Mkandarasi aliyepewa tenda ya kutengeneza barabara ya kilometa 31 ya Geti Fonga-Mabogini-Kahe wilaya ya Moshi, mkoani Kilimanjaro anasababisha kero kwa wakazi wa maeneo inapopita barabara hiyo...
Habarini!
Nina ndugu yangu yeye huwa anaongea mwenyewe usiku. Kwa mfano tumelala saa 6 na nusu lakini ikifika saa 7 kamili utamsikia anaropoka tena atasimama kabisa ataongea maneno utayaelewa...
Nina gari langu dogo la mizunguko ya kazini na watoto shule, gari hii muda wote na hasa kipindi cha Desemba na Januari lilikuwa linaendeshwa na mimi au mke wangu.
Wiki ya kwanza ya Januari na...
Niliwaambia na nitawaambia kuwa shetani ndiye Mungu wa Dunia hii. Na ili akupe vya Dunia hii au akupe miliki yake lazima umsujudie. Wasanii wetu wanachotaka ni aidha pesa au umaarufu na hivyo...
Meya wa Manispaa ya Tabora, Ramadhan Kapela, amewataka vijana wa Manispaa hiyo kumkamata mtu yeyote atakayeonekana anatupa takataka hovyo mitaani ili kuimarisha hali ya usafi wa Manispaa...
Ni ijumaa nyingine tena tukiwa tuna uanza mwezi mpya wa November. ALLAH atujalie kila lililo la
Lessons from the stories
Walimu acheni tamaa za muda mfupi hawa wanafunzi ni kweli wanavutia kwa...
Watu wa mtandao fulani sitaki kuutaja hapa huwa wana kawaida moja pale linapokuja swala la kuangalia connection,huambiana jamani naomba mnitumie nami pm au dm tugawane dhambi
Angalau hao huwa na...
Huyu Ni Mdogo wangu Mtoto wa Mjomba.
Alikiwa Injinia wa ujenzi akifanya kazi Nchini Kenya kwa miaka 10 sasa.
Akiwa huko alikuwa akilipia ada ya usajiri na leseni kama kawaida.
Sasa amerudi...
Kuna ndugu yangu mmoja ana account huko CRDB, ila anasema haijatimia kwa muda mrefu kidogo.
Sasa wiki ya pili anapokea jumbe za alerts kuwa account yake imepokea sh. Kadhaa, mara baada ya muda...
Mwanamke aitwaye Nancy Simon, Balozi wa mtaa wa Olekeriani, kata ya Olasiti jijini Arusha, ambaye alikatwa mkono akijaribu kumuokoa mwanamke aliyekuwa akishambuliwa na mume wake, ameeleza kuwa...
Taarifa ya Kwanza iliyochapishwa na Mwananchi tangu kufungiwa
Wakuu,
Naona Mwananchi wamerudi mzigoni baada ya mwezi mmoja waliokuwa wamefungiwa kuisha.
Bado najiuliza ni zile video tu ndio...
Waziri wa Maji Mh. Jumaa Aweso jana amefanya ziara katika maeneo ya Miganga-Mkonze na Nkuhungu kuangalia hali ya upatikanaji wa maji Jijini Dodoma na kutoa maelekezo kwa watendaji maji kuimarisha...
Nikiwa natoka mihangaikoni, mara paaap, nikiwa sehemu moja inaitwa Taula, kilometa chache kutoka Segera uelekeo wa Dar, nakutana na raia wapo nduki wakiwa wamebeba viroba vya unga wa Azam.
Kumbe...
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetangaza mwelekeo wa msimu wa mvua za vuli na msimu wa mvua za masika zitakazoishia Aprili 2025.
Akizungumza na waandishi wa habari Oktoba 31, 2024, Kaimu...
Dkt. Wilbroad Slaa akizungumza kwenye mahojiano na Crown FM amesema "Sijavuliwa ubalozi, ni nyie mnasema hizo taarifa niliziona kwenye vyombo vya habari" baada ya kuulizwa kuhusu taarifa za...
Habarini wadau.
Ninachangamoto ya kiafya kidogo nipo hospitali.
Sasa nimefika hapa nakuta mambo yamebadirika serikali imeamua kutumia mifumo katika tiba
Sasa changamoto iliyopo ni tatizo la...
Wakuu,
Nishachoka kuja kulalamikia maji hapa, mnatufanya kama watoto tunapewa pipi tumun'unye halafu mnatupokonya. Yaani kama vile sasa hivi tupo kwenye mgao, na maji bado yana harufu mbaya...
KUSITISHWA KWA MUDA LESENI ZA HUDUMA ZA MAUDHUI MTANDAONI ZILIZOTOLEWA KWA MWANANCHI COMMUNICATIONS LIMITED
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ni Taasisi ya Serikali iliyoanzishwa kwa Sheria...