Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Hii ni bei ya vifurushi vya internet kwa mitandao ya simu ya Vodacom, TIGO, Halotel na AIRTEL kwa gharama ya shilingi 500 kwa siku ya leo trh 11/02/2020. Kwa shilingi 500 utapata MB150 (AIRTEL)...
25 Reactions
105 Replies
14K Views
Kitendo cha kuvibonyeza, kuvikandamiza vichwa vya watoto wachanga ili kuzuia kichogo, bila kutumia wataalamu wa afya, hii inaweza kusababisha hitilafu ya ubongo Kwa Mtoto. Na Kwanza kitabibu...
9 Reactions
169 Replies
5K Views
Wakuu habari za asubuhi. Naomba mwenye experience ya kulipia na kutumiwa mzigo na hawa jamaa wa kuitwa Tunzaa online shop, wana application yao pia wapo kwenye app ya mpesa. Kuna jambo nithibitishe.
0 Reactions
0 Replies
409 Views
Nimejaribu kuangalia hii picha mara kwa mara na kujifunza baadhi ya mambo kadhaa. 1. Ukifika muda sahihi utapata, hata kama umejaribu mara nyingi ukashindwa lakini amini wakati wako ukifika basi...
7 Reactions
5 Replies
565 Views
Wadau nawasalimu kwa jina la Bwana. Kwanza nianze kwa kuipongeza Serikali yetu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuanzisha mifumo ya kielektroniki kwa ajili ya kurahisisha utoaji wa huduma...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimejaribu kuangalia hii picha mara kwa mara na kujifunza baadhi ya mambo kadhaa. 1. Ukifika muda sahihi utapata, hata kama umejaribu mara nyingi ukashindwa lakini amini wakati wako ukifika basi...
1 Reactions
0 Replies
258 Views
Comment ziwe fupi fupi! 😃
25 Reactions
135 Replies
7K Views
Huyu mwanasiasa huwa anajiweka hustler mpambanaji sana wakati kila mtu anajua amefika hapo alipo kwa mserereko na kubebwa, mzazi wake alikuwa mtu wa chama, kuupata ubunge mara ya kwanza yeye...
1 Reactions
4 Replies
408 Views
WAJUE NDEGE NDEGE ni aina ya mnyama. Tofauti ya ndege na wanyama wengine ni kwamba ndege ana mabawa yanayomwezesha kuruka angani aidha ndege hutaga mayai. Ndege wako wa aina nyingi...
14 Reactions
14 Replies
7K Views
Halmashauri ya Mji Kibaha imeendelea kutekeleza kwa Vitendo maelekezo ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.Samia Suluhu Hassan kwenye Sekta ya Elimu baada ya kufanya hafla ya kugawa...
1 Reactions
17 Replies
813 Views
Wasalaam katika Jina la Mwenyezi Mungu.... Moja kwa moja kwenye mada... Tupo duniani kwa Neema ya Mwenyezi Mungu (upendo wake kwetu). Tupo duniani ili kumpendeza yeye...
2 Reactions
10 Replies
787 Views
Wakuu habari zenu! Kuna hii taarifa ya hawa watoto wa Shule kufukuzwa huko Tabora, kuna namna sauti inatakiwa kupazwa kutokana na adhabu kubwa waliyopewa ukilinganisha na umri wao, walikuwa na...
13 Reactions
318 Replies
19K Views
Mhadhara - 48: Nakiri kwamba Vicoba na michezo ya kutoana/kupeana hela vinawasaidia wanawake kujikimu mahitaji yao madogo madogo ya nyumbani. Hata hivyo kumeibuka wimbi la wanawake wengi kujiunga...
3 Reactions
4 Replies
698 Views
Kuna Propaganda mpya dhidi ya Waislamu. Wako wanaofurahia propaganda hizo. Wako wanaoamini propaganda hizo. Wako wanaolipwa kwa kuandaa propaganda hizo. Propaganda hivi zimaendezwa kwaa media...
4 Reactions
261 Replies
9K Views
Kuelekea miaka 50 ya Shule ya Sekondari Jitegemee, Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Denis Londo amewataka wananchi wakiwemo viongozi mbalimbali waliowahi kusoma...
2 Reactions
6 Replies
544 Views
Wizara hii imekuwa ni kero kubwa sana kwa Watumishi wa Umma hasa wanaofatilia vibali vyao vya uhamisho wakiwemo wale wa kutoka Taasisi mbalimbali kwenda TRA, imekua ni kasumba ya wahudumu wa ofisi...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
Kila ninapokuwa nikiingia hapa Jukwaani ni lazima nitakutana na Uzi wa huyu jamaa Anayejiita Chief Godlove Nimekuwa nikilazimika kufungua nyuzi zake kwasababu nimekuwa nikiona mada zake zimekaa...
15 Reactions
39 Replies
3K Views
Nina kereka sana kuona vijana wengi wa kiume kujiwekea utamaduni ambao kwangu na utafsiri kama kuongeza matukio ya kuvunja maadili ya Kitanzania ikiwemo 'ushoga'. Siku hizi ukiingia kwenye...
6 Reactions
17 Replies
1K Views
Ni vitu vinavyotokea kwenye maisha ya kweli, sio kwenye muvi tu, bilioni 2 ni lugha ya kimafumbo ya kiasi kikubwa cha fedha kwako kinachoweza kubadili maisha yako. Hio ni siri yako ambayo rafiki...
4 Reactions
34 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…