Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Salaam, shalom!! INTRODUCTION. Tuendelee na mada za wakubwa, Naamini Hadi sasa Kila mtu ajua kuwa, Mtu ni ROHO, anayo NAFSI na anaishi ndani ya MWILI. Nimekuwa nikifanya majaribio mengi ya...
13 Reactions
40 Replies
2K Views
Tumtolee Mungu Vitu Vinavyotugharimu Zaidi Tumtolee Mungu vitu vinavyotugharimu hata kuhatarisha Maisha. Mfano wa mashujaa watatu wa Daudi Hebu tuangalie mfano kuhusu Daudi, kupitia Mfalme wa...
5 Reactions
24 Replies
1K Views
Hello wana jamii kwema humu? Kuna baadhi ya kazi/Shughuli ambazo watu wanazichukulia poa lakini zina kipato cha maana, Kwa mfano kuna mtu namfahamu kazi yake ni kuzibua vyoo, lakini anakwambia...
9 Reactions
32 Replies
2K Views
Je, ni sawa kwa baadhi ya watumishi wa KKKT kufanya kazi na kupokea mishaara bila mikataba ?
0 Reactions
4 Replies
601 Views
Mwakilishi wa wabunge wachache bungeni, Halima Mdee, amesema Dk Faustine Ndugulile, aliyekuwa mbunge wa Kigamboni na Mkurugenzi mteule wa Shirika la Afya Duniani (WHO), Kanda ya Afrika, alisimama...
0 Reactions
3 Replies
707 Views
Habari ndugu zangu, Afya ya akili ni mada muhimu ambayo mara nyingi haipati uzito unaostahili, hasa inapokuja kwa wanaume hapa Tanzania. Kwa jamii zetu, wanaume mara nyingi wanatarajiwa kuwa...
2 Reactions
1 Replies
406 Views
Kwa vijana wengi wa Tanzania na Afrika kwa ujumla, fursa za kazi nje ya nchi zinaonekana kama tiketi ya maisha mazuri. Wengi wanaamini kuwa kuondoka na kuajiriwa nje ni hatua ya kufanikisha ndoto...
2 Reactions
4 Replies
714 Views
Waislamu wa Tanzania Wakiongozwa na shehe Ponda wamefungua Kesi dhidi ya BAKWATA, Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Msajili wa NGO wakipinga wao kuwekwa na Serikali chini ya usimamizi wa Bakwata...
6 Reactions
52 Replies
2K Views
WABUNGE WANAWAKE ZANZIBAR: UWEKEZAJI UNAOFANYWA UMEKUWA KICHOCHEO CHA KUKUZA UCHUMI ZANZIBAR Wakiwa Mkoa wa Kusini Unguja tarehe 30 Novemba, 2024, Wabunge Wanawake Zanzibar wameeleza kuwa...
0 Reactions
0 Replies
363 Views
Rais Samia Suluhu Hassan ameungana na familia, viongozi na waombolezaji katika Ibada ya kuaga mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Kigamboni na Mkurugenzi Mteule wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Kanda ya...
3 Reactions
11 Replies
944 Views
Wapiga Debe katika Stendi ya Daladala ya Mbezi Luis wamekuwa kero kubwa kutokana na yale wanayoyafanya kila siku kutuoni hapo kwa nia ya kutafuta Abiria wanaoelekea katika Kituo cha Mabasi cha...
7 Reactions
17 Replies
1K Views
Hii huduma ni muhimu sana hasa kwa wale wagonjwa walio katika mateso makali mno.., i mean mateso yasiyovumilika na hakuna kabisa uwezekano wowote ule wa kupona hivyo dawa nzuri na ya uhakika ni...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Taasisi ya Hakimiliki Tanzania (COSOTA) imeteketeza vifaa na bidhaa vilivyokamatwa kwenye operesheni ya kutokomeza uharamia nchini dhidi ya kazi za sanaa na fasihi pamoja na usambazaji wa...
0 Reactions
0 Replies
288 Views
Siku ya Kimataifa ya Kukomesha Utumwa huadhimishwa kila mwaka tarehe 2 Desemba. Lengo lake ni kuangazia juhudi za kukomesha aina za utumwa wa kisasa, kama vile usafirishaji haramu wa binadamu...
0 Reactions
0 Replies
445 Views
Zama hizi za mitandao ya kijamii, tunaishi kwenye ulimwengu wa aesthetic friendships – zile picha za kikundi cha marafiki wakiwa kwenye vinywaji, sherehe, au safari za kifahari wakitabasamu kana...
2 Reactions
0 Replies
365 Views
Viongozi wetu wa serikalini kuanzia na waziri wa Afya na wengine onyesheni mfano kwa kupima VVU hadharani ili kuhamasisha wananchi mnao waongoza kuhamasika kupima kwa hiyari. Ongozeni kwa...
4 Reactions
18 Replies
826 Views
Nimetoa taarifa kama raia mwema, muda ni usiku kuanzia saa saba nyie wekeni doria, target ni raia mmoja wa kigeni
13 Reactions
67 Replies
4K Views
Ikiwa kiongozi atashindwa kufanya maamuzi ambapo kimsingi sheria imempa mamlaka hayo ujue huenda kuna tatizo. Kiongozi mzuri ni yule anayekemea na kuomba ushauri wa kiutendaji,inapotokea nyumba...
0 Reactions
0 Replies
144 Views
Nimegundua mabinti wengi hawamalizi elimu ya sekondari, wakiona shule imekuwa ngumu wanaanza kujifanya wanapandisha mapepo, ajabu mapepo hayo hupanda siku za shule tu wala sio weekend. Wazazi nao...
25 Reactions
82 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…