FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 36,052
- 40,715
'Atavists' ni viungo vilivyorudi kwa bahati mbaya kwenye viumbe ambavyo viungo husika vilishaondoka na kupotea, ila zile 'switch' za kiungo husika zinakuwa tu zimezimwa kwenye vinasaba vya kiumbe, na 'switch' hizo zinapowashwa tena kwa bahati mbaya, basi kiungo hicho hurudi.
Mfano nyoka mwenye miguu, nyangumi mwenye miguu, binadamu mwenye mkia, kuku mwenye meno, ni ishara ya udugu wa damu baina ya viumbe kama bnadamu,nyoka na nyani, hivyo mababu na mabibi wa nyoka na manyani ni hao hao wa binadamu.
Update: 24/11/2020
_________________________________