Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kwangu nijambo la kushangaza Sana. Inakuwaje viongozi wapo na wanaendelea kuwepo pale ambapo Taasisi inapata hasara ya zaidi ya bilioni na inaviongozi watu wazima? Impact Yao niipi Kama Taasisi...
1 Reactions
7 Replies
411 Views
Vatican City: Nchi? Mji? Serikali au Kampuni? Nadhani moja kati ya maeneo ambayo yamekuwa tata zaidi kuyaelewa basi ni mji wa Vatican… tukiachilia mbali kuhusu utata/ugumu wa kuelewa mfumo wake...
4 Reactions
13 Replies
2K Views
1. Hakikisha Kompyuta au simu yako inajifunga Kioo (Lock Screen) muda mchache ikikaa bila matumizi ili kuzuia mtu kutumia bila ruhusa 2. Ikiwa unahifadhi Taarifa Nyeti kwenye ‘flash drive’ au...
0 Reactions
0 Replies
544 Views
Siwatishi, hili naliongelea kama mzazi. Hizi birthday na party za ajabu ajabu zinaharibu sana watoto wa watu. Hata kwa wanawake wenye watoto wengi, wanapotaka kwenda kwa wanaume zao, wanatumia...
4 Reactions
7 Replies
726 Views
Anonymous
Nimemaliza chuo kikuu cha st John's Dodoma (st.John’s university of Tanzania ) intake ya 2014/2017 fani ya maabara kwa ngazi ya stashahada(diploma in Medical laboratory ). Licha ya kuwa nimepata...
1 Reactions
0 Replies
650 Views
Baada ya kuona kwenye Habari Serikali imeanzisha Mfuko wa Nishati Safi ya Kupikia nikaona ni vema tuangalie kwa nchi Yetu Nishati hio ni ipi na ni vipi itatufaa, ili tusije kuingia gharama ambazo...
29 Reactions
86 Replies
6K Views
Kwa hio mnataka kujifanya mmelemewa na wateja, aaah wapi, hii benki kimei aliondoka nayo na waliobaki ni wazinguaji tu. Kama ukuu wenu ndio unawapa viburi tambueni akaunti zetu sio mikataba na...
2 Reactions
9 Replies
488 Views
Mkuu wa Kitengo cha Hazina na Masoko ya Dunia wa benki ya Exim Tanzania, Nelson Kishanda akizungumza na wafanyakazi wa benki hiyo katika maadhimisho ya Wiki ya Huduma kwa Wateja 2024 katika tawi...
1 Reactions
2 Replies
288 Views
Ndoa stable kabisa ambayo iliyopitia magomvi kadhaa lakini haijawahi kuwa na tishio lolote la kuachana. Watoto wa 4 huku wa kwanza wao akiwa na miaka 18,yaani wawili wa kike na wawili wa kiume...
17 Reactions
66 Replies
3K Views
Haya maisha bana, ukiamua kufuata vitu kwa njia ya haki unakuta unapoteza muda na hao ambao wko responsible kuhakikisha mambo yanaenda vizur hajisogez hata kidogo. Just imagine nina msala...
9 Reactions
30 Replies
1K Views
Kuelekea sikukuu za krismasi na mwaka mpya leo nimejikuta nimekumbuka nyuma kidogo mwanzoni mwaka miaka ya 2000 kurudi nyuma. Namna ambavyo sherehe hizi zilivyokuwa zinafana na kupendeza kwa namna...
20 Reactions
130 Replies
19K Views
Nawapa tips watu wa mshahara, hii ni gauge ya kujipima kama unafanya kazi au unafanywa kazi, nitatumia mifano hai, ambayo unaweza kurelate nayo kwa Tanzania. Ukiona inakukera ujue ushafeli. 1...
3 Reactions
25 Replies
1K Views
Juzi Juma mamosi nilikua Sehemu nakula akapita Binti nikamsemesha, Direct Bint, anataka 50k kwa Bao Moja. Kwamba apendi kutongozana, ni mrembo kwa mtazamo wangu,nikawaza faster. Kama huyu Binti...
5 Reactions
29 Replies
1K Views
Wafanyabiashara wa chakula maarufu kama Mama Lishe wametoa wito kwa wadau wa maendeleo kushirikiana nao katika kutatua changamoto mbalimbali zinazokabili biashara zao, hususan ukosefu wa vifaa vya...
0 Reactions
0 Replies
421 Views
Natumaini mnaendelea vizuri na ujenzi wa Taifa. Kumekuwa na sababu lukuki zisemwazo kuwa chanzo cha wanawake kuchoka/kuzeeka haraka, kama vile kuzaa sana, tutojipenda/kujijali, kuanza mahusiano...
10 Reactions
28 Replies
7K Views
Umekuja kwenye msiba ama harusi ama shughuli yoyote nyumbani watu tushashiba tushakunywa we usiku unaanza kutuuliza eti nilale wapi? Tafuta sehemu yoyote ulale sio unataka kugombania vitanda.
2 Reactions
2 Replies
291 Views
Miongoni mwa wilaya zenye idadi kubwa ya kata hapa nchini Tanzania ni wilaya ya kilosa. Wilaya ya Kilosa ina jumla ya kata 38 mara baada ya kugawanywa kidogo na kuzaa wilaya ya gairo yenye kata 8...
5 Reactions
8 Replies
2K Views
Salaam wana jukwaa! Sina haja ya kueleza kwa kina yaliyowakuta wayahudi, lakini Vitabu vya historia—vya kisekula na kidini—vinaeleza wayahudi walifukuzwa na kuuawa maeneo mengi ya Asia na ulaya...
1 Reactions
6 Replies
826 Views
Nazungumzia mdudu chawa anayependa uchafu siku hizi wamepungua sana ni nadra kukuta mtu ana chawa kichwani hata mimi nauhakika sijamuona chawa kwenye nguo tangu takriban miaka mitano. Labda...
7 Reactions
21 Replies
916 Views
Wenye ndugu zao waliosafiri usiku wajaribu kufanya mawasiliano. Ni basi na lori, haijafahamika ni basi la kampuni gani. Kwa mwenye habari zaidi atatujulisha. Pole sana kwa wahanga wa ajali hiyo...
3 Reactions
55 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…