Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Maisha ya mwanadamu ni mpangilio wa hatua mbalimbali ambazo mtu huzipitia katika vipindi mbalimbali. Mtu anazaliwa, anaanza kukaa, halafu anatembea, anakua na kufikia kipindi cha kuanza shule...
1 Reactions
2 Replies
5K Views
Wafanyabiashara Soko la Kariakoo, wameiomba Serikali kuwaondoa raia wa kigeni ambao wamekuwa wakiuza bidhaa rejareja kwa bei ya chini hali inayopelekea raia wa nchini kukosa wateja. Wakiongea na...
47 Reactions
133 Replies
5K Views
Wakuu, Hapa nimeshtuka toka usingizini maana najihisi kama sijui nilikua nimekufa vile. Eti nimeota niko juu mbinguni, niko na ndugu na jamaa zangu waliokufa siku nyingi, tukawa tunaiangalia...
2 Reactions
16 Replies
1K Views
Mfumo wa trafiki wa kujua faini ya gari TMS CHECK haufanyi kazi? maana haufungui hata kidogo kuna shida gani huko?
0 Reactions
4 Replies
628 Views
MCHANGO WA WAOKOTA TAKA REJESHI KATIKA UTUNZAJI WA MAZINGIRA NA UCHUMI REJELEVU NCHINI TANZANIA Imeandaliwa na Abdul-Aziz Carter. Muhtasari Waokota taka Rejeshi wanachukua jukumu muhimu katika...
0 Reactions
1 Replies
824 Views
Kila mwaka Februari 13 ni maadhimisho ya Siku ya Redio Duniani. Siku hii huadhimisha umuhimu wa redio katika kuhabarisha jamii, kukuza uhuru wa kujieleza, na kuwa msaada muhimu wakati wa majanga...
6 Reactions
146 Replies
3K Views
Taifa linaangamia na kutengeneza jamii ya mataahira. Wakuu wangu wa serikali nawaheshimu sana lakini hapo mmekaa kimya. Kusema serikali haina dini mnamaanisha matapeli waliojificha kwenye imani ya...
1 Reactions
25 Replies
900 Views
Kaka yake Lissu amesema amevutiwa na mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA Rose Mayemba na kwamba atamuingiza ndani ya familia ili kuunda udugu. Ameyasema ktk mkutano wa hadhara Igungi jana. Mayemba...
1 Reactions
2 Replies
560 Views
Forex na uwekezaji katika hisa mara nyingi huonekana kama utapeli kwa sababu ya sababu hizi hapa: Udanganyifu na Ahadi za Faida Kubwa: Watu wengi wanavutwa na matangazo yanayodai kuwa unaweza...
3 Reactions
10 Replies
2K Views
Anonymous
Wahitimu wa Chuo Kikuu cha St. John's, Dodoma, mwaka 2023 bado hatujarejeshewa ada tuliyolipa, ingawa HESLB ilikuwa imelipa ada hiyo kwa chuo. Pamoja na tangazo la chuo la 06/09/2023 kuwa fedha...
0 Reactions
0 Replies
176 Views
Mwandishi wa habari mkongwe nchini Tanzania, Abdallah Majura amehoji kuhusu radio kuwa na vipindi vya michezo asubuhi na kujadili mambo ya Simba na Yanga. “Tangu asubuhi watu wanatangaza michezo...
39 Reactions
108 Replies
4K Views
Kuna taratibu zingine ukizikuta unaanza kujiuliza hawa waliwaza nini? Kwa aina ya viongozi waliopo pale chuoni kwetu sina shaka wote wanajua umuhimu wa kunywa maji kila wakati ili Ubongo ufanye...
2 Reactions
20 Replies
1K Views
Katika kupambania life nimeamua kuingia kiwanjani nataka nikatafutie Fiji nataka nijue kwa upana fursa za uko, usafiri mpaka uko, maradhi na gharama za maisha kutoka kwa experience za watu...
3 Reactions
22 Replies
1K Views
The Golden Generation: A Tribute to Those in Secondary School from 1993-1996 The mid-90s was a transformative era, a golden age of music, sports, science, and global affairs. Those who were in...
7 Reactions
7 Replies
661 Views
VYEO VYA JESHI LA POLISI TANZANIA KWA PROTOCOL 1. RC (Recruit Constable) akiwa mafunzoni. KURUTA 2. PC (Police Constable) aliyemaliza mafunzo ya awali police officer kamili. POLISI ASIYE NA CHEO...
4 Reactions
37 Replies
38K Views
Mzee mmoja amefariki na M/Mungu alimjaalia kweli enzi za uhai wake mali kweli kweli za kutosha, katika kujumuika na nzengo Mzee hakuwa na historia ya kuhudhuria misiba ya wengine na hata kushiriki...
41 Reactions
246 Replies
9K Views
Habari wadau. Kila mwaka udsm inamwaga vijana graduates wenye degree mbali mbali. Mzumbe na udom hivyo hivyo. Ajira ni ngumu wote tunajua, graduates karibu wote wa vyuo hivyo vikuu huwa...
9 Reactions
46 Replies
4K Views
True story: Tea time, Nilizaliwa katika ukristo na kukulia kwenye ukristo. Mwaka Jana nilihamia Tanga kikazi, mtaa niliokuwa Ninaishi ulikuwa una Waislam tupu. Nyumba nliyokuwa Ninaishi ilikuwa...
66 Reactions
283 Replies
16K Views
Benjamin William Mkapa, Rais wa Tanzania kipindi Cha nyuma aliwahi kusifiwa Kwa umahiri wake wa kuongea lugha ya Kingereza na Waandishi wa Habari wa CNN wakati wakimhoji na Ile ni kutokana na...
4 Reactions
24 Replies
2K Views
Moja kwa moja kwenye mada! Kuna muda mpaka unajiuliza hivi huu mkoa kweli una viongozi au ni vile wako bize na timu yao ya Pamba Jiji. Barabara ya Kona ya Bwiru kuelekea Kitangiri na inayounga...
0 Reactions
1 Replies
576 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…