Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Hapo mwanzoni kulikuwa na athari kubwa zinazotokanana uvuvi haramu, watu walipata ulemavu wengine wakipoteza maisha, kemikali zilitumika kuulia samaki kisha watu kutumia kemikali hizo zinazobaki...
0 Reactions
1 Replies
342 Views
Prevalence of Belief: Witchcraft beliefs are widespread in Tanzania. According to various surveys, a significant portion of the population, with some estimates suggesting up to 93% of Tanzanians...
2 Reactions
4 Replies
418 Views
Hili limenitokea mimi kwenye akaunti yangu ya lipa ya mtandao wa YAS nmesahau pin na kupelekea akaunti kufungwa sasa nikaenda yas shop na documents zote zilizotumika kufungulia hiyo akaunti ya...
0 Reactions
0 Replies
404 Views
Wadau hamjamboni nyote? Tafakuri ya kina kwa wenye ilimu ya theolojia Mfalme Suleimani
1 Reactions
1 Replies
252 Views
Soko la Vitunguu Mkoani Singida lililopo maeneo ya Misuna ni moja ya vitega uchumi vikubwa mkoani humo. Ni soko ambalo kipindi cha msimu linahusisha wafanyabiashara kutoka mataifa mengine...
1 Reactions
2 Replies
810 Views
Cc: SwahiliTimes ๐—ก๐—ฏ : ๐—ช๐—ฒ๐˜„๐—ฒ ๐—ป๐—ถ ๐— ๐—ฝ๐—ฒ๐—ป๐˜‡๐—ถ ๐—บ๐˜€๐—ผ๐—บ๐—ฎ๐—ท๐—ถ ๐˜„๐—ฎ ๐—ด๐—ฎ๐˜‡๐—ฒ๐˜๐—ถ ๐—น๐—ถ๐—ฝ๐—ถ?
1 Reactions
30 Replies
2K Views
Leo tena katika kuperuzi YouTube nakutana na video za wanaharakati wa kupinga mradi wa EACOP. Hizi vidรฉo ni za karibuni kama wiki tu imepita na inaonekana hiyo Channel iliyoziposti kuanzia mwezi...
1 Reactions
0 Replies
286 Views
Habari za asubuhi. Mi huwa naweka mada hapo ili mradi ujumbe ufike. Kusomwa tu inatosha, hivyo wahusika wakiupata, wataufanyia kazi. Sitakuwa specific ila nawaongelea hawa waswahili wanaotukuza...
3 Reactions
14 Replies
542 Views
Wataalamu wa masuala ya gesi na mafuta, ninaomba kupata uelewa zaidi wa hii taarifa niliyoiona Worldometers inayosema kuwa imebaki miaka miwili ili gesi ambayo imegundulika nchini Tanzania kuisha...
0 Reactions
0 Replies
268 Views
Nauli ni kiasi gani na ni kituo gani nishuke zilipo ofisi za boti za Azam nikitokea kituo cha mabasi cha Magufuli au kwa bodaboda ni kiasi gani kutoka stand ya Magufuli mpaka zilipo Hizo ofisi...
7 Reactions
96 Replies
3K Views
Mwandishi wa Habari Eugen Peter ambaye leo asubuhi kupitia kurasa za Millard Ayo alitangazwa kutokujulikana aliko, amepatikana mchana huu akiwa amelazwa katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili...
2 Reactions
0 Replies
445 Views
Mimi nilikuwa na mkubali sana jpm kwa 90% katika utendaji wake wote na hata kifo chake kinaniuma hadi leo. Mimi sio mtu wa siasa za hapa Tz Maana naona kabisa hii nchi hakuna chama cha upinzani...
20 Reactions
209 Replies
6K Views
Nina umri wa miama 31 na sikuwahi kujua kuhusu Elimi hii. Nimetenga Mwaka mzima kujifunza elimi hii lengo likiwa ni kujiongezea ujuzi. Nimefatilia nimegundua Dunia ni pana hii. Naanza sasa...
0 Reactions
0 Replies
323 Views
Sisi Wahitimu wa Shahada katika Chuo cha Kimataifa Kampala kilichopo Gongo la Mboto, Dar es Salaam hatujapewa malipo yetu yaliyozidi (refund) kutoka kwenye fedha tulizokuwa tunalipiwa na Bodi ya...
0 Reactions
2 Replies
401 Views
Jeshi la Polisi limetoa taarifa ya kupatikana kwa Mtangazaji wa TV 3, Gwamaka Francis Gehas maarufu kama 'Boiboi Mkali' mkazi wa Mbezi Beach Africana, Dar es Salaam, aliyedaiwa kupotea tarehe 3...
0 Reactions
1 Replies
571 Views
Wakristo wanatumia maandiko gani kukataa kutoa uhalali wa wana ndoa kutalakiana hata kama mke kafanya kosa la kunyanduliwa na njemba nje ya ndoa ilihali biblia imeruhusu kuacha mke kwa uzinzi...
3 Reactions
28 Replies
2K Views
Daraja la Mto Tegeta linalounganisha maeneo ya Salasala na Tegeta Machinjioni limekuwa kikwazo kikubwa kwa Wananchi wa maeneo hayo tangu lisombwe na maji ya mvua mapema Mwaka 2024. Licha ya...
0 Reactions
1 Replies
692 Views
Just imagine kijana kapata division one ya 7 au 10 form four kaenda high school kupiga PCB. Kapambana sana kachakaa kajitesa kajinyima kapata division one form six ya point tatu au tano. Kaaply...
62 Reactions
302 Replies
13K Views
Viumbe vyote chanzo chake ni nishati/nguvu/energy/roho iliyounda chembechembe, chembe zikaunda ulimwengu na ndani ya ulimwengu zikaunda viumbe, kiumbe imetokana na atom yenye...
8 Reactions
73 Replies
2K Views
Wadau hamjamboni nyote? Wote ni Watoto wake japo uwezo umetofautiana Wakijijini kakata kuni, kachota maji, kakaribisha wageni, Katoa ulinzi kwa wageni na siku zote yupo na baba akimtunza. Huo...
2 Reactions
16 Replies
587 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ