Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

📖Mhadhara (71)✍️ Mbeya ni mkoa ambao unakabiriwa na matukio ya ajali za mara kwa mara. Maeneo ambayo ajali hutokea sana ni; 1. Mlima nyoka, 2. Mteremko wa Simike (Nzovwe), na 3. Mlima wa Mbalizi...
0 Reactions
3 Replies
575 Views
Serikali imeanza mchakato wa ujenzi wa hospitali maalum ya magonjwa ya mlipuko na kituo kikuu cha uchunguzi mkoa wa Kagera kutokana na mkoa huo kupakana na nchi ambazo zimekuwa na historia ya...
0 Reactions
0 Replies
533 Views
Hawa watangaaji (Laizer na Mmasai) ni washamba sana, wanapiga makelele yaani wanaboa wanaumiza masikio kama wanalipwa mshahara sijui nadhani wanatangaza bure, Kwenye show yao ya Kili Breakfast...
0 Reactions
2 Replies
362 Views
Kama kichwa cha habari kinavyosema mm ni mtumishi katika halmashauri ya mji wa Tarime, toka nimeajiriwa miaka mitatu iliyopita na sijawahi kulipwa hela yangu ya kujikimu na kila ninavyofuatilia...
2 Reactions
45 Replies
2K Views
SERIKALI LIPENI FEDHA YA NAULI YA LIKIZO YA DECEMBER 2024 WALIMU WA SEKONDARI MISUNGWI. Hili ni jambo lisilokubalika hata kidogo, kwamba serikali ileile iwalipe ontime walimu wa shule za msingi...
0 Reactions
2 Replies
509 Views
Wana JF wote Pokeeni salamu zangu za Mwaka huu wa 2025 ukawe mwaka wa heri kwa kila mmoja wetu. Asanteni
0 Reactions
0 Replies
308 Views
Gazeti la Mwananchi limeonyesha kabisa Waamini wa Kanisa la Mtakatifu Joseph Dar es Salaam wakinywa Konyagi Kanisani.
36 Reactions
412 Replies
13K Views
Hili si jambo la kuficha. Yapata aidha kipindi cha miezi minne sasa wavuvi wanaoingia kwenye hifadhi ya Rubondo kwa kujipatia kitoweo wanapigwa risasi na kupoteza maisha kila kukicha. Sehemu hizi...
6 Reactions
22 Replies
5K Views
Leo naleta kilio ambacho ni kero chetu wananchi tunaoishi Mapinga na maeneo yote yanayopakana na barabara ya Bagamoyo. Kilio hiki kinahusu nauli za usafiri wa bajaji kwani madereva/wamiliki wa...
2 Reactions
10 Replies
737 Views
Unapofanya maamuzi juu ya maisha yako,ni yako huna haja ya kujitetea kwa mtu yoyote juu ya uamuzi huo
0 Reactions
0 Replies
213 Views
Separation Ring ni kitu gani? Roketi kwa kawaida huundwa kwa stages au vipande, ambavyo hutumika kwa wakati tofauti wa kuirusha kwenye obiti. Sehemu kubwa ya uzito wa roketi ni mafuta na injini...
12 Reactions
31 Replies
2K Views
Mi huwa nashangaa watu hasa siku hizi eti mara ooh huyu ana tatozo la afya ya akili mara ooh huyu ana ahangamoto ya afya ya akili. Ki ukweli kabisa hakuna kitu kama.hicho. Jiulizeni kwa nini...
3 Reactions
53 Replies
2K Views
Usiku una mambo mengi mno Mda huu wa usiki kila mtu anautumia kivyake, kuna wale wa kulala. Kuna wale wa kuwanga, kuna wale mafundi ila kuna sisi wengine ambao keyboard ndo chakula chetu. Kwangu...
20 Reactions
297 Replies
9K Views
Hili ni tukio lakweli nililo liona. Siku moja nilikuwa katika mkoa Fulani na kwa kawaida ya shirika nilikuwa nafanyia kazi ilikuwa ni utaratibu kutupa nauli ya ndege hivyo nilienda kwenye moja...
7 Reactions
29 Replies
3K Views
Wakati tupo katika mwanzo wa mwaka mpya 2025, kuna haja muhimu ya kutazama uhusiano kati ya China na Marekani, ambao ni moja kati ya uhusiano muhimu sana wa pande mbili duniani kwa sasa. Kwa...
1 Reactions
0 Replies
831 Views
Inawezekana kutoboa ila unahitaji nguvu kubwa sana mana unakuwa huna backups kutoka kwa mjomba shangazi wala mamkubwa. Kuna wengine wanapewa mitaji na ndugu Wanapewa connection na ndugu Hata...
14 Reactions
34 Replies
2K Views
Wakuu mambo ni vipi!! Natumai mmemaliza msimu wa sikuu kwa nguvu zote!! Nilitaka tushee uzoefu wa matumizi kwa msimu huu wa sikukuu!!! Kwa upande wangu nilipanga kutumia laki 6 tu, ila wiki ya...
2 Reactions
26 Replies
1K Views
Meditation (Kutafakari) ni nini? Meditation, inayojulikana pia kama kutafakari kwa kina, ni zoezi la kiakili linalohusisha kuzingatia mawazo, pumzi, au hali fulani ili kufikia utulivu wa ndani...
3 Reactions
0 Replies
929 Views
Wakuu niko kwenye final process za Kufungua Kampuni, Nahitaji Wadau mnishauri je Niwe na Namba Moja tu ya simu kwa ajili ya Mawasiliano ya Kampuni au niwe na namba zaidi ya Moja? Na Je nichague...
3 Reactions
11 Replies
561 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…