Hapooooo....
Nadhani tuko fresh bhandugu. Leo nimewiwa kuwapa stori hii ambayo hadi kesho sitokaa nisahau kisa hiki cha aina yake.
Kuna siku nilikuwa kwa mganga wa jadi katika harakat za kuiseti...
Kufatia kuwepo kwa mahitaji makubwa ya uwanja mkubwa wa Ndege, mkuu wa Mkoa wa Kagera Hajat Fatma Mwassa amesema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ameridhia kutoa fedha za ujenzi wa uwanja...
Sijui ni viongozi wa MWAUWASA wanataka kumgombanisha mama na wananchi kwa makusudi au ni vipi.Yaani maji yanaweza kukosa mwezi mzima na viongozi wapo tu ofsini.
Wizara ya Maji chini ya AWESO em...
Unakutana na mtu anaanza kumsema mwenzake huyo alikuwa mzinifu, Mara alikuwa na wanawake wengi maskini wakati mtu hajui hata K" inavyofanana.
Kuna wengine tuliupata kwa kushare vitu vyenye ncha...
Good day, Good people!
Hivi Karibuni kumezuka mfululizo wa nyuzi kibao hapa JF na zote zikipinga uwepo, uweza, na utendaji kazi wa Mungu. Kiukweli zimenifanya nikazama ndani kufikiri kwa kina...
Dar es Salaam, 19 Februari 2025 - Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limetangaza mpango wa maboresho katika Kituo cha Kupokea, Kupooza, na Kusambaza Umeme cha Msongo wa Kilovoti 220 kilichopo...
Baadhi ya Wananchi wa Kata ya Kiranyi wilayani Arumeru Mkoani Arusha wamefunga Barabara kwa saa kadhaa kwa mawe na Magogo wakiishinikisha serikali kuikarabati.
Soma Pia: Wananchi Hai, Simanjiro...
Kama ilivyo ada, nimetembelea kwetu Xmas hii ili kuona mandhari na uzuri wa Rungwe, kwetu.
Kilichonisikitisha ni Chivanjee Tea Estate kuanza kufa kwa kukosa matunzo.
Waziri wa Kilimo ndg Bashe...
Tunahitaji kusema na tunahitajika kusema maneno machache na yenye maana, kwasababu ukimya una nguvu katika maneno yenye maana, Robert Greene anasema hivi kikamilifu “ watu wenye nguvu huvutia na...
Katika jamii, watu wenye IQ kubwa mara nyingi hukutana na upinzani kutoka kwa wengine. Je, hii inasababishwa na wivu, hofu, kutokueleweka kwa mawazo yao, au ni changamoto ya kijamii?
Je, tatizo...
TAARIFA KWA UMMA
MABORESHO KATIKA KITUO CHA KUPOKEA KUPOZA NA KUSAFIRISHA
UMEME WA MSONGO WA KILOVOTI 220 CHA UBUNGO JIJINI DAR ES
SALAAM
Jumatano, 19 Februari 2025
Shirika la Umeme Tanzania...
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, linawashikilia watu wawili kwa tuhuma za mauaji ya mwanamke aitwaye Barke Rashid, aliyeuawa Januari Mosi, 2022, akiwa guest maeneo ya Tabata, ambapo...
Nchi yangu Tanzania imejaa fursa nyingi ambazo bado hazijachunguzwa kikamilifu. Kutokana na rasilimali tulizonazo, kuna maeneo mengi ambapo fursa zinaweza kupatikana, kutoka kwa kilimo, nishati...
Ikiwa tayari umechuma mali zako kabla ya ndoa, ni muhimu kuzungumza na wanasheria kuhusu premarital assets zako. Tujikumbushe watu maarufu waliopoteza na kupata mali na utajiri baada ya talaka...
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega amewataka wataalamu wa sekta ya ujenzi kubuni mbinu za kupunguza foleni mijini na kuongeza mapato ya Serikali kupitia barabara za mwendokasi huku akipendekeza...
HABARI WANA NDUGU
NINEANDIKA HUKU BAADA YA KUSHAURI HII TV WAONDOE HILO TANGAZO
TANGAZO LIKO HIVI
ANATOKEA MWL WAO ANASEMA INAKUPA NN MWANAO KUFAULU KWENDA FORM FIVE BILA KUWA NA NIDHAMU...
Imagine leo nimezunguka hadi Shuu Butchers zote hakuna nyama ya mbuzi. Nimezunguka kwenye Bucha zote za MBASHA Meat Supply kote hakuna nyama ya mbuzi. Hadi MBASHA Butcher Meat Suppy ya pale...