Hizi adhabu za viboko zipigwe marufuku kabisa! Haiingii akilini mwalimu kupiga watoto namna hii kama anapiga mbwa koko. Kama hamna uvumilivu achaneni na kazi hii badala ya kuumiza watoto wetu...
Kuwadharau Watumishi wa Mungu ni kosa linaloweza kuleta madhara makubwa kwa mtu binafsi na jamii. Biblia inatufundisha kwamba Watumishi wa Mungu wameteuliwa kutangaza Habari Njema na kuwaongoza...
Mheshimiwa mkurugenzi wa bodi ya utalii tangu kuteuliwa kwako hali imekuwa mbaya sana hasa pale wadau katika sekta ya utalii tunapohitaji kuhudhuria maonesho ya kimataifa chini ya mwamvuli wa...
NAIBU Waziri wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Deus Sangu, amewataka maofisa utumishi na wakurugenzi wa taasisi za umma kuhakikisha wanawajibika ipasavyo katika...
Habari zenu ndugu zangu,
Nina mtoto wangu Wa kike umri miaka 12, jana nimekaa na mama yake ananiambia mtoto analalamika babu yake anamsumbua!!
Mbaya zaidi au nzuri zaidi hajatuambia sisi...
Nchi ambayo inajiita Super Power inakuaje na Raia ambao wana maisha magumu
Maana sio rahisi umkute raia wa marekani akija Africa na kufungua Madube na kisha kujiita mwekezaji.
Baada ya kamati ya Uchunguzi iliyoundwa na Waziri Selemani Jafo Februari 2 mwaka huu uchunguzi umekamilika na imegundulika kuwa kuna Baadhi ya Wafanyabiashara wametumia vibali vya Watanzania...
Ni ngumu sana gari aina ya V8 zile ambazo utumiwa na serikali kusimamishwa ovyo kama utakuwa probox au passo.
Na wakikusimamisha uwanza kujitafakari maana walishajengewa kuwa wenye magari haya ni...
Wakuu,
Jamaa huyu aliyetambulika kwa jina la Yusufu amedakwa huko Arusha baada ya kutambulika kuwa ni tapeli katika kanisa katoliki Kijenge, Arusha. Wananchi wanasema alikuja na akapewa nafasi...
Huwa nashangazwa na kukerwa sana na tabia ya kina dada baadhi kupost picha za mitego mitandaoni kisha baadae kujitokeza na kulalamika picha zao kutumika kufanya utapeli. Kina dada wa aina hii...
Ikiwa nchi Ina uchumi mzuri kidunia je inakuaje watu wake wanakuwa wanahangaika na maisha ?
Mfano angalia raia wa kichina wanavyoangika na Maisha kufika hatua ya kufanya Kazi ambazo wanafaa...
Itazame hii video halafu jiulize maswali 5 kisha uyatafutie majibu wewe mwenyewe.
Serikali inawajibu wa kutoa ajira kwa vijana wote.
Ajira kwenye taasisi za kiserikali.
Ajira kwenye sekta binafsi...
01.Nimekuja Dar es Salaam kupambana sina hata ndugu wa kuniwekea dhamana, kama itatokea shida. Nina Imani kupitia mke wangu yeye ndio atakuwa dhamana yangu namba moja.
02.Kazi yangu ni bodaboda...
Kabla ya wengi wa vijana wa kiarabu na kiajemi kurubuniwa ufahamu wao na mindset zao kuwa engineered katika fujo, force na chaos while kutupilia mbali utu na teknolojia, mahala pale palikuwa penye...
Google imerusha satellite ya kwanza la kundi la Nyota firesat imefanikiwa kufika kwenye obiti ya Dunia ikilenga kuleta mapinduzi katika kutambua Majanga ya Moto ya msituni.
mtandao huo umeundwa...
Baadhi ya ofisi za uhamiaji Zina baadhi ya Watumishi wa ajabu mno ni kama hawapo kwaajili ya kuhudumia umma.
Ofisi ya Uhamiaji mkoa wa Arusha nimewavulia kofia ,Wanabaadhi ya Watumishi naweza...
Team ya Crown Media ni kama wapo serious na kazi kama watakuwa na consistency kwa muda mrefu basi ni wazi kuwa atachange tasnia ya media bongo Tz(game changer).
King Kiba anastahili kupewa...
Pesa na divinity wapi na wapi.
Fremu nje ya ukuta nyumba za ibada, shule, vyuo, uwekezaji wa hisa, etc
Rudisheni kwa masikini na wanyonge, hii ndio njia ya kristo, hii ndio njia ya SAW. Jengeni...