Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Geita, Tanzania https://m.youtube.com/watch?v=vUhvYl7Mfww Wanafunzi saba wa Shule ya Sekondari Businda, wilayani Bukombe wapoteza maisha huku 73 wakijeruhiwa nchini Tanzania Tukio hilo...
0 Reactions
4 Replies
531 Views
“Tanzania ni moja ya Nchi 12 zitakazozindua mpango mahususi wa kitaifa kuhusu nishati, kupitia mpango wetu tunatarajia kuongeza kasi ya kuunganisha umeme nchini hadi kufikia 72% ifikapo mwaka...
1 Reactions
3 Replies
299 Views
Mungu alimuumba mwanaume kwa mfano wake, na sio MWANAMKE. Hivyo basi mwanaume ni kiumbe kitakatifu cha Mungu muumba na MWANAMKE ni kiumbe kitakatifu cha shetani, ndio maana nyoka aliweza kumtumia...
2 Reactions
6 Replies
614 Views
Mimi ninakaa Wilaya ya Ilala. Jana nilikuwa Wilaya ya Temeke (mtoni kwa Aziz Ally) nilishuhudia mida ya mchana badala ya mama kuwapikia watoto (watoto walitoka kucheza wakaja kulalamika njaa...
58 Reactions
324 Replies
11K Views
Hali ya usomaji wa taarifa zenu za habari hazifanani na sifa mnayojipa, usomaji wenu vituo havieleweki kiasi cha msomaji kuishiwa pumzi. Taarifa husomwa kimperampera yaani dakika sita mmemaliza...
3 Reactions
17 Replies
755 Views
Anonymous
Tafadhali ndugu Mavunde tusaidie sisi wakazi wa mtaa wa Chinyoyo kata ya kilimani tunateseka sana na ubovu wa barabara. Kata ya kilimani ina mitaa mitatu, Uzunguni, Chinyoyo na Image! Cha...
0 Reactions
4 Replies
428 Views
Siku si nyingi niliandika hapa kuwa Kongo ni Taifa lililolaniwa. Kwa akili za viongozi wao wale Taifa lao litazidi kulaaniwa...
0 Reactions
0 Replies
263 Views
Kama kichwa cha habari kilivyo! Makondakta na Madereva wa dala dala Mbeya wanatoa lugha mbaya sana kwa abiria. Sumatra waelimisheni abiria haki zao ndani ya dala dala acheni kushinda ofisini watu...
0 Reactions
0 Replies
392 Views
Hivi inawezekanaje TBC1 kama Chombo cha Taifa kinatoa Kipaumbele kwa Saa zaidi ya Mbili (Masaa Mawili) Watangazaji wake kuonyesha Viongozi wa Mikoa (RC's) na Wenyeviti wa CCM Mikoa wakimsifia Rais...
10 Reactions
22 Replies
1K Views
Sijajua kwanini Watangazaji wetu tena nguli kabisa hawajaonekana wakifanya Kitu chochote Kwenye Mkutano wa Kimataifa wa Nishati Au hatuna Watangazaji nguli wa Kimataifa hapa kwetu? Nimeshangaa...
3 Reactions
45 Replies
2K Views
Serikali ya Donald Trump imetambulisha sera ya bendera moja, ambapo bendera ya Marekani pekee ndiyo itakayoruhusiwa kupepea katika vituo vyote vya Serikali ndani na nje ya nchi zikiwemo ofisi za...
1 Reactions
0 Replies
360 Views
Yes, kwa maana hii competition ya AI itafanya intelligence kuwa na uwezo mkubwa wa kuweza ku dis-organize na re -organize kwa maana naamini AI it evolve kuwa kitu kipya then kwa kutumia ubunifu...
0 Reactions
2 Replies
256 Views
Nilikuwa naitwa jina fulani, kutokana na Imani yangu ya Dini,jina nililopewa na wazazi wangu, Baada ya kubadili Dini,mimechagua jina lingine linaloendani na imani yangu, Sasa nilitaka kubadirisha...
1 Reactions
42 Replies
4K Views
Kweli Tanga imeshawabadirisha wamaasai hahah bado wahadzabe😂😂 https://youtu.be/-Mk2nr6Nq7Q?si=8jbLCwgH2Q6Px5xd
1 Reactions
4 Replies
494 Views
Nilikuwa katika pitapita zangu za kawaida pale Ubungo Kibangu, lengo likiwa kumtembelea rafiki yangu wa zamani ambaye tulisoma naye sekondari. Ni kijana wa miaka 28, mcheshi na mwenye kipaji...
17 Reactions
66 Replies
3K Views
Hellow wakuu, Kuna dada mmoja ana umri wa miaka 39 ni mkulima mama wa watoto wanne, Anachangamoto ya "kajembe" (kati kati ya kifua kwa chini pametengeneza shape ya mbonyeo "u flat" Mapigo yake...
3 Reactions
56 Replies
3K Views
Mfanyabiashara na Mkurugenzi wa kampuni ya Mabasi ya J4 Express, alidaiwa kuwaua kwa kuwapiga kwa risasi Ally Abeid Mohamed, mkazi wa Igoma na Claud Sikarwanda, mkazi wa Nyasaka Ilemela, Julai 13...
23 Reactions
320 Replies
29K Views
Jamani wana JF kuna malalamiko mengi ya wazazi na wadhamini wanaofadhili watoto kwenda vyuo nchi mbali mbali. Sio wote wanaokwenda hizo nchi wakafanya vizuri ila wimbi kubwa linapotea sana kwa...
14 Reactions
172 Replies
20K Views
Salaamj Wana JF. Naitwa DJ. DON NALIMISON Ni Mtanzania mwenye asili ya Kimarekani. Yaani baba Mzazi ni raia wa Marekani na mama Mzazi ni raia wa Tanzania. Nimezaliwa 28.06.1980 wilayani Kahama ...
24 Reactions
152 Replies
14K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…