Serikali iruhusu wawekezaji wawekeze wanashindwa ku operate vivuko, kwa sasa kivuko ni kimoja vya azam vinafanya kazi kwa muda mchache kutokana na makubaliano yao.
Kero ni kubwa mno inakugarimu...
Kwema wakuu!
Mimi ni kijana wa miaka 24 na kazi zangu ni full-time online. Nataka nikimbie nyumbani.
Kwa 2.5M kama pesa ya kuanzia maisha, Je! Ni mkoa/wilaya gani Tanzania nzuri kwa kuishi yenye...
Nimeona Bashungwa kajitokeza fasta kusafisha anga baada ya Mwananchi kuja na makala hii, kweli uongozi mtamu! Malamiko kibao juu ya vivuko hivi hayaoni au? Ripoti ya CAG nayo ilieleza jinsi kivuko...
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Charles Kichere amependekeza TEMESA itathmini mikakati mbadala ya kupunguza utegemezi wa vivuko vya mwendokasi kwakuwa kuendelea kukodisha...
Wakati wengine wakikimbilia fursa ya mafuta baada ya kugunduliwa, yeye aliiona fulsa kwenye uchafu wa mafuta uliokuwa ukiwakera watu.
Anakumbukwa sana kwa kauli yake maarufu isemayo:
"Innovation...
Wakuu Kila mmoja na mawazo msimamo na akili yake!.
Sijaona point yoyote ya muhimu au kama kunasababu nyingine iongezwe, haijalishi mama atanidhulumu atakuwa amedhulumu Cha mwanae. Haijaliishi...
Watu wengi wanalaumu matajiri kutofundisha vizazi vyao namna ya kuendeleza utajiri wao hata pale wanavyoaga dunia bila kujiuliza sababu zinazosababisha hivyo.
Baada ya kutafakari nimeona UKOSEFU...
Haya sasa sema kimeumana Dr. Manguruwe akaliwa kooni adaiwa katapeli watu. Bwebwe nyingi huko mtandaoni kumbe nyuma ya camera anayake mambo
===================
Katika hali isiyokuwa ya kawaida na...
Kwenye haya maisha kuna watu tumezaliwa na gundu kiasi kwamba toka unazaliwa mpaka unakufa maisha yako ni Magumu tu hata kama Unapambana vipi kujikwamua kwenye huo Ugumu.
Inaumiza unaishi kwenye...
Zanzibar: Asha Bakar (40) mtoto wa mwisho kati ya watatu wa familia ya Bakari Juma, Asha ambaye pia ni mama wa Watoto watatu, anayeishi na mume wake kisiwani Unguja, anasimulia safari yake ya...
Assistant Superintendent of Police (ASP) Fatuma Kigondo. Huyu ni afisa wa Jeshi la Polisi. Fatuma ndiye yule ‘afande’ aliagiza ‘JM’ abakwe na kulawitiwa.Assistant Superintendent of Police (ASP)...
Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji (EWURA) hivi karibuni imetoa taarifa kwa umma kuhusu maombi ya vibali vya ujenzi wa miundombinu ya mafuta na leseni kwa ajili ya biashara na shughuli...
Kama kichwa cha habari,
Naiomba serikali na Wizara husika ikibainika miundombinu imehujumiwa basi Uongozi wakijiji ukamatwe na kijiji husika kifutwe.
Hii itasaidia hujuma hili ni pendekezo langu.
Wakuu habari ya uzima?
Kama mada inavyojieleza, ningependa kujua kutoka kwa yeyote anayefahamu dawa za hawa mijusi wanaozurula ndani ya nyumba naomba anijuze tafadhali.
'Atavists' ni viungo vilivyorudi kwa bahati mbaya kwenye viumbe ambavyo viungo husika vilishaondoka na kupotea, ila zile 'switch' za kiungo husika zinakuwa tu zimezimwa kwenye vinasaba vya kiumbe...
Sisi Wananchi wa Manispaa ya Mpanda Mkoa wa Katavi tunaomba uongozi wetu wa Manispaa uchukue hatua za haraka kuwaondoa wajasiriamali wanaoweka bidhaa pembezoni mwa Barabara ya Mpanda Hotel kwenda...
Wiki iliyopita mida ya jioni nilikuwa maeneo ya Msufini Manispaa ya Singida ambapo rafiki yangu niliyemfata ni Bodaboda, hivyo nikakaa kijiweni kwao kwa muda. Tukiwa hapo akaja boda mwenzao ambaye...
Shirika lisilo la Kiserikali la Relief to Development Society (REDESO) linaendesha Mafunzo ya Matumizi ya Nishati Safi na salama kwa makundi ya Mama lishe, Wakulima wa mbogamboga na madereza wa...