Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Daniel Chongolo amekemea Matendo ya Mauaji, imani za kishirikina pamoja na Ubakaji na Ulawiti. RC Chongolo ameyasema hayo alipofanya ziara ya kukagua miradi ya maendeleo...
0 Reactions
3 Replies
584 Views
Mo salah kama upo humu nakushawishi endelea kupost kila mwaka mtu wangu.😂 Dunia ina maigizo mengi na umekataa kuwa katika moja wapo. Yote haya mafanikio amepata kutokana na kutobaguliwa kutokana...
4 Reactions
2 Replies
260 Views
Mkuu wa Mkoa huo, Daniel Chongolo amewataka Wakazi wa Wilaya ya Mbozi kuacha tabia ya kuwatumikisha Watoto katika kazi za shamba badala yake wawapeleke Shule ili wapate elimu itakakayowasaidia...
0 Reactions
0 Replies
483 Views
Habari wana JF, Naomba nijikite katika hili hivi" kuna siri ipi ya mafanikio juu ya kijana alielelewa na mzazi mmoja hasa mama"? Nimeona watu mashughuli wengi , wana siasa, wafanya biashara...
0 Reactions
2 Replies
479 Views
Rasmi dirisha la usajili wa vikundi pamoja na maombi ya mkopo ya halmashauri ile ya 10% (vijana, wanawake na walemavu) vilifunguliwa mwezi wa 10, 2024. Awali iliionekana kuwa tutahudumiwa vizuri...
0 Reactions
0 Replies
295 Views
Anonymous
Nipo Mpanda mjini, Kata ya Shanwe, mtaa wa Kilimahewa. Kuna eneo kama kaya 40 au 50 zilirukwa na Umeme muda mrefu, na hili suala ni muda wananchi wamejaribu kulifuatilia, hadi engineer...
0 Reactions
0 Replies
214 Views
Siku tatu hizi hajarudi anapoishi, wamemtafuta simu hapatikani, kazini kwake nao hawampati mwisho akakutwa mortuary hafai Aliopolewa akiwa tayari kaenda. Unajua nilivyopata taarifa ya ile ajali...
38 Reactions
101 Replies
5K Views
Pale nyuma ya ofisi za Halmashauri ya Ubungo kuna Eneo la wazi la Sqm 10,400 zimepigwa na Afisa Ardhi wa Manispaa anaitwa Fadhili akishirikiana na Kamishna wa Ardhi mkoa wa Dar Ndugu Kyando. Pia...
0 Reactions
1 Replies
270 Views
Naomba Serikali iangalie kuna changamoto katika kivuko cha Busisi - Kigongo ambapo kuna vivuko vitatu yaani MV Mwanza, MV Misungwi na MV Sengerema lakini kwa sasa kivuko kinachofanya kazi ni...
1 Reactions
5 Replies
921 Views
Mmiliki wa mabasi ya Super Sami, Samson Josiah ametoweka kwa zaidi wiki mbili sasa gari lake aina ya Nissan Patrol kukutwa likiwa limechomwa moto katika Hifadhi ya Taifa ya Serengeti mkoani Mara...
9 Reactions
211 Replies
63K Views
Malimbe asilimia kubwa ya wakazi ni wanafunzi wa chuo cha SAUT kwa asilimia 75 haichukui zaidi ya KM 10 kwa mkazi yeyote wa malimbe kufikia ziwa victoria lakini changamoto ya maji ni kubwa sana...
0 Reactions
0 Replies
277 Views
1. Unapohama nyumba moja kwenda nyumba nyingine usihame na fagio la zamani ulishawahi kutumia, utaingia nuksi ulizotoka nazo kwenye nyumba uliyohama 2. Jirani katika eneo la biashara...
0 Reactions
4 Replies
880 Views
Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limesema kwa kipindi cha kuanzia mwezi Januari, 2025 hadi Februari 2025 lilifanya operesheni dhidi ya uhalifu na wahalifu na kufanikiwa kukamata watuhumiwa...
1 Reactions
2 Replies
448 Views
TUWEKANE SAWA; SINGLE MOTHER NI YULE ASIYEWEZA KUHUDUMIA WATOTO WAKE NA ANAHITAJI KUTUNZIWA WATOTO NA MWANAUME MWINGINE ÀMBAYE HAKUMZALISHA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Kelele zote na...
13 Reactions
206 Replies
4K Views
Baraza la Madiwani katika Halmashauri ya Jiji la Tanga limepitisha rasimu ya bajeti ya Tsh. bilioni 25 kwa mwaka wa fedha 2025/2026, ikiwa ni ongezeko la asilimia 19.491 ikilinganishwa na bajeti...
0 Reactions
32 Replies
1K Views
Wakuu Baada ya kivuko eneo la Busisi kuzingua na kushindwa kutoa huduma, watu wamevunja geti la Daraja la Magufuli, kisha kuvuka kwa mguu hadi ng’ambo kama video inavyoonesha. Soma, Pia: Vivuko...
6 Reactions
47 Replies
3K Views
The Arse’s Bold Bid for Leadership: A Tale of Guts and Glory In the bustling metropolis of Human Body, where organs worked tirelessly to keep the system running, a new contender emerged for the...
3 Reactions
31 Replies
1K Views
TUKIONA WAGONJWA NA MAITI KWENYE MAJENEZA PIA TUSEME 'ONE DAY YES.' Tukiona magari mazuri na majumba ya kifahari ya watu tunasema "ONE DAY YES." Tena tukiamini kwamba ipo siku nasi tutafanikiwa...
2 Reactions
7 Replies
491 Views
Kuna mahali nilisoma kwamba unapoendesha gari yenye umri zaidi ya miaka 15 kwenda safari ya mbali, umri wa hiyo gari unaweza kuchangia wewe kupata ajali. Yaani, kadiri gari ilivyo ya umri mkubwa...
4 Reactions
26 Replies
1K Views
Nimekuwa na tabia hiyi hata kama nikalala saa 7 usiku ila ukifika kwenye hayo masaa hata kama nilikuwa nimechoka au kuwa na usingizi mzito ukifika huo muda ni lazima nitastuka iwe kwa kwa kupenda...
1 Reactions
20 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…