Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mhe. Waziri Mchengerwa na wizara yako imulikeni Chato na chukueni hatua mapema. Mambo si mambo kule, hali si hali. Nimepenyezewa taarifa kuwa watumishi wa zoezi la uchaguzi wanadhulumiwa malipo...
0 Reactions
4 Replies
410 Views
Wasalamu,Ukienda Dar kutafuta pesa wenyeji wanakuambia pesa umeziacha mkoani. Ukirudi mkoani wanakuambia pesa umeziacha Dar. Watu wa uchumi naomba ukweli hela iko wapi?
2 Reactions
7 Replies
565 Views
Wakubwa, kwema? Naomba msaada wa hii ndoto, imeota nikiwa nakula (vingine sikumbuki). Cha ajabu ni ndani ya dakika 17 tu nilizopitiwa na usingizi, hii imekaaje?
2 Reactions
9 Replies
835 Views
M Mbunge wa zamani wa jimbo la Mbeya mjini Joseph Mbilinyi Sugu ametoa siri kuwa alifikia hadhi ya kuwa millionea mwaka 1998 kipindi hicho akiimba muziki na baadae akafanya biashara na kufikia...
10 Reactions
31 Replies
2K Views
Kimsingi wamevurugwa. 1. Mtu aliyetumia fedha za mafao kuanzisha biashara ya usafiri/usafirishaji akauziwa chombo kibovu. 2. Mtu anayeishi nchi nyingine bila vibali. 3. Mtu aliyeanza kujipata...
10 Reactions
32 Replies
1K Views
Rafiki yangu mpendwa, Kwenye harakati za kujenga utajiri na uhuru wa kifedha, huwa ni rahisi sana kujisahau kuyaishi maisha. Ni mpaka pale mtu anapofikia lengo alilokuwa nalo ndiyo anagundua...
3 Reactions
8 Replies
2K Views
Kama uliwahi kupewa bango na mtu aliyehasirika ujue ni kweli. 😁
14 Reactions
58 Replies
2K Views
Kwenye gazeti la leo la Mwana Habari pana habari inayosemeka 'Rais Samia apeleka kicheko elimu ya juu'. Habari hii inahusu mikopo kwa wanafunzi wa vyuo. Kwa kweli nimefadhaika mno kwani niña binti...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Wiki ya nne sasa chaneli 322, St Kassi Music, haipo hewani. Waliiondoa kabisa ila nilipowapigia na kulalamika wakairejesha isomeke tu lakini haifanyi kazi. Jana kifurushi kimeisha, nikatuma pesa...
3 Reactions
0 Replies
349 Views
Ughonile.. Hii hali najua sio mimi tu naekumbana nayo. Unakuta mtu una "My Only" zaidi ya 10 na wote mapenzi yako 🔥 inatokea unameet na mmoja wapo wa hao "My Only" analeta pigo za kuazima simu...
6 Reactions
37 Replies
942 Views
Najua kwa haraka haraka mtafikiria kunijibu kwamba "Mwajiri hawezi fikia mafanikio ya Mo ai Bakhresa" ....vuta pumzi tulia!! Hao kina Mo watoe akilini mwako maana wapo kundi tofauti kabisa ni...
50 Reactions
228 Replies
16K Views
Watakatifu wa usoni. Katika giza la unafiki, watu wanajifanya kuwa wema wanavaa ngozi ya kondoo kumbe chui, ustadi na wakati wa majaribu, ni vigumu kutofautisha kati ya wema halisi na wenye hila...
3 Reactions
37 Replies
1K Views
Hawa Warusi sasa naona wameanza kuchanganyikiwa hawafahamu hata wanapigana na nani tena,imekua kawaida yao kutishia kushambulia kila anayeikosoa kwa Silaha zao za Nyuklia na Hypersonic as if...
2 Reactions
20 Replies
1K Views
Ndoto ni ndoto, huwezi kuchagua uote nini na nini uache kama ikimpendeza basi mama aende katika madhabau anayoamini apige magoti ashukuru kwa yote aliyowafanyia wananchi wake, Tukiwa wakweli...
1 Reactions
8 Replies
685 Views
Anaandika Martin masese MUHUNI kama HKigwangalla mbunge wa Nzega Vijijini. Dkt. Manguruwe alikuwepo bungeni wakati tozo/kodi katika michezo ya kubashiri zinapitishwa. Mwaka 2012/2015, serikali...
3 Reactions
2 Replies
590 Views
Wasalam wakuu, Imekuwa ni jambo la kawaida matajiri wakihojiwa kuhusu utajiri wao utasikia anasema nilianza na baiskeli sasa namiliki kampuni kubwa ya mabasi. Mwingine atasema nilianza mama...
9 Reactions
128 Replies
5K Views
Mnada wa mahekalu ya mfanyabiashara Said Lugumi, ambaye kampuni yake inadaiwa kodi na serikali, unatarajia kufanyika kwa mara ya nne baada ya kushindwa kupata wanunuzi katika minada iliyopita...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Huyu jamaa makala zake huwa nazipenda sana. Kwanza jamaa hafungamani na upande wowote, yeye ni mzee wa kushusha nondo tu! Nimeanza kufuatilia makala zake tangu enzi hizo yupo Rai ya ukweli hadi...
1 Reactions
13 Replies
5K Views
Habari zenu wasaka tonge. Nimefungua uzi huu ili tujuzane ukweli juu ya jambo hili. Je! Mungu anayeabudiwa kati ya WAISLAMU na WAKRISTO ni mmoja? Yehova vs Allah = 1 ?
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…