Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Tanzania ni Nchi yetu sote hivyo ni wajibu wa kujivunia vivutio vilivyomo. Mlima Hanang uliopo Katesh manyara ni mlima wa Saba Kwa urefu hapa Tanzania Nikiwa viunga vya huko niliona Nami...
77 Reactions
203 Replies
10K Views
Bodi ya Mikopo ya mikopo ya Elimu ya juu (HESLB) wengi hawajapata mikopo na deadline tar 4 november 2024. 1.Wengi wanapata hii msg “Your verification has been passed successfully ,regular visit...
0 Reactions
0 Replies
472 Views
Sijui heading ipo sawa au laa ila ninachokusudia ni zile process za kuvutia umeme majumbani. Huwa sipendi kubahatisha nikauliza mtu wa TANESCO kuhusu umeme nikaambiwa cha kwanza piga wiring ndipo...
0 Reactions
0 Replies
389 Views
Mfanyabiashara mwenye maduka ya vinywaji vya jumla na rejareja Mjini Babati, Peter Mushi amekutwa ndani kwake amefariki dunia baada ya kujinyonga. Afisa Mtendaji wa mtaa wa Sawe, Simon Majura...
27 Reactions
115 Replies
9K Views
Kimbunga kikali kimezua taharuki katika Mji wa Babati mkoani Manyara, video ikionesha matanki tupu ya maji yakirushwa angani. Huko kwenu kimbunga kama hiki mnakiitaje?
2 Reactions
15 Replies
983 Views
Wakuu makazini mambo ni mazito. Hasa private yaan umbea, unafiki, kuzushiana maneno,kuchongeana kwa boss, kuchunguzana na kuharibiana kazi kupo saana. Mtizamo wangu labda serikalini hayapo haya...
14 Reactions
91 Replies
3K Views
Habari! Tunaomba serikali ya Wilaya, mkoa na hata Wizara inayohusika kuingilia kati sintofahamu iliyopo soko la matunda na mbogamboga Msufini - Singida, kati ya wajasiriamali na wenye eneo...
0 Reactions
9 Replies
514 Views
https://youtube.com/shorts/DpPJZGaVFcs?si=XCZWQgMv64KBOJOR
4 Reactions
15 Replies
1K Views
Jamaa anaitwa Bollen Ngeti kada wa CCM aliyekuwa anamkosoa Hayati Magufuli wakati wa utawala wake, mfuasi wa Membe na alikuwa anaibua hoja jadidi na kuntu, yuko wapi? Nimejaribu kutazama...
2 Reactions
7 Replies
794 Views
Siku hizi sio kitu cha kushangaza kusikia muumini wa RC au KKKT akikwambia kuwa now yupo kwa mtume na nabii......au kahamia kwenye kanisa la askofu. kupata huduma za maombezi ya kiroho. Nini...
2 Reactions
100 Replies
12K Views
Habari zenu wanakijiji cha Jamii Forums leo bhana nimewasogezea Ibada 3 za kingono zinazofanywa kimila na baadhi ya jamii barani Afrika.. lengo la hii thread si kwa nia ya kuchafua jamii hizo au...
4 Reactions
12 Replies
3K Views
Wakuu hope mko poa Naomba kuuliza ni nani, Ni mkubwa, lakini pia nani anajua Siri nyingi, lakini pia nani yupo karibu mno na raisi Kati ya Mkuu wa Majeshi(CDF) na Mkurugenzi wa Usalama wa...
16 Reactions
437 Replies
81K Views
Kupanga ni kuchagua na kuamua ni uhuru, ukiachana na siasa raha sana, maisha burudani haina mbaya haina noma sana. Kaa mbali na noma za utekaji kuna maisha baada ya siasa, Pang Fung Mi
4 Reactions
9 Replies
438 Views
Toka nchi hii uanze kutekeleza miradi ya Maendeleo ni muda mrefu na miradi mingi ya kimkakati imetekelezwa ,ikiwemo pamoja iliyotekelezwa na wakoloni mfano mradi wa Reli ya Kati. Ukiachana na...
16 Reactions
67 Replies
3K Views
Hivi kipindi hiki cha upungufu wa maji. Kinachosababisha upungufu wa uzalishaji wa umeme. Kukabiliana na hili kwann kusiwe na njia za dharura kama. Ukame husababishwa na jua kali kwa kipindi...
2 Reactions
8 Replies
735 Views
Amazing GOD Bwana Yesu asifiwe... Lengo la Uzi huu ni ushuhuda ,Kwa yeyote mwenye ushuhuda wa namna ambayo amekutana na mkono wa MUNGU katika maisha yake, anakaribishwa sana kushuhudia...
4 Reactions
7 Replies
644 Views
Gesi hii ambayo wanaiita Auto-Gas ndio mixture ya (Butane na Propane au Propane) na ndio huku tunapikia majumbani...; nimetoa hii habari hapa kuonyesha kwamba ni busara kutumia ulichonacho na...
1 Reactions
3 Replies
673 Views
TANGAZO LA KUIBIWA Ningependa kuwataarifu umma kuwa nimeibiwa vitu vifuatavyo: 1. Laptop (2) Aina: "HP Pavilion, & HP Hewlett Rangi: ( moja ina rangi ya kijani na nyingine ina rangi ya...
0 Reactions
3 Replies
314 Views
1. Pamoja na kubarikiwa ardhi nzuri na yenye rutuba, Zanzibar kuna mfumuko wa bei sana kwenye bidhaa za vyakula vya bustani kama matunda na mboga mboga... siyo kama kwetu Moshi. Kwa sasa ndizi...
136 Reactions
206 Replies
34K Views
Hakuna maisha baada ya kufa, maisha yapo hapa, ukiwa hai. Tenda wema, ukiondoka watu wakukumbuke kwa wema. Ukitendewa ubaya, tafuta haki hapa, hakuna haki baada ya kufa. Ukifa, unaoza na...
21 Reactions
83 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…