Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa amezindua Mikakati sita ya Mawasiliano ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi na Vyombo vya Usalama na kuagiza utekelezaji wa mikakati hiyo kuanza...
2011 kulikuwa na Maandamano ya Machinga, Askari wa FFU baadhi waliuawa na mabomu ya machozi yaliisha, Muda huo Kikwete yupo njiani kuelekea Mbeya, Ilibidi watumwe JWTZ kutuliza hali (hakukuwa na...
Mzee wa ujasusi napenda kukinukisha kwamba pamoja na tofauti za itikadi baina yetu wawili ila natambua uwezo wako mkubwa wa kusoma na kuandika.
Unastahili tuzo hata kama ukikosa basi tambua wewe...
Baadhi ya waendesha Pikipiki ‘Bodaboda” wa Manispaa ya Kigoma Ujiji wameandamana wakidai kupinga tabia ya Askari wa Jeshi la Polisi Mkoani hapo kuwakamata mara kwa mara kuwatoza faini na wengine...
Mungu awabariki JWTZ! Uzalendo wao kwa taifa letu si wa kutiliwa mashaka!
Lakini hata hivyo sizungumzii majeshi kwenye hii mada! Ninaawalenga viongozi na raia kwa ujumla!
Japo siyo wote, lakini...
Habari za muda huu, ni matumaini yangu mwaka umeanza salama.
Bila kupoteza muda, ninaomba kwa wenye ufahamu kuhusu suala langu. Nina friji jipya kabisa la kampuni ya AILYONS, nililinunua mwezi wa...
Wengine wanaweza wakaishia kusema kuwa ukimchungumza sana bata hutamla, lakini acha tu ukweli usemwe! Watanzania wengi bado ni wachafu!
Siwakejeli! Nitaanzaje kufanya hivyo na huku na mimi ni...
Miezi minne iliyopita Mkandarasi mzawa alipewa kazi na Wakala wa Barabara Vijijini na Mijini (TARURA) kutengeneza barabara ya takribani kilomita tatu kutoka Kimara baruti hadi Kilungule uwanjani...
Ndugu Kamanda wa Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani hapa Tabora, Mh Magayane sisi wakazi wa hapa tunakuomba udhibiti suala la msongamano wa magari eneo la Stendi Kuu ya Mabasi yaendayo Mikoani...
Haters wa utawala wa hayati Nagufuli wakiongozwa na mimi hatuamini kuwa mpaka leo zile bombadier hakuna iliyopata ajali.
Manunuzi yake yakionekana kujaa mihemko,tulitarajia misiba ila Mungu ni...
Wafanyabiashara na madreva huko Moto umewaka.
Kisa ni export royalty ambayo ilitakiwa wafanye majadiliano mambo yaishe.
Wakusikia na asikie.
Watu wanawaza mengi juu ya utendaji na watendaji wa...
Mwanga Kaskazini ni jina la kata ya Manisipaa ya Kigoma Ujiji katika Mkoa wa Kigoma, Tanzania
Mandhari katika Kata ya Mwanga Kaskazini, Kigoma-Ujiji
Mini mart katika Kata ya Mwanga...
Eti wadau, hii itasaidia kupunguza matumizi kwa hizi third world countries kama Tanzania?? How does this sound..
Mfano: Kafa Magufuli, akaingia Philip Mpango bila gharama za uchaguzi..
~ SIPENDI...
Huu haukuwa usiku wa kawaida.
Katikati ya jiji la Maputo, siku ya Ijumaa ya Oktoba 18 , majira ya usiku unaokaribiana kuwa Jumamosi, kulikuwa na kikao kisichokuwa rasmi katika baa moja jijini...
📖Mhadhara (76)✍️
Anakutumia "Tafadhali Nipigie" nyingi utafikiri amevamiwa. Unatazama salio la kifurushi chako cha kupiga unakuta zimebaki sekunde 60. Ulikuwa una mpango wa kumpigia simu mama yako...
Wakuu
Kash Kash karibu na uchaguzi
==
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko, amekemea vikali utendaji wa Shirika la Umeme Nchini (TANESCO) "Mmeanza kulala, mmezoea kazi...
Tanzania ina ardhi kubwa kuliko Uganda, lakini kuna watu wa Bukoba wanaotamani wangekuwa wanaenda kuiuza kahawa yao nchini Uganda.
Tanzania inayo bandari, lakini Mganda akitaka kusafirisha kahawa...
labu tajiri duniani, Real Madrid ya Hispania imesaini Hati ya makubaliano na Shirika la hifadhi ya Jamii Tanzania (NSSF) kwa ajili ya kujenga na kuendesha kituo cha michezo kitakachogharibu...