Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Leo kuna hitilafu kwenye main power supply line na kisababisha maneo ya North of Dsm kukosa umeme hili likitokea baada ya mkutano mkubwa wa nishati linamaana gani hasa kwa watawala na wananchi
2 Reactions
13 Replies
593 Views
Mitambo nane kati ya tisa inayojengwa katika Bwawa la Umeme la Mwalimu Julius Nyerere, imekamilika na mmoja uliobakia utakamilika mwishoni mwa mwezi huu. Kauli hiyo imetolewa bungeni jana Januari...
1 Reactions
8 Replies
740 Views
Japokuwa watu Usema kuwa wanzungu wana roho mbayaa za ubaguzi hasa kwa watu weusi huu ni uongo kabisa kwasisi ambao tunaishi katika nchi za wazungu tunaona tabia za mataifa mbali mbali. Ukweli ni...
17 Reactions
74 Replies
3K Views
Hatarini za majukumu wana JAMIIFORUMS nimeandika uzi huu kuulizia au kujua bati imara na nikampunigani ya kuzalisha bati hapa nchini ina toa bati imara na inayodumu kwa muda mrefu bila kupauka...
2 Reactions
45 Replies
13K Views
Jumanne Juma(26), mkazi wa Mtaa wa Kimara B, wilaya ya Ubungo jijini Dar es Salaam, ameuawa na watu aliokuwa akiwafanyia kazi za nyumbani kwa kumchoma na Petrol usiku wa Januari 23, 2025 wakidai...
5 Reactions
83 Replies
4K Views
Haki ya nani nikikutana na mwizi au tapeli wa aina yoyote nanunua petrol na kiberiti, kama sina hela namkanyaga shingoni paka afie hapo. Nina hasira kilo mbili na nusu.
5 Reactions
44 Replies
2K Views
Huyu ni Baba,Baba ana Ng'ombe, Ng'ombe wake ni Mweusi! Baba anasema, kimbia ng'ombe,kimbia upesi. Baba ana Njaa. Bado vipo wakuu?
5 Reactions
44 Replies
2K Views
Wakuu salaam kwenu. Imebidi niombe maoni yenu kwani Kuna tabia za ajabu ambazo kuishi nazo yataka moyo. Tumepiga kambi kwa kazi Fulani ya miezi sita Mimi na jamaa zangu watano,hivyo tupo jumla...
19 Reactions
89 Replies
3K Views
Wakuu aliyefanikiwa kufungua SLP Dar hivi karibuni naomba anijuze utaratibu wake. Pole sana mkuu. Tafuta post office iliyo active lakini iliyofunguliwa hivi karibuni. Nenda Ubungo bus terminal...
0 Reactions
145 Replies
68K Views
Bro, Maisha mtaani ni magumu. Ukisikia ni magumu unaelewa, moja haikai mbili haisimami. Mbele hauendi, nyuma hakurudiki. Hauoni future.! Ni kama matumaini nayo yamekata tamaa. Unajaribu namna...
12 Reactions
21 Replies
2K Views
Watu wengine wanakufa kwa kuona aibu ya kwenda kanisani kuombewa uponyaji wa ugonjwa Uponyaji ni nini Uponyaji ni tendo la kiimani la kupokea uzima katika roho au mwili kwa njia ya kuombewa...
4 Reactions
19 Replies
948 Views
Leo ningependa nizungumze na ndugu zangu Wachaga na wanipe ufafanuzi kuhusiana na madai yangu. Ukiwa mtumiaji wa mitandao ya kijamii utakutana na machapisho mengi yanayozungumzia sana ndugu zetu...
19 Reactions
127 Replies
8K Views
Wakuu hamjamboni nyote... Nadhani wote mnamfatilia Luhaga Mpina Mbunge wa Kisesa na Kada Kindakindaki wa Chama Cha Mapinduzi, Namna anavyozungumzia uongozi uliopo wa CCM na serikali kwa mtazamo...
1 Reactions
10 Replies
883 Views
Tangu nikiwa shule ya msingi nimekuwa nikisikia habari za mto nile. Mto nile ndio mkubwa zaidi barani Africa na chanzo cha maji yake ni ziwa victoria. Misri wanautumia mto huo kwa kilimo cha...
6 Reactions
36 Replies
4K Views
Moja kwa moja kwenye mada. Polisi wapo kila kona ya mkoa wa Dar es Salaam, hawa waliokosa elimu na fedha kwanini wanasumbua mitaani.? Hapa najiuliza kodi(PAYE) yangu ni zaidi ya Tsh500,000/=...
2 Reactions
5 Replies
609 Views
Ningependa kufahamu maslahi ya hawa waheshimiwa Mahakama ya Rufaa na Mahakama Kuu 1. Mishahara, 2. GARI VX/V8(SUV) zenye utambulisho maalum (JR, J), 3. Ulinzi, 4. Dereva, 5. Nyumba, 6. Posho ya...
9 Reactions
95 Replies
10K Views
Baada ya kuona wataalamu mbalimbali wakishauri tutumie zaidi mafuta ya kupikia yatokanayo na wanyama badala ya mbegu nimeona mafuta ya nguruwe yatanifaa. Nimepata wazo la kwenda kuyanunua buchani...
0 Reactions
14 Replies
935 Views
Habari zenu wana janvi Leo nitajibu maswali yote yanayohusiana na utalii wa ndani na nje pamoja na shughuli za kitamaduni zinazofanyika katika aina hizi za utalii. Nitajibu maswali yote kwa...
0 Reactions
17 Replies
945 Views
Kila mmoja wetu anashuhudia kinacho endelea Marekani Chini Ya Truph kuhusu kudhibiti suala la wahamiaji haramu. Naunga Mkono zoezi hilo kwa maslahi ya usalama wa nchi. Sisi pia Tanzania kupitia...
0 Reactions
0 Replies
474 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…