Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kama ambavyo nilishajisemea kwamba, lazima kuna siku katika maisha yangu nitakwenda kuhiji kwenye Kaburi la Mwamba wa Afrika, JPM, sasa naomba utaratibu wa kwenda huko. Nawasilisha.
3 Reactions
34 Replies
14K Views
Wanaume wenzangu ukiwa bado unataka kuishi, lakini umeshagundua kwamba ulioa feminist bila kujua mbinu za kuishi nae kwa amani ili asikuletee madhara ya haraka au kukuua ni 5. 1. Jitahidi sana...
3 Reactions
39 Replies
11K Views
Utasikia uchumi umepaa mara maisha bora, hivi kwa speed yetu iko siku tutafikia nchi kama USA?
0 Reactions
1 Replies
276 Views
Nawashangaa watu wanaomtetea Magufuli, wanapata wapi huo ujasiri. Huyu jamaa alikuwa muonevu aliyejivika ngozi ya uzalendo na utetezi wa wanyonge, huku akiwanyonga kwelikweli. Ameua ndoto za...
129 Reactions
223 Replies
27K Views
Huu ni wakati mpya rejea kwenye blogu yetu upate vitu nasi tuone vitu, hakuna sababu ya kuogapa tena, njoo njooo
6 Reactions
23 Replies
4K Views
Hakuna anaeweza kulipa fadhila alizotendewa hata kidogo, ila unachoweza kufanya nikua mwema au kunlmtendea mema aliekutendea wema. Baadhi husema kauli " Kulipa fadhila", si kweli, imagine mtu...
0 Reactions
4 Replies
339 Views
“Nilimkuta binti yangu chumbani kwa mpangaji mwenzangu, mbaya zaidi baada ya upekuzi yule mpangaji kumbe alishamnunulia simu binti yangu, na akampa ufunguo wa chumba ili muda wote akimtaka aweze...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwanza kabisa ieleweke mkoa wa Mbeya kuna makabila mengine kama wasafwa, wandali, wamalila, n.k. Ila wageni wengi huwa tumekariri wanyakyusa sababu ndio main tribe kwa kigezo cha umaarufu, mifano...
20 Reactions
90 Replies
7K Views
Ndugu wana jukwaa naomba kipekee niwaombe radhi wote na nitoe taarifa yangu ya kustaafi kujihusisha na ujumbe au maudhui ya aina yoyote yanayohusu Siasa za Tanzania. Na sababu ya msingi ni kwamba...
4 Reactions
6 Replies
629 Views
Katika Jamiii sasa hivi Kila Jambo unalofanya unalofanya kwa kuvuzia usipokua makini unapoteza/ Kuzurumiwa au kuibiwa. Ndoa za siku hizo zipo kimaslai zaidi usikurupuke kuoa, utapoteza kila...
3 Reactions
4 Replies
369 Views
Hello everyone.... Hope U mzima.... :TruE stoRy: Kwa kawaida vijana wengi huwa tuna ndoto ya kuvuka border na kuingia upande wa pili haswa bala la ulaya" nchi za kimagharibi kwa ujumla.... Wala...
94 Reactions
449 Replies
85K Views
Nipo hapa kwenye foleni mwanza nimempa lift mwanamke mmoja sasa nasikia anaongelea hayo mauaji kwenye simu. Na siwezi kumuuliza. Ila kwa anavyoongea inaonekana huyo mwanamke alikua anatongoza...
37 Reactions
1K Replies
188K Views
Nchi ya Tanzania imeendelea kutajwa kuwa imara na kukua kiuchumi, hiyo ni baada ya kuingia kwenye orodha ya nchi 10 bora za Afrika kwa Pato la Taifa (GDP) kwa Mwaka 2024, kwa mujibu wa IMF. Ikiwa...
2 Reactions
0 Replies
610 Views
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limemkamata Sabrina Shabani, mwenye umri wa miaka 28, mkazi wa Mbezi Mwisho, baada ya video kusambaa mitandaoni ikimuonesha akimshambulia mtoto mdogo...
6 Reactions
90 Replies
38K Views
DEREVA wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) ,Tino Ndekela na wenzake saba, wamefikishwa mahakamani wakikabiliwa na mashitaka 20 liliwemo la wizi wa mafuta ya Petrol na dizel zaidi ya lota milioni...
11 Reactions
101 Replies
31K Views
Habarini wanajamvi natumaini mpo salama. Kuna hii ishu ya NHIF kuwahi kukatisha muda wa subscription ya BIMA za wanafunzi wa chuo cha UDSM ambapo BIMA zilitakiwa ziishe mwezi wa 11 badala yake...
0 Reactions
0 Replies
374 Views
Wajukuu zangu, umri umeenda, ninawahusia haya! 1. Hakuna mtu anayeheshimu ragi hadi viatu vyake vichafuke, basi kaa kwenye kona yako. Usiombe watu wajue thamani yako, muda ukifika, hakuna...
4 Reactions
2 Replies
402 Views
Kile ambacho wahindu wanaita "karma", sisi wakristo tunaita "the law of sowing and reaping" - ni Kanuni ya kupanda na kuvuna–Yaani lazima uvune kile ulichokipanda. Usipovuna wewe watavuna watoto...
1 Reactions
1 Replies
297 Views
Kwa nchi yetu Tanzania vipigo kwa watoto inaonekana ni jambo la kawaida sana, na huku baadhi wakipongeza jambo hilo kwa kuona ndio msingi bora wa malezi kwa watoto unaowafanya kuwa na maadili...
11 Reactions
252 Replies
44K Views
Wakuu amani ya bwana iwe pamoja nanyi. Wakati tukijiandaa kwa uchaguzi wa serikali za mtaa kuna wazo limenijia hv ili nife kwa umri aliokufa nao rais Mwinyi natakiwa kuishi tena hapa duniani kwa...
2 Reactions
17 Replies
689 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…