Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Siku ya Jumatatu, Januari 20, 2025 Rais Samia, alithibitisha kuwa mtu mmoja amekutwa na maambukizi ya virusi vya Marburg (MVD) katika Wilaya ya Biharamulo, mkoani Kagera. Leo imetoka taarifa kuwa...
0 Reactions
4 Replies
602 Views
Habari wakuu! Najaribu kujaza taarifa kwa lengo la kupata control number kwenye mfumo wa Police loss report bila mafanikio. Kama kuna mtu aliyewahi pata changamoto kama yangu anaweza nishauri...
0 Reactions
2 Replies
725 Views
Huwa sio mpenzi wa siasa tangu mwaka 2010 niliachana na siasa kabisa kwa sababu kadhaa wa kadhaa. Ni warudishe nyumba kidogo mwaka 2020 Lissu alipokuwa akichuana na JPM kwa watu wa kanda ya ziwa...
2 Reactions
7 Replies
504 Views
Mbali na uhifadhi wa kisasa, Kigoma imeendelea kuwa kitovu cha biashara zinazochangia uchumi wa eneo hili. Soko la vyakula safi limeimarika, likihusisha biashara za ndani na zile za nje ya mkoa...
0 Reactions
0 Replies
365 Views
Kuna mda huwa tunafanya makosa mengi sana katika maisha tena mengine ya kujitakia kabisa ambayo ukiyakumbuka baadae unayajutia sana. Binafsi kama ningetumia mda vizuri ningekuwa mbali sana sana...
244 Reactions
558 Replies
61K Views
"Shule za Msingi 1 kati ya 4 Duniani bado hazina Umeme na asilimia 50 ya Shule za Sekondari ndiyo zina Huduma ya Intaneti" Chanzo: UNESCO Siku ya Elimu Duniani huadhimishwa Januari 24 kila mwaka...
1 Reactions
7 Replies
684 Views
Zanzibar Mental Health Support Organization imeanza kutekeleza Rasmi Mradi wa Elimu ya Afya ya Akili Mashuleni Unguja, Zanzibar – 23 Januari 2025 Zanzibar Mental Health Support Organization...
0 Reactions
0 Replies
693 Views
Rais Mwinyi wa Zanzibar ana ulinzi wenye madoido na wa aina yake. Amenikumbusha enzi ya awamu ya tano chini ya hayati John Pombe Magufuli. Hongera sana Rais Mwinyi!
1 Reactions
2 Replies
548 Views
Shule ya Msingi Mseta iliyopo wilaya ya Rombo Kata ya Kirwa Keni Kijiji cha Kirwa Imefungwa toka mwaka 2012 kwa kukosa wanafunzi, Shule hii ipo katika Mazingira mazuri na ina majengo ya fedha za...
1 Reactions
5 Replies
471 Views
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry William Silaa (Mb) amesema ujenzi wa kituo cha kuchochea bunifu za TEHAMA (Innovation Hub) kinachotarajiwa kujengwa mkoani Tanga, kitasaidia...
0 Reactions
2 Replies
446 Views
Licha ya Mtaa wa Kambarage kuwa na idadi kubwa ya wakazi zaidi ya mitaa mingine yote ya mjini Njombe changamoto kubwa inayoendelea ni kushindwa kumaliza ujenzi wa ofisi yake ulioanza miaka 12...
0 Reactions
0 Replies
352 Views
“Siri 12 Ambazo Matajiri Hawataki Uzijue” Tunaishi katika dunia iliyoundwa na matajiri, kwa faida ya matajiri. Kila kitu, kuanzia vyombo vya habari unavyotumia hadi ushauri unaopewa, kimepangwa...
6 Reactions
8 Replies
1K Views
Hivi karibuni iliripotiwa taarifa ya zaidi ya Wakazi 200 wa Mtaa wa Yombo Dovya, Wilayani Temeke kuathirika kwa kubabuka ngozi, kuumwa macho na wengine kupata changamoto ya mikono katika maeneo...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kiukweli hii Hali iliopo Sasa kwenye taifa hili n baya sana. Taifa linakosa nguvu kazi hivihivi tumekuwa tukihitaji vibarua wa mashambani Cha ajabu vijana wa kiume huwapati wanapatikana wamama na...
0 Reactions
3 Replies
504 Views
Linapo kuja swala la kushobokea foreigners basi Watanzania hatuna mpinzani hapa Duniani. Benard Morison naona ushobokeaji umemlipa na ameamua kupiga kambi kabisa anajua hakuna sehemu hata kule...
3 Reactions
2 Replies
447 Views
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Deogratius Ndejembi amewataka Wathamini nchini kupunguza migogoro inayotokana na uthamini kwa kuhakikisha thamani halisi ya ardhi inayofanyiwa...
0 Reactions
1 Replies
292 Views
Tumekuwa tukilaumu jeshi la police Kwa kukosa weledi na rushwa Sasa kwa uozo ulio jeshi la Uhamiaji ni ndo mkubwa zaidi, Kuna uzembe na rushwa sana 1. Kuhusu wachezaji wanne wa Singida Black...
9 Reactions
52 Replies
2K Views
Unajua ukishajua maana halisi ya elimu hauwezi kuja humu una babwaja babwaja. Sasa ndio elimu gani hio eti ufaulu wa a teengaer utegemee akili special na extra ordinary. Ndio maana unakuta...
0 Reactions
3 Replies
337 Views
Je, ninaweza kurithi silaha kutoka kwa mzazi wangu marehemu?
1 Reactions
10 Replies
458 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…