Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

MAMLAKA ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imemkamata kinara wa dawa za kulevya jijini Dodoma, Suleiman Mbaruku Suleiman maarufu Nyanda mwenye umri wa miaka 52 ambaye mamlaka hiyo...
16 Reactions
62 Replies
6K Views
JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Polisi Dar es Salaam imetangaza kuwa Barabara tisa Jijini Dar es Salaam, zimefungwa kwa siku sita kuanzia leo Januari 25 hadi Januari 30, 2025 ili kupisha misafara...
16 Reactions
136 Replies
6K Views
Na Thuwaiba Habibu, Zanzibar. Sensa ya watu na makaazi ya mwaka 2022 inaonesha Zanzibar ina watu 1,889,773 kati ya hao wanaume ni 915 ,492 huku wanawake ni 974 ,281 hii ikimanisha wanawake ni...
1 Reactions
0 Replies
391 Views
Habari WanaJF Nimekuwa nikijiuliza maswali kwanini kuna zoezi zima la verification codes wakati wa zoezi la ujazaji form za mikopo ya elimu ya juu kulipia?, Kwanini wasitengeze vyeti vya kuzaliwa...
3 Reactions
8 Replies
2K Views
Baadhi ya wananchi Wanaotakiwa kupisha Ujenzi wa Bandarikavu katika eneo la Nandanga, Kata ya Mpemba, Halmashauri ya Mji wa Tunduma, Mkoani Songwe wameilalamikia Ofisi ya Serikali ya Mtaa...
1 Reactions
1 Replies
689 Views
Hivi ndivyo inavyokuwa wazazi wanapoweka kipaumbele kwenye elimu badala ya burudani. Hebu fikiria iwapo watoto wengi zaidi wangeanza kusoma kama hivi wakiwa na umri mdogo. 📚
4 Reactions
7 Replies
565 Views
Jana nimeshangazwa na kukutana na mheshimiwa wa taifa ambalo limeshakubali kubadilika kutoka kuwa kanisa akiimba injili ya rehema na baraka kwa kutimiza miaka mingi. Waheshimiwa wanaogopa...
0 Reactions
0 Replies
193 Views
Katika siku za hivi karibuni naona Dollar inazidi kuporomoka sijajua sisi tumepunguza importation au Shilling inazidi kuimarika au biashara imekuwa na mwelekeo mzuri watu hawafichi tena dollar...
2 Reactions
6 Replies
567 Views
Siku ya jana niliibiwa pesa ndani ya daladala kiasi cha 350000 yani usiku mzima nimekosa usingizi. Hapa nilipo kichwa kinauma hatari 😭😭
39 Reactions
190 Replies
8K Views
Kama ambavyo tumewahi kujadili hapa JF kuhusu makelele yaliyokithiri katika miji yetu. Ipo haja katika mabadiliko ya sheria za mazingira ambayo yatajadiliwa bungeni kuhakikisha hivi vipaza sauti...
1 Reactions
10 Replies
566 Views
Ifike mahali wananchi waache kulialia na kuhitaji kila kitu bure. Hii nchi bado inajitafuta na hata kama tutajipata hatutaweza fikia azma ya kutoa huduma za afya bure. Zahanati, Vituo vya Afya na...
1 Reactions
10 Replies
816 Views
Leo tare 27.1.2025 serikali imefunga vyuo vikuu vilivyopo Dar es salaam kupisha suala la "Mkutano wa wakuu wa nchi" 🤧 pamoja na shughuli zingine za kiuchumi zimesimamishwa. Fikiria kwa wanachuo...
1 Reactions
26 Replies
2K Views
Habari zenu wanajamvi Miaka sita (6) iliyopita nilichukua mkopo bank ya CRDB kwa dhamana ya utumishi na marejesho yakiwa yanakatwa moja kwa moja kwenye mshahara, moja ya masharti ya ule mkopo...
21 Reactions
167 Replies
26K Views
1. Kama Taifa tunaelekea pazuri kwenye Utalii wa Mikutano ya Kimataifa. 2. Waziri wa Utalii na Mambo ya nje hawapaswi kulala kusaka hizi fursa za watalii wenye pesa kwa mfano hawa Energy summit...
0 Reactions
8 Replies
476 Views
Wanafunzi wa Kidato Cha Tatu Shule ya Sekondari Businda Wilayani Bukombe Mkoani Geita, wamepoteza maisha katika msiba, huku wengine 82 wakijeruhiwa baada ya kupigwa na radi wakiwa Masomoni Mkuu...
2 Reactions
31 Replies
2K Views
Haya ni makabila yenye akili, utajiri na maendeleo kede kede. Ni jamii zilizo piga hatua kielimu na kibiashara kwa mbali sana. Hivyo ni jamii zinazoonewa wivu wa wazi wazi na baadhi jamii...
12 Reactions
94 Replies
3K Views
Shikamoni Shimba ya Buyenze , Mshana Jr na Bujibuji Simba Nyamaume wengine wote hamjamboni? Tofauti kidogo na Uzi wa mtaalam Kyambamasimbi hapa tutaangalia vijiji vizuri vyenye Amani, maziwa na...
5 Reactions
30 Replies
4K Views
Hili ni jambo la kusikitisha sana baada ya waalimu mkoani Mwanza kufanya mafunzo ya mtaala mpya bila Posho ya kujikimu wakiwa mafunzoni. Fikiria serikali inatekeleza jambo kubwa kama hili halafu...
14 Reactions
64 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…