Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Na kama unadhani ajira zenye mishahara midogo serikalini wana maisha magumu (mfano uliozoeleka walimu), basi hujui chochote kuhusu biashara, kuna watu wiki nzima hawauzi chochote, Maduka...
37 Reactions
92 Replies
6K Views
SALAMU ZIWAFIKIE WENYE ROHO ZA-KUKUNJA Katika hali isiyo yakawaida watu wa jamii forums wamekua natabia zakukunja sana hasa linapokuja swala la kumsaidia mtu Jamii forums tunaamini kunawatu...
9 Reactions
50 Replies
2K Views
Asilimia 80 ya wakina dada wa migahawa mmekuwa ni wachafu sio tu mazingira hata usafi wa mwili badilikeni uwezi kumuhudumia mteja huku umejifunga kanga au kijora kichafu miguu imepauka Ebu...
3 Reactions
10 Replies
492 Views
Kuna mchezo mpya siku hizi kina mama hasa wenye nyumba za kupanga huwa wanawafundisha mabinti kujenga ukaribu na wapangaji wa kiume ili kuingia vyumbani mwao kuangalia tv, kuomba kuwafanyia...
39 Reactions
110 Replies
10K Views
Katika pitapita zangu vijiweni nilikutana na hii mada kwamba, kamba ya mtu aliyejinyongea ni dili sana kwa Polisi. Mara nyingi mtu akijiua kwa kujinyonga huwa hatolewi hadi polisi wafike wao ndio...
14 Reactions
93 Replies
7K Views
Habarini wanajamvi, nimewiwa kuuliza swali hili ili nipate ufafanuzi. Mimi ninasoma degree NIT, nime retake somo mwaka huu wa pili, na pia nina mkopo kutoka loan board. Je, ku retake huku...
0 Reactions
34 Replies
3K Views
Wakuu, nina umwa sana wapendwa. Ninasumbuliwa na uric acid. magoti yako hoi. Nilitaka kuandika wosia,kwa ajili ya mali zangu kidogo nilizo nazo. Mashoga zangu kama sio mashosti zangu wame nionya...
14 Reactions
133 Replies
12K Views
Nimeona kuna movements za ku boycott / kugomea bidhaa zenye uhusiano na Israel, nimepata wazo nije kuwasapoti wadau kwenye huu mgomo kwa kuwashauri muweke mkazo zaidi kukaa mbali kwenye simu na...
3 Reactions
44 Replies
2K Views
Kum-radhi kama bandiko langu litakuwa na maana/maudhui ya tofauti na kuhitaji kufahamishwa na kuelimishwa. Ni mimi wako UWESUTANZANIA. Katika jamii nyingi na maeneo tofauti tofauti hapa...
0 Reactions
0 Replies
446 Views
Nilisema ndoto ina definition tofauti. Moja kati ya definition za ndoto ( my personal definition) ni : 👇 Ndoto ni ' kioo cha kiroho' kinacho tumika kukuonyesha wewe ni nani katika ulimwengu wa...
1 Reactions
0 Replies
878 Views
Wakuu habari, poleni na majukumu ya hapa na pale. Umepewa 5,000,000 na umeambiwa uchague kuanzisha kati ya biashara zifuatazo. Uuzaji wa chuma za aluminums na vifaa vyake Duka la simu na...
2 Reactions
27 Replies
8K Views
Sote ni mashuhuda wa jinsi teknolojia ya computer inavyozidi kuboreshwa kwenye simu za kiasasa smartphones, vitu kibao ambavyo zamani vilitulazimu kuvifanya kwenye desktop au laptop siku hizi...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu,kama ilivyo kawaida JamiiForums ni home of great thinkers,naamini kwa hiki nitakacho kiandika hakito mkwaza mtu na hata mtu aki comment kitu itakuwa imenisaidia kwa namna moja...
2 Reactions
10 Replies
687 Views
1. Akaunti ambayo itatumika kulipia bills. Hii akaunti mnakubaliana muwe mnaweka kiasi gani kwa mwezi kila mmoja. 2. Saving akaunti. Hii ni ya pesa zenu za saving ambapo itatakiwa kusainiwa na...
6 Reactions
12 Replies
792 Views
N:B: Sina uhakika wa asilimia 100 kama niliuziwa chungwa lililoivishwa kikemikali ila kwa dokezo >> hili << nimepata wasiwasi Nipo Mbeya kwa wiki kadhaa, Nilikuja na mashine yangu ya kusagia...
4 Reactions
31 Replies
1K Views
Bahati mbaya kila mtu siku hizi ni Mchambuzi wa soka ndio maana mijadala imekuwa mingi kwenye vitu ambavyo viko wazi kabisa...Bao la Baleke sio Offside! Labda mjadala ingekuwa performance ya...
0 Reactions
0 Replies
251 Views
Anonymous
Habari, Halmashauri ya Mkalama kwa muda mrefu Barabara za mitaa hazijachongwa kwa baadhi ya maeneo na hii imepelekea kero hasa kwa wakazi Wa maeneo hayo hata kupata ugumu wa kupita na mizigo...
0 Reactions
0 Replies
244 Views
Imeelezwa kuwa program tumizi (Application) 55 zinazotumika kutoa mikopo mitandaoni hazitambuliki na Benki Kuu ya Tanzania (BoT). Hayo yameelezwa na Afisa Mkuu Mwandamizi wa BoT, Deogratius...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Jeshi la Polisi mkoani Kagera limemkamata na kumfikisha mahakamani Haruna Ayubu Rubai (63), Mwalimu wa dini ya Kiislamu na Daktari wa viungo anayemiliki kituo chake cha mazoezi ya viungo Bukoba...
9 Reactions
69 Replies
3K Views
Habari Wana JF, juzi usiku kwenye saa moja hivi niliona kitu Kama NYOTA zimejipanga mstari zikawa zinasogea alafu zikapotea, nikawa najiuliza maswali ni nini hiko bila majibu.
3 Reactions
25 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…