A man used to give a beggar $1000 every month. The man continued in this state for a period of time. One day, he gave the beggar only $750. The beggar was surprised by that, but he said to...
Hellow wakuu,
Leo niliona uzi humu mdau mmoja akiomba msaada wa dawa asili za kuondoa tatizo la kukosa usingizi Anayejua dawa za asili kutibu tatizo la kukosa usingizi (insomnia) anisaidie...
Kwa wanaume ni;-
1. Kumiliko nyumba kali kuliko watu wa mtaani kwako.
2. Kuwa na mke mzuri kuliko wanaume wa mtaani kwako.
3. Kumiliki gari kali kuliko marafiki zako na watu wote wa mtaani kwako...
Tanzania ni mshiriki wa jumuia kadhaa za kimataifa na kikanda.
Hivyo tumesaini mikataba kadhaa wa kadhaa kwa shinikizo la mabwana zetu.
Hao mabwana zetu ambao hugharamia Kila kitu tunapokwenda...
Today's Decision are tomorrow Realities..., Nadhani hawa ndugu zetu ni kama Petroli inafuka inahitaji Spark (cheche) kidogo tu ili moto kuwaka...; Sasa kwa faida ya vitukuu vyao kwanini...
Mwalimu ni mwanafunzi wa kudumu
Mwalimu Akiipenda kazi anajituma sana. Na huwa ANAUMIA mwanafunzi wake Wakifeli.
Sema hurudishwa nyuma na maneno ya kashifa kutoka kwa viongozi wa juu yake...
Nimezaliwa miaka ya 90 mwanzoni, jijini Dar es salaam katika kata ya Sinza. Baba alifariki kipindi nina mwaka mmoja hata sura yake siikumbuki nimeziona picha zake tu na mama alifariki wakati nipo...
Ikumbukwe kuwa huyu mshtakiwa tu (mtuhumiwa
Maana yake anaweza akawa amefanya makosa kweli au Lah, wenye maamuzi ya mwisho huwa ni Mahakama.
Nimeona katika mitandao mbalimbali mtuhumiwa...
Mama mzazi wa nabii mkuu Geordavie akitoa ushuuda kanisani kwa mwanae alisema;
"Mwanangu sio mtu wa kawaida, nakumbuka kipindi akiwa mtoto aliwai kupiga kelele huku macho yake akiwa ameelekeza...
Picha linaanza una familia ya watoto wanne na kuendelea
👉Umepanga chumba na sebule
70k-100k kwa mwezi
👉Usafiri wa kazini 3000 Kila siku
👉Chakula 200k (angalau ili upate mlo standard) kwa mwezi...
Wewe kama una sherehe yako peleka kijijini kwenu huko siyo unazuia barabara kwa kuweka miturubai kisa una sherehe si ungenunua eneo kubwa ili ujitosheleze hii tabia imekithiri kwenye hili jiji la...
Quokkas (Setonix brachyurus) ni wanyama wadogo wenye mifuko ya kuzalisha (marsupial), wanaopatikana kusini-magharibi mwa Australia, na wanajulikana kwa sura yao ya kirafiki na "kutabasamu" kila...
Nimekutana na video moja kwenye mtandao wa Facebook, inaonesha watoto bila shaka ni watoto wa chekechea kwa hakika sidhani kama hii imekaa sawa.
Ni jambo zuri watoto kupata muda wa kufurahi na...
Ni historia inayojirudia ambapo mkoloni ni kama ameona njia ya kuwapumbaza Waafrika na kuwatawala kiurahisi ni kuwataka wapigane wenyewe, waonane wabaya wao kwa wao.
Nchi ya DRC inakadiriwa kuwa...