Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Usafirishaji wa mbao, unaokadiriwa kuwa na thamani ya dola za kimarekani milioni 23 kwa mwaka, kutoka misitu ya kale ya Msumbiji hadi China unasaidia kufadhili waasi wa itikadi kali za Kiislamu...
4 Reactions
12 Replies
1K Views
UNÀTAKA KUWA NA MVUTO KIJAMII, KISIASA AU KIUCHUMI ILI UPATE PESA AU MAFANIKIO? FANYA MAMBO HAYA KISHA NJOO UNISHUKURU. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli MVUTO, mvutano. Kani au nguvu ya Uvutano...
5 Reactions
12 Replies
2K Views
Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe Anna Atanas Paul ameitaka jamii kuelewa kuwa mtoto wa kike ana haki za kushiriki michezo yote bila ya kudhalilishwa. Ameyama hayo...
0 Reactions
2 Replies
471 Views
Mpimbwe, Katavi Serikali kupitia Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) imekamilisha ujenzi wa daraja la Msadya lenye urefu wa mita 60 na upana mita 10.5 pamoja na ujenzi wa barabara...
1 Reactions
5 Replies
532 Views
Yeeeerrrrreeeeh! Soko la korosho duniani limechanganya balaa. Na hapa nchini bei imepanda kwa hadi 4k huko. Sasa yale yele ya mbuzi kunyweshwa soda kipindi kile soko lilipochanganya baada ya...
2 Reactions
0 Replies
350 Views
Bado sijajua kama Taifa tunakwama wapi au sijajua ni nani atakuja kutusaidia?,Je tuwarudishe wakoloni watuonyeshe namna njema ya kuishi katika ustaarabu au Nini kifanyike? Binafsi nimekuwa...
1 Reactions
0 Replies
309 Views
Wakuu, Wakili Paul Emmanuel Kilasa Kisabo amekata rufaa katika Mahakama Kuu ya Tanzania kanda ya Dodoma, dhidi ya Uamuzi wa Hakimu Nyambuli Tungaraja wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma ulioifuta...
1 Reactions
14 Replies
904 Views
Moja kwa moja nawashukia wakala wa vipimo (Weights and measures Agency aka WMA) ambao wanahusika na udhibiti na ukaguzi wa uzito wa mazao hapa Tanzania. Hii taasisi ina vituo vyake katika kila...
1 Reactions
3 Replies
431 Views
Salama kwenu ndugu zangu!! Nikawa najiwazisha hapa hasa juu ya mambo /hadithi zilivyo nyingi za kutishana hasa kuhusu kesho ambayo kimsingi haipo. Binafsi nimekuwa Katika maadili ya ki-kristo...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni amelikabidhi Jeshi la Polisi magari 77 kwa ajili kurahisha utekelezaji wa majukumu yake ya kusimamia usalama wa raia na mali zao ikiwa ni...
2 Reactions
15 Replies
972 Views
Hapa naongea katika Roho Kuna watu wanakusanya watoto wa maskini kutoka kijijini na kuwatumikisha kwa kuuza vitu vidogo vidogo kama mayai ya kuchemshwa, kandoro au miwa. Mtu anakuwa na vijana 5...
16 Reactions
39 Replies
1K Views
Kesi ya kuratibu genge la ubakaji kwa kundi na ulawiti inayomkabili Fatma Kigondo maarufu Kama 'Afande', imechukua sura mpya baada ya upande wa waleta maombi kumtaka hakimu anayesikiliza kesi...
4 Reactions
16 Replies
2K Views
SEREKALI ya Mapindizi ya Zanzibar imesema inaendelea na juhudi mbali mbali za kudhibiti athari za mabadiliko ya tabianchi ili kuhakikisha nchi inakua salama. Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa...
0 Reactions
0 Replies
431 Views
Licha ya Serikali kuweka bayana kwa kutenga zaidi Sh. bilioni 17.79 kwa ajili ya kuratibu na kusimamia Uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa mwaka 2024, lakini nasikitika kwamba kuna jambo muhimu bado...
0 Reactions
1 Replies
296 Views
Wakuu nataka kwenda moro kwa Sgr, je utaratibu ukoje,ticket naweza kwenda katia palepale asubui au
3 Reactions
30 Replies
1K Views
Hii ni hoja spesheli ya kutoa mwongozo wa kisheria na kijamii kuhusu upinzani dhidi ya mapenzi ya jinsia moja. Ni dhahiri na imezoeleka, kwamba kila ngumbaru yeyote hata asiye na kisomo, akitaka...
11 Reactions
237 Replies
11K Views
Kwema. Jamani kama Kuna watu wanavuta HEWA CHAFU hapa Dsm basi ni hawa watu wa mabibo mwisho hasa karbu na stendi Kwa ambao ambao hawajafika hili eneo Lina bwawa la maji taka Kuna mabwawa...
5 Reactions
27 Replies
1K Views
Habari, Kupitia majukwaa mbalimbali yaliyomo humu JF,kuna baadhi ya wanachama ambao kwa namna moja au nyingine katika kuchangia mada tofauti tofauti wamekuwa wakiahidi kuleta nyuzi zao(kuleta...
17 Reactions
73 Replies
4K Views
TANESCO kufanya Maboresho ya miundombinu ya Mfumo wa LUKU siku ya Jumatatu tarehe 21/10/2024 kuanzia saa 5:59 usiku hadi saa 9:00 usiku wa kuamkia Jumanne. Shirika limewahimiza wateja wake wote...
1 Reactions
0 Replies
468 Views
Anonymous
Mimi ni muhitimu wa Stashahada ya maabara ya binadamu (Diploma in Medical Laboratory Technology) 2014/2017 katika chuo cha St. John’s university of Tanzania Dodoma. Toka nimemaliza 2017 matokeo...
2 Reactions
0 Replies
250 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…