IKO JUU SANA JUA BADO MAISHA HAYAJACHANGANYA VIZURI KWAKO 😊
Maisha yakichanganya vizuri utaona hata wazee maskini sio wote walikuwa wavivu bali yaliwakuta kama yanayoenda...
Nadhani wote mmesikia kilichomtokea Zuchu huko Mbeya, Sio kosa lake, Hakujua kwamba yupo eneo tofauti kabisa, Alikuwa akipigia sana debe viongozi bila kujua kufanya hivyo ni kuamsha hisia kali...
Yapata wiki tatu sasa jiji la Dodoma hususan mitaa yote ya Kisasa maji hayatoki. Cha kushangaza sio mamlaka ya maji Dodoma (DUWASA) au mamlaka za Serikali Wilaya na Mkoa wa Dodoma waliojitokeza...
Kwa heshima, nachukua fursa hii kuwatakia wazee wetu wapendwa wa Tanzania kila la heri kuelekea kesho tarehe 1 Oktoba, 2024 ambayo ni siku mahsusi ya maadhimisho ya siku ya wazee duniani...
Sikiliza muungwana na nisikilize kwa umakini sana.
Kazi za Serikali na private sector ni ngumu sana muungwana. Wanaotoka ni wachache sana sana ila wanaotaka kuingia ni wengi. Sasa iko hivi kwako...
Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA), inahitajika kufanya innovation katika idara ya manager watu hatuwezi kuwa na viongozi ambao hawajitambui katika wajibu wao...
We are going dar together hakuna kuchanganyana. Wa mikoani tunajisifu tunajua Dar yote kumbe hata Yombo hujafika kila mtu ana action zake kazifanya Dar ila mimi napafahamu sana Kimara tena njia ya...
KWAKO MH MSAJILI
NIMEONA CLIP MOJA YA KIJANA MMOJA MPENDA MTANDAO KAMA NDUGUYETU YULE KIBOKO YA WACHAWI
HUYU BWANA ANASEMA HANA MPANGO WA KUFUNGUA KANISA ANAFUNGUA SEHEMU YA KUABUDIA
MWENYE...
Natumia jukwaa hili kama jukwaa linalo fikiwa na wengi kuwakumbusha wale wanao amini katika hili.
Kwamba ni mwezi wa Maria tuapaswa, au tunatakikana kusali haswa rosari kwa madhumuni ya kuomba...